Biashara ya mtumba

Ibnu uthaimin

Member
Jul 22, 2020
23
22
Hello guys,

Kama upo na mtaji niletee mzigo wa belo za baibui za mtumba tufanye kazi, fremu ipo good location, unaweza kujitengenezea laki 3+ kila mwez.

Belo moja ya baibui grade A ni km laki 6-7. Nipo Zanzibar, any one interested na hiyo biashara nione, serious people only kama nilivyofanya mara ya kwanza
 
Mara ya kwanza ulifanyaje? Kwanini usirudi hukohuko kwa mwanzo ambapo ulifanya kwa uhakika? Ni ngumu sana mtu kuweka senti yake mahali pa kubahatisha
 
Mara ya kwanza niliweka bango hapa nikapata mtu na nafanya nae kazi vizuri tu nakuwa naengeza fremu sehemu nyengine then nikafanya tena hivo. Hii biashara sibahatishi coz naijua vilivyo. Almost saiv niko na fremu tatu, mawazo ya kubatisha ni ya kimaskini coz ambao nabatika nao wanafika kabisa kwenye ofisi kujionea.. so hatubahatish hpa bro
 
Hello guys,

Kama upo na mtaji niletee mzigo wa belo za baibui za mtumba tufanye kazi, fremu ipo good location, unaweza kujitengenezea laki 3+ kila mwez.

Belo moja ya baibui grade A ni km laki 6-7. Nipo Zanzibar, any one interested na hiyo biashara nione, serious people only kama nilivyofanya mara ya kwanza
'M here bro kama unaweza hebu call me Kwa namba hii tuongee tufanye biashara Mzee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom