Birthday ya CCM Mwanza, Malori yaanza kumiminika

Waambieni hizo pesa wanazochezea za walipa kodi wawalipe madaktari warudi kazini kuokoa maisha,hivi bado wanafanya biashara za ujima ina maana watalala ndani ya uwanja adhabu kweli
 
Mkuu leo kutakuwa na vinywaji kirumba
ccm%2Bmwanza%2B3.JPG


hapa nguo zinasubiri wavaaji
ccm%2Bmwanza.JPG
 
Vipi wanatoa posho? Kama wanatoa niambie nije nichukue then nirudi zangu CDM!
 
Vipi wanatoa posho? Kama wanatoa niambie nije nichukue then nirudi zangu CDM!

mkuu kuna pombe za kumwaga leo bei ni bureeeeeeee wewe tu! hehehehe naona fuso 3 zimekatiza hapa tena zikiwa zimejaa makada, taarifa za kiintelijensia zinasema zimetokea ngudu
 
Nipo maeneo ya hapa Mkolani - millennium bar limepita Lori na vijana kibao! Wanapelekwa Kirumba kuvalishwa mavazi ya Kijani na njano. Wamezomewa na vijana kwa alama ya CDM Nina picha nitaiweka!

rev nisome hapo juu, ni kutoka ngudu hizo
 
Waambieni hizo pesa wanazochezea za walipa kodi wawalipe madaktari warudi kazini kuokoa maisha,hivi bado wanafanya biashara za ujima ina maana watalala ndani ya uwanja adhabu kweli

Suala la malazi na wataoga wapi ndiyo gumzo hapa mitaani maana wako wengi mno,sidhani kama ccm wanaweza ingia gharama za kuwalaza guest coz wanaonekana kuwa pirimitivu sana na hawajielewi.
 
Hivi CCM kimefikisha miaka mingapi.

kuna umri ukifika binadamu hanakuwa hajui lolote.
 
Fuso 2 ndani ya nyumba sasa hivi,ila magamba wanafanya vibaya si watumie hata mabasi au Coaster jamani,yaani unamtoa mtu Kwimba mpaka Mwanza akiwa kasimama!Mpaka sasa nawaambia cdm kama ni elimu ya uraia vijijini bado saaaana yaani juhudi za makusudi zifanyike vinginevyo ccm wataendelea kushinda chaguzi tuu kupitia vijijini.
 
Watanzania yafaa tuwagomee ktk kusheherekea haya mamiaka yao yasiyokuwa na maana sana sana wanazitumia hela za serikali tu wezi hawa wa mchana kweupeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Endelea kutujuza. Jk katatngaza serikali yake imefilisika, sasa nadhani wanajipongeza kwa 'kufanikiwa' kuifilisi nchi.

Ulaji uliopitiliza: Makusanyo ya TRA 102% kwa mwezi, Matumizi ya serikali 150%.
 
naongea na vijana wangu wa kazi hapa wananambia leo wanakwenda kulala kirumba, wanachokifuata ni pombe za bure
 
Wana CCM Mwanza, chungeni sana Mabinti zenu na Wake zenu.

Leo hii na kesho, NDOMU zitamenywa kwa wingi sana hapo Mwanza.

For sure kuna mtu atakwaa miwaya katika siku hizi mbili na kuna Kada wa CCM watammegea.

Vipi yule jamaa wa Singida, atakuwepo Mwanza? Nape sijui nani safari hii atadai ashike ukuta.
 
Hapa Mwanza leo magari ya serikali yamejaa kila sekunde unapishana na maV8 STK inaelekea sherehe za chama zimegeuka kuwa ya serikali gharama inaonekana kubwa sana kwani madc,wakurugenzi,maRC wote wapo wanatanua per diem na madereva wao, wakati madaktari na wagonjwa hoi hii ndio ccm inapotupeleka....

wanaJF
i. Kama ni kweli ni hali ya hatari. Hizi ni kodi na Rasilimali za Watanzania wote. Tafsiri sahihi ya ufisadi ni pamoja na matumizi mabaya ya ofisi na rasilimali za umm.
2. Haya yanafanyika siku chache tu baada ya kutumia 64 billioni kwa sherehe zisizo na tija ya miakaka 50
3.Taifa limeshindwa kupandisha posho ya dakya daktari ya 10 elfu tu! Kweli hawana huruma na Taifa hili. Lazima tupige kelele zaidi.
 
Hawachelewi kutoa kafara hao ccm, mara utasikia roli limepinduka, limeua...ilimradi tu Jk apate sehemu ya kuhudhuria Mazishi manake siku hizi amegeuka Corona
 
Duh!maroli tena?si ndo yale ambayo makamanda wa po.li.si huwa wanajitamba wakishika mtu anajibeba?eh imekuwaje tena...
 
Back
Top Bottom