mkuu vipi mvua au proper irrigation?kama irrigation sure this is a deal,na well bajaj sina uhakika kuwa ina guarantee ya mda gani!kama ni chini ya 3yrs nayo si deal kivile,well thank u much kwa michango yenu,nadhani tz tunaweza ila mawazo ya kuchangiana mtu unakosa unajikuta wajitosa kichwa kichwa at the end unaua mtaji!! very bad!!
Yaani hapo umetegemea mvua, na umelima mara moja kwa mwaka (miezi mitatu tu). The rest of the year waweza kufanya mambo yako mengine wakati ndugu yako wa bajaj anaendelea kukomaa.
Ukiweza irrigation ndio kabisa maana waweza kulima na kuvuna hata mara 3 kwa mwaka ... yaani hiyo faida hapo zidisha mara 3.
Mwaka huu mvua haijanyesha na kuna maeneo njaa ishaingia, lakini kuna mzee tumemtembelea bagamoyo mwezi uliopita na ndani ya dakika 10 tukawa tunakula mahindi ya kuchoma. Amemwagilia? wala. Indi jani bichi, anafukuza ngedere tu na punda za wamang'ati. Halafu mashamba kibao ya watu wengine yamemzunguka yanaota jani tu.
Leo nimesikia Bagamoyo inasaidiwa chakula kwa sababu ya njaa. What an irony!