Birthday ya CCM Mwanza, Malori yaanza kumiminika

Vipi Alshabaab haijatangazwa uwepo wao? Au intelijensia haioni vizuri inapokuwa rangi ya njano na kijani?

Inteligence Machine/People niVipofu ikifika hizo rangi
 
Katika mchezo ambao vijana wa 'magamba' walitukaribisha wenyewe eti kusherekea kuzaliwa kwa chama chao, tumewapelekea gunia la mchanga kwenye pilau lao baada ya kuwatandika mabao 3 kwa 1. Hongereni vijana wa Mageuzi!
 
Intelijensia ya polisi inasemaje kuhusu tishio la Al shabaab safari hii?
 
mkuu kuna pombe za kumwaga leo bei ni bureeeeeeee wewe tu! hehehehe naona fuso 3 zimekatiza hapa tena zikiwa zimejaa makada, taarifa za kiintelijensia zinasema zimetokea ngudu
Hao si makada bali ni walalahoi wenye nia ya kula na kunywa kufidia fedha zao zilizoporwa na Chama Cha Mafisadi na vibakauchumi kugharimia upuuzi huu. Hata mimi nawaunga mkono. Wale wanywe mwisho wa sherehe wawanyooshee vidole viwili!
 
Last Supper at Kirumba.date A.d 2012.5.2 so it has written and so it shall be done
 
Kukosa kazi kubaya naona mssaburi zinavyofanys kazi. Hamna sababu hapo. Chama kinafanyia shereje mkoa wowote kinaopanga na kwa kila mwaka kutakwepo mkoa mojawapo cos hakiwezi kufanyia sherehe angani
 
Magamba na Mageuzi? Ni kama timu moja kuchezesha kati ya first eleven yao na wanaosugua benchi.
 
Nimejaribu kupitapita mitaa kadhaa Jana hapa jijini mza nikitaraji japo bashasha za 35yrs of ccm zichangamshe jiji but sehem nyingi ni Kimya zaidi ya vijana wa bodaboda kupita kwa mbwembwe na bendera za ccm, nilikutana na mangula akikata mitaa ya mwanza.

Anaonekana mjamaa kweli na kikofia cha kikomred, jioni nikawa bila bar nikitaraji kupna japo wawili watatu wa ccm wamejitia ktkt uniform za chama, kijana mmoja ndo Alikuwa na kikofia cha chama, wengi niliowaona c wenyeji hasa wenye kufahamika hapa lkn pia ckuckia mjadala wowote walau hata meza za kitabu kujadiliana juu ya kumbukumbu hii kubwa/ndogo/ya ovyo/ya muhimu etc. Cjui kipi sahihi.

Nitawahi Kirumba kufuatilia. CCM itafakari....
 
Na ukosefu wa hela katika serikali yake ni bajeti ya masaburi ?
Kukosa kazi kubaya naona mssaburi zinavyofanys kazi. Hamna sababu hapo. Chama kinafanyia shereje mkoa wowote kinaopanga na kwa kila mwaka kutakwepo mkoa mojawapo cos hakiwezi kufanyia sherehe angani
 
Back
Top Bottom