Birthday ya CCM Mwanza, Malori yaanza kumiminika

Kati ya mambo ambayo Asasi za Kiraia wanaonekana dhahiri kutusaliti umma wa Tanzania ni pamoja na kunyamazi jii haya matumizi mabaya ya rasilmali za umma kwa shughuli binafsi za kichama.

Kwa kuwa nchi hii kuliibuka hulka kwamba ili ulinde ajira yako ni sharti uegemee CCM hata kama hukipendi kitu, wala sintoshangaa sana kuona UDASA, TPN, Tanganyika Law Society, Tanzania Human Rights Comission, Mhe Tendwa wote wakiamua kujikalia tu kimya kama vile hakuna kitu cha ajabu kiasi hiki kutokea kati kati yetu.

Ukiambiwa Dr Slaa kwamba CCM ni chama Dola, kinatumia rasilimali za serikali kuendesha shughuli zao, huelewi? Tafakari, chukua hatua...
 
THE DUALITY BETWEEN 'WHAT-IS-CCM-IS-THE-STATE' IS FAST KILLING OUR ECONOMY AND DISTORTING OUR TAXPAYER AND DONOR POWERS OVER PUBLIC RESOURCE AND PROPER USE

Something is seriously WRONG in the minds of CCM stalwart; they shall never live to see any DIVIDE NOR BOUNDARY between what is governmental and what is purely in the corridors of parochial party politics plate.

No wonder EU Committee of General Election Observers commented harshly on this DUALITYand how much it is eating down the nation bit by bit in every other socio-political and economic spectrum of our day today lives in this country.

A most delicate issue to scrutinise thoroughly and amicably to its finest logical solution once an for all - using public resources to facilitate a private political party business is a major liability in the shoulders of donors and taxpayers alike.

Who paid for the fuel in the expensive vehicles tha our RCs, DCs Cabinet Ministers, CCM MPs and the like may ha used to attend CCM Birthday in lake town of Mwanza? How are the taxpayers liable to pay for their per diems there, food and bed.

In a sense, it all means that whenever a taxpayer undertakes his responsibility and donor agencies believing to commit their hard-earned funds for the developmen purposes of this country, they MUST likewise recognised the fact that that helping hand is equaly OBLIGED without saying any louder that it facilitates fully WHAT IS PURELY CCM business within or outside the country.

Mh Mkulo nani katoa idhini rasilmali zetu zitumike kwa shughuli za kichama?

The government's bankruptcy is due to many reasons and these inclusive. Today's CCM lives as if we are in 1980s. It is purely immaterial for our leaders to live such illogical way of life. Government properties should for governments activities and full stop.
 
Wajameni- Sio rahisi kutenganisha ccm na Mali za serikali what is owned by Ccm belongs to the Govt. and what belongs to the govt is owned by ccm. Hiki ni chama Dola kwani Makada wa ccm ndiyo viongozi waandamizi wa serikali taasisi zone, majeshi yote name anything hata madawa ya kulevya ni Mali ya makada wa ccm. Ufisadi wote. The bottom line if you kick of ccm ni ukombozi kwa Africa. Kama ccm sio wafu then natakiwa nipimwe akili yangu no but Doctors are nowhere kunipima!
 
Mhe Kikwete, ugomvi wetu mkubwa sana hapa JF ni matumizi mabaya ya rasilmali zetu kwa mambo yasioleta tija kwa mwanakijiji masikini wa mwisho yule. Kwa nini CCM itumie rasilmali zetu kila leo bila woga lakini kana kwamba ni enzi za chama kimoja?
 
Kwa mtindo huu nani ataweza kuamini kitu serikali yetu inaposema haina fedha wakati kila siku tunawaona wakiishi kifahari na kujitafutia tu vimwanya vya kutumbulia kodi za taifa.

Balozi Ombeni Sefue, hadi leo umepanga kufanya nini cha tofauti na Mzee Luhanjo ili kuondoa hii hulka ya U-CCM katika mambo yasioihusu serikali?

We want to FEEL THE IMPACT of your entry into that senior office to CHANGE THESE NEGATIVE MENTALITY and drive in government corridors.

Inatia kichefuchefu kuona hata Makamu wa Rais Dr Bilal aliyeishikatika nchi za Magharibi kwa miaka mingi akisoma eti naye anapanda jukwani bila aibu ziarani mkoni eti anapokea wanachama waliovihama KAFU, CHADEMA, TLP na TGNP kujiunga na CCM - hatuafiki hata kidogo Stella Manyanya kutumbua kodi zetu kwa ajili ya kazi za serikali kukinufaisha CCM.

Wanaoshindwa kumuiga ustaarabu Dr Shein juu ya hili ni bora waachie ngazi. Mpaka hivi sasa wala sina hata uhakika kwamba aliyepigwa mawe ni Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania au ni yule kada wa CCM mjomba wake wa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi wa sasa toka Kondoa.



Tunduma zilipiwa mawe, sijui nyinyi Mwanza mnafikiriaje ?
 
Wakuu wetu serikalini mnaotumbua kodi zetu visivyo, kelele zetu si bure, unapoendelea kuendekeza tabia hii ujue kwamba unawazulumu WaTanzania wa kesho kama hawa hapo chini kwa kiasi kikubwa.

Naam, unapoona watoto wanageuka omba omba kwenye mataa na makutano ya barabara hayo yote ni matokeo ya ubinafsi wenu na kutumbua raslmali za taifa ovyo bila huruma.


0000001aaa.jpg
 
Bathdei ni ya Chama Cha Mapinduzi, rasilmali zetu za pamoja nje ya ITIKADI ZA KISIASA mkononi mwa serikali zimefikaje kwenye hiyo shughuli binasi?

Hebu tupe ushahidi wa picha ili Mama Lwakatare asiye akatushutumu kwa kueneza bure uongo hapa.


Mkuu ulivyotumia maandishi mekundu inasound direct bila hata kusoma ujumbe, hiyo ndiyo ccm zaidi uijuavyo
 
Hii Serikali ina hela bwana. Ila ni wajanja wachache tu wanaoweza kuzila kwa posho na matanuzi ya sherehe za chama na miaka 50 ya uhuru. Hatuna pesa za kulipa madaktari.

Hiyo ndiyo ccm inayotaka kuonekama wazuri usoni kwa watu wakati mambo wanayoyafanya hata mnyama asiyekuwa na utashi hathubutu hata kidogo
 
Yaani hii nchi sijui nani ataweza kuiokoa kutoka katika hili chama la magamba na maviongozi machumia tumbo lo!!!
 
Niko hapa maeneo ya Villa Park Resort jirani kabisa Kirumaba stadium mpaka dakika hii yameishaingia malori sita yakiwa yamejaza watu,tatizo yanapita kwa kasi ajabu nakuingia uwanjani moja kwa moja ila wakazi wengi walio jirani wanapiga miluzi na kuzomea kila lori linalopita huku wakionyesha vidole viwili alama ya cdm,ajabu waliomo kwenye malori hawajibu chochote badala yake wanonekana kushangaa shangaa,niki bahatisha japo picha nitawawekea,japo malori yanakuwa so speedy.
 
Japo ndani ya CCM nako kuna kizazi kipya lakini wote wanaishi katika ulimwengu wa zamani ambamo CCM ndicho kilikua ni kila kitu na bila kuweza hata kuchora mstari ya kukitenganisha mipaka yake na ile ya serikali. Something has got to be done on this.

Mkuu ulivyotumia maandishi mekundu inasound direct bila hata kusoma ujumbe, hiyo ndiyo ccm zaidi uijuavyo
 
hahaha mkuu kuna lory 2 zimepita sasa hivi zinatokea misungwi, nipo hapa mkolani
 
Zimeingia zingine 4 na taarifa zinasema wanatolewa maeneo ya Magu,Misungwi,Sumve,Kwimba na vijiji vingine vinavyo zunguka jiji la Mwanza,na wakishaingizwa uwanjani wana valishwa sare za ccm,na duru zinaarifu kuwa kuna mafundi vyerehani zaidi ya 40 wamo uwanjani toka juzi wamekuwa wakishona sare za ccm usiku na mchana chini ya ulinzi mkali wa Polisi na greenguard.
 
Back
Top Bottom