Birthday ya CCM Mwanza, Malori yaanza kumiminika

huu upuuzi wa kutumia rasilimali za umma kwa manufaa ya wachache uko sana Tanzania
inakuwaje wanatuona kama wote hatuna akili? nchi ni ya CCM peke yake?chama hakina magari?
hebu wanasiasa wapinzani na wabunge wenye mapenzi mema na uchungu kwa wananchi liongeleeni hili bungeni
nawasikitikia wana Mwanza wataodanganywa na pilau vitenge huku wakijua wazi wanaibiwa
ipo siku Mungu ataonyesha na kuwaadhibu wote wanaotudhulumu,zitawatokeani puani inauma sana
 
Nikiangalia hapa kwenye tv ni kelele tu kila mtu anacheza chake NOT ORGANIZED kama kawaida yao!
 
hujui ccm ndiyo chama kinachoongoza dola unashangaa nini kuona ma vx na v8. ndoto za chadema kuchukua hii nchi zimeota mbawa
 
Haya sasa CCM na sherehe za kiayawani jijini Mwanza, katikati ya matatizo mazito kitaifa, ndio hiyo imekwisha na watu kibao waliosombwa kutoka vijiji vya mbali mkoani hapo kudaiwa kutelekezwa bila nauli, sasa tunarudi pale pale - MADAKTARI WETU NA MANESI MNAANZA KUWALIPA MISHAHARA MIPYA NA MARUPURUPU kuanzia lini???????????

Mkumbuke kwamba na sisi Umma wa Tanzania hatuko tayari tena kuendelea kukosa huduma za kimatibabu kwa kutokana na serikali kwendelea na huu mwendo wa kusuasua - hivi karibuni na sisi huenda tukalazimika kuchukua hatua kutetea haki zetu kupata huduma iliobora maana kodi tulishatoa kwa serika.


THE DUALITY BETWEEN 'WHAT-IS-CCM-IS-THE-STATE' IS FAST KILLING OUR ECONOMY AND DISTORTING OUR TAXPAYER AND DONOR POWERS OVER PUBLIC RESOURCE AND PROPER USE

Something is seriously WRONG in the minds of CCM stalwart; they shall never live to see any DIVIDE NOR BOUNDARY between what is governmental and what is purely in the corridors of parochial party politics plate.

No wonder EU Committee of General Election Observers commented harshly on this DUALITYand how much it is eating down the nation bit by bit in every other socio-political and economic spectrum of our day today lives in this country.

A most delicate issue to scrutinise thoroughly and amicably to its finest logical solution once an for all - using public resources to facilitate a private political party business is a major liability in the shoulders of donors and taxpayers alike.

Who paid for the fuel in the expensive vehicles tha our RCs, DCs Cabinet Ministers, CCM MPs and the like may ha used to attend CCM Birthday in lake town of Mwanza? How are the taxpayers liable to pay for their per diems there, food and bed.

In a sense, it all means that whenever a taxpayer undertakes his responsibility and donor agencies believing to commit their hard-earned funds for the developmen purposes of this country, they MUST likewise recognised the fact that that helping hand is equaly OBLIGED without saying any louder that it facilitates fully WHAT IS PURELY CCM business within or outside the country.

Mh Mkulo nani katoa idhini rasilmali zetu zitumike kwa shughuli za kichama?
 
Hata kwenye besidei zetu huku ma-Uswahilini mambo yakiisha watu hurejesha viti na vyombo walivyoviazima kwa ajili ya kupendezesha sherehe sasa hadi hapo inakua vipi kwamba CCM itelekeze mamia ya watu jijini Mwanza bila kuwarudisha katika vijiji vyao baada ya kutumika kuwaondolea aibu kukimbiwa na watu wa Kanda ya Ziwa kwenye shughuli zao?
 
Hapa Mwanza leo magari ya serikali yamejaa kila sekunde unapishana na maV8 STK inaelekea sherehe za chama zimegeuka kuwa ya serikali gharama inaonekana kubwa sana kwani madc,wakurugenzi,maRC wote wapo wanatanua per diem na madereva wao, wakati madaktari na wagonjwa hoi hii ndio ccm inapotupeleka....

Kazi ipo kubwa sana mkuu; imagine wale Sungu Sungu toka Bariadi, Maswa, Meatu na sehemu nyingine walivyokuwa wamefurika pale uwanjani na ujira wao ni misosi tu. Mapema kabisa Mwenyekiti wa SISIEMU mkoa wa Mwanza alishika Mic na kutangazia umma kuwa chakula kiko tele, watu wasiondoke. Nadhani ni sungu sungu hawa hawa pamoja na umasikini wao wataopiga kura kwa SISIEMU mwaka 2015!
Safari badi ni ndefu sana kukomboa watu kama hawa.
 
nipo uwanjani ni peupe cjawai ona! jamaa akiingia ataweza kuanguka kwa presha! wamejaa wasukuma katikati ya uwanja wamesombwa na malori, yasingekuwa malori cjui ingekuwaje! majukwaa yapo waziii, mwanza si petu tena!

Hacha panic mkuu, hayo malori yanakuogopesha???
 
Back
Top Bottom