Duh!kweli mkuu,alikuwa anamvuto mkubwa!alikuwa mkali enzi zake eeh!
Lakini kwa bahati mbaya mungu hakumjalia kupata mtoto!Huyu mwanamke alikuwa na sio wa kawaida!...inaonekana aliula ujana wake vizuri, lkn pia akaufaidi uzee fresh tu!! bia fegi...ujanai hadi uzeeni! RIP Kidude!
Unamaanisha nini mkuu?jamani hv hata asiyeona huwezi kumdanganya
Duh!alikula chumvi nyingi sana!Bi.Fatma binti Baraka Hamisi {Bi.Kidude} kafariki akiwa na umri wa miaka 102.
Lakini kwa bahati mbaya mungu hakumjalia kupata mtoto!
Ni kweli kabisa mkuu!Mungu hawezi kukupa vyote!
View attachment 70916Hapa akiwa London miaka ileeeee...