Biashara ya Usafirishaji kwa Bajaji: Ueandeshaji, Changamoto, Faida na Ushauri

Vipi wazeee, naombeni ushauri juu ya bajaji ni bajaji ya aina gani ni nzuri ikifanya kazi italeta faida? Na ni nini changamoto ya bajaji?
 
Swali langu la Kwanza kabisa.

Hiyo bajaji ataendesha Nani? Wewe mwenyewe au utatafuta dereva? Ukinijibu Hilo nitaendelea na maswali mengine.
 
Wapendwa wanajanvi napenda kuingia kwenye changamoto ya biashara ya bajaj. Tatizo sijui chochote kiusahihi kuhusu biashara hii. Kuanzia changamoto zake, beizake, zinaripaje.

Na hata aina naziona tu barabarani. Ningeomba kama kuna mdau anieleze pia kwa dar es salaam in eneo gani linalia
Natanguliza shukrani.
 
Vipi na za upande wa mkataba, naomba mwenye softcopy ya mkataba wa bodaboda au bajaji atuwekee hapa itatusaidia sana
 
wangapi baada ya kusoma uzi huu walinunua bajaj
Mimi ninazo tano za mikataba moja mkataba wake unaisha mwezi huu tar30 ila nataka kuachana na hii biashara maana madereva wanalalamika kazi mbaya hela wanaleta kwa kusua sua sana.

Nadhani zimekuwa nyingi sana mjini kila mtu akipata hela yake anaona aiingize humo so kazi ni za kunyang'anyana sana tofauti na miaka miwili nyuma.
 
mkataba wako miezi mingapi?
ulikuwa unapark kijiwe gani amabacho kilikuwa na wateja?
 
Back
Top Bottom