Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

hebu pata likizo halafu simamia mwenyewe kwa muda ili uone mwelekeo!!!

Nakubaliana na kuchukua likizo ili kusimamia, lakini kabla ya hapo jaribu kuwepo dukani kila baada ya kazi pamoja tumia week ends na siku zako za off uuze mwenyewe utaona mapungufu mengi kwa mfano:

1. Muuzaji yupo makini na kazi au mladi apata mshahara.
2. Muuzaji anaanza bei za juu ili apate cha juu huku kwa upande mwingine.
anawafukuza wateja.
3. Duka lako lisiwe kijiwe cha mashost au vijana, baadhi ya wateja.
utawapoteza
4. Hata kama nguo ni zile try re-arrangemennt zingine zifiche/store kwa muda.
5. Usifanye biashara kuwa iwe part time au ya ziada, ifanye ndo itakayokuewka mjini muda si mrefu,UTATOKA TU
 
Nakubaliana na kuchukua likizo ili kusimamia, lakini kabla ya hapo jaribu kuwepo dukani kila baada ya kazi pamoja tumia week ends na siku zako za off uuze mwenyewe utaona mapungufu mengi kwa mfano:

1. Muuzaji yupo makini na kazi au mladi apata mshahara
2. Muuzaji anaanza bei za juu ili apate cha juu huku kwa upande mwingine
anawafukuza wateja
3. Duka lako lisiwe kijiwe cha mashost au vijana, baadhi ya wateja
utawapoteza
4. Hata kama nguo ni zile try re-arrangemennt zingine zifiche/store kwa muda
5. Usifanye biashara kuwa iwe part time au ya ziada, ifanye ndo itakayokuewka mjini muda si mrefu,UTATOKA TU

Asante sana sana nimejifunza mengi
 
- Ndugu yangu biashara ya nguo kwanza ni biashara ya msimu.

- Pili,lazima uangalie wateja wako ni watu gani jaribu kulisoma soko halafu uagize bidhaa kulingana na mahitaji ya soko

- Tatu, pia kuitangaza biashara yako ni muhimu.

Mwisho angalia hapo ulipo potential competitors ni akina nani na ni kwa nini wana wateja wengi.
 
Habari wakubwa mimi ni kijana mwenzenu nasoma chuo Iringa mjini RUAHA UNIVERSITY, napenda kufanya biashara ya nguo za mtumba so naomba kwa yeyote mwenye utaalamu au uzoefu mahali pa kupaia mabelo au jinc ya kupata mzigo mzuri na bei zake na aina. nitashukuru nikipata majibu mazuri wakuu na maelekezo kwa kina. Likizo huwa nipo Dar.
 
Mkuu nguo za mitumba zinatofautiana bei. kuna balo la laki2, 3, 4, 5 hadi laki sita na kuendelea. na balo lenye nguo za kike, kiume, watoto., mashuka, sidilia. chupi nk. kama utakua unauza kwa jumla freh lakini kama rejareja ni kuomba Mungu. Balo lenye nguo 200 nguo nzuri unakuta ni 80 na zinazo uzika ni 140 inategemea simetoka wapi kama ni china itakula kwako. je zinazo baki utazipeleka wapi?.

USHAURI WANGU

Nenda kwenye minada ya nguo ununue moja moja inayo kuridhisha kisha upeleke golini kwako. mia
 
USHAURI WANGU.

Nenda kwenye minada ya nguo ununue moja moja inayo kuridhisha kisha upeleke golini kwako. mia
Nashukuru nitafanyia kazi ushauri wako mkuu.
 
Naweza kukutumia mzigo toka Canada. Hiyo ni moja ya line ya biashara yangu, lakini line kubwa ni used shoes na soko langu kubwa ni Phillipines.

Nijulishe budget yako ni shillingi ngapi? sintoweza fikisha mzigo Iringa, nitaishia DSM. Je, nitapataje pesa yangu? Naweza utuma kwa gharama zangu na wewe ukaja uangalia na kuulipia baada ya kutolewa bandarini. Ili kama utaona haukufai basi ukauacha. Nasema hivi maana nina uhakika na quality ya product zangu.

Au ni PM tuweze ongea zaidi.
 
Je, kama balo lenye nguo 200 na zote ni super yaani nzuri na zote from Canada, bei inasimamaje?
 
Naweza kukutumia mzigo toka Canada. Hiyo ni moja ya line ya biashara yangu, lakini line kubwa ni used shoes na soko langu kubwa ni Phillipines.

Nijulishe budget yako ni shillingi ngapi? sintoweza fikisha mzigo Iringa, nitaishia DSM. Je, nitapataje pesa yangu? Naweza utuma kwa gharama zangu na wewe ukaja uangalia na kuulipia baada ya kutolewa bandarini. Ili kama utaona haukufai basi ukauacha. Nasema hivi maana nina uhakika na quality ya product zangu.
Au ni PM tuweze ongea zaidi.

A

Naona kuna biashara hapa Mkuu, hebu mwaga data zote tuzifanyie kazi ili wadogo zetu wapate ajira. Naomba utujulishe balo moja la viatu lina pea ngapi kwa wastani na bei ni kiasi gani, muda gani wa kusubiri mzigo toka kutumwa mpaka kuupokea Dar na namba za viatu hivyo zinaanzia ngapi mpaka ngapi.
 
Viatu hivi nakusanya mwenyewe yaani ni hand-picked. Navinunua kwa watu. Vingine havijavaliwa kabisa. Kabla ya hapo nilikuwa nanunua kwa mhindi mmoja hapa Ontario lakini baadae nimeona nikusanye mwenyewe. Lengo langu ni kupata entrepreneurs serious ili baadae waache fuata viatu au nguo quality huko Nairobi.

Ndani ya bale moja naweka pair 40. Hizi ni pair za kike,na za watoto plus few for males. Kuna sports shoes na leather shoes. Ila kwakuwa nakusanya na kufunga mwenyewe waweza order kadri upendavyo mfano waweza sema unataka vya kike tu. Mimi nitaleta tu. Maana sina shida na soko. Wakati nanunua hivi viatu ninawaambia wazungu sinunui vibovu. we buy gently used shoes. Vingine ni vipya kabisa.

Inachukua siku 40 mpaka 45 mzigo kufika. Nasema hivi maana kwenye shipping ni kampuni nyingine. Nawapa mzigo wasafirishe lakini sina control juu yao.

Bei itategemea na selection yako. Ila siweki viatu vyo hovyo maana sinunui viatu vya hovyo.
 
Mkubwa nimekusoma vyema, nitarudi kwa mjadala zaidi na ingekuwa vyema ukatupia e-mail yako kwa pm kama hutajali.
 
Naweza kukutumia mzigo toka Canada. Hiyo ni moja ya line ya biashara yangu, lakini line kubwa ni used shoes na soko langu kubwa ni Phillipines.

Nijulishe budget yako ni shillingi ngapi? sintoweza fikisha mzigo Iringa , nitaishia DSM. Je nitapataje pesa yangu? Naweza utuma kwa gharama zangu na wewe ukaja uangalia na kuulipia baada ya kutolewa bandarini. Ili kama utaona haukufai basi ukauacha. Nasema hivi maana nina uhakika na quality ya product zangu.
Au ni PM tuweze ongea zaidi.

A
Niko tayari kaka nipe mchanganuo nimeku-PM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom