Kati ya Guta na Bajaji ipi inafaa zaidi?

Friedrich Nietzsche

JF-Expert Member
Sep 22, 2022
1,145
1,912
Mnaomiliki hivi vyombo vya moto au madereva au kama una experience Naomba ushauri

Kati ya guta na bajaji ipi
-Inarudisha hela mapema
-Inauhakika wa hela kwa boss
-Ikitokea dharula inauzika
-mzunguko wake hausumbui??

Nimechukua mkopo wenye riba ya 10% lengo ninunulie Guta.Atleast hiyo nimepigiwa story na dereva mmoja anayaendesha anasema ni biashara nzuri.

Leo nimekutana na mwenye bajaji ananiambia nisije jichanganya. sasa naona kila mtu anavutia kwake.

Sasa naomba ushauri kwa wamiliki au wenye utaalamu wa hivi vyombo vya moto.

Ipi nzuri kwa biashara na kurudisha hela mapema
 
Biashara ya kumuachia mtu akuzalishie huku ukiwa unaendelea na mambo yako, inahitaji umakini mkubwa sana. Umimkabidhi kichaa, basi tegemea maumivu.

All in all, Bajaj ina uhakika zaidi wa marejesho kuliko hilo guta. Muhimu umpate tu kijana anayejitambua; halafu unaingia naye mkataba wa kumuachia hiyo bajaj baada ya muda fulani wa marejesho. Mara nyingi ni baada ya miaka miwili ya kukuingizia salio; bajaj inakuwa ya kwake.
 
Biashara ya kumuachia tu akufanyie inahitaji umakini mkubwa sana. Umimkabidhi kichaa, basi tegemea maumivu.

All in all, Bajaj ina uhakika zaidi wa marejesho kuliko hilo guta. Muhimu umpate tu kijana anayejitambua; halafu unaingia naye mkataba wa kumuachia hiyo bajaj baada ya muda fulani wa marejesho. Mara nyingi ni baada ya miaka miwili ya kukuingizia salio; bajaj inakuwa ya kwake.

Biashara ya Guta ni uongo syo??
 
Mnaomiliki hivi vyombo vya moto au madereva au kama una experience Naomba ushauri

Kati ya guta na bajaji ipi
-Inarudisha hela mapema
-Inauhakika wa hela kwa boss
-Ikitokea dharula inauzika
-mzunguko wake hausumbui??

Nimechukua mkopo wenye riba ya 10% lengo ninunulie Guta.Atleast hiyo nimepigiwa story na dereva mmoja anayaendesha anasema ni biashara nzuri.

Leo nimekutana na mwenye bajaji ananiambia nisije jichanganya. sasa naona kila mtu anavutia kwake.

Sasa naomba ushauri kwa wamiliki au wenye utaalamu wa hivi vyombo vya moto.

Ipi nzuri kwa biashara na kurudisha hela mapema
Huo mkopo umepata wapi na sisi utufahamishe.
 
Biashara ya kumuachia mtu akuzalishie huku ukiwa unaendelea na mambo yako, inahitaji umakini mkubwa sana. Umimkabidhi kichaa, basi tegemea maumivu.

All in all, Bajaj ina uhakika zaidi wa marejesho kuliko hilo guta. Muhimu umpate tu kijana anayejitambua; halafu unaingia naye mkataba wa kumuachia hiyo bajaj baada ya muda fulani wa marejesho. Mara nyingi ni baada ya miaka miwili ya kukuingizia salio; bajaj inakuwa ya kwake.
Umechangia vzr pia umeongea kwa uzoefu mnk na mm nimewahi miliki bajaji 3 nikawapa vijana nilishiaa kuwa maarufu vituo vya police kila wkt naitwa na kwenda kukomboa bajaji na case mbalimbali za kuhusu bajaji

Mara ya mwisho bajaji yangu ilihusika kubeba bangi na kuhusika kubeba vitu vya wizi hvyo ilihiataji na mahakama Kama ushaidi nilionga laki mbili niitoe ili police wasije ipelekea mahakamani kama kidhibitisho

Kama hicho chombo utaendesha mwenyewee Basi itakuwa vzr snana pesa utaona vinginevyo tarajia kufilisikaa
 
Mnaomiliki hivi vyombo vya moto au madereva au kama una experience Naomba ushauri

Kati ya guta na bajaji ipi
-Inarudisha hela mapema
-Inauhakika wa hela kwa boss
-Ikitokea dharula inauzika
-mzunguko wake hausumbui??

Nimechukua mkopo wenye riba ya 10% lengo ninunulie Guta.Atleast hiyo nimepigiwa story na dereva mmoja anayaendesha anasema ni biashara nzuri.

Leo nimekutana na mwenye bajaji ananiambia nisije jichanganya. sasa naona kila mtu anavutia kwake.

Sasa naomba ushauri kwa wamiliki au wenye utaalamu wa hivi vyombo vya moto.

Ipi nzuri kwa biashara na kurudisha hela mapema
Inategemea na eneo uliopo kama upo kwenye miji inayokua kwa kasi ambapo ujenzi ndo habari ya mjini nunua guta ila kama upo mjini nunua bajaj

All in all usiogope kujaribu hata ukishindwa utakuwa umejifunza habari cjui zinaharibika na trafic au usimamizi ni changamoto za biashara
 
IST nayo ni GUTA ila wacha nirudi ktk mada..

Guta lipi ? Lenye injini au Guta lenye pedals?..

So far.. hesabu ya GUTA per day ipoje? Una determine vip makusanyo yako ww kama BOSS.

IMG_5203.jpg
 
Umechangia vzr pia umeongea kwa uzoefu mnk na mm nimewahi miliki bajaji 3 nikawapa vijana nilishiaa kuwa maarufu vituo vya police kila wkt naitwa na kwenda kukomboa bajaji na case mbalimbali za kuhusu bajaji

Mara ya mwisho bajaji yangu ilihusika kubeba bangi na kuhusika kubeba vitu vya wizi hvyo ilihiataji na mahakama Kama ushaidi nilionga laki mbili niitoe ili police wasije ipelekea mahakamani kama kidhibitisho

Kama hicho chombo utaendesha mwenyewee Basi itakuwa vzr snana pesa utaona vinginevyo tarajia kufilisikaa

mbona unanitisha
 
Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom