Barua ya wazi kwa Dr Slaa Part 1 + 2 kuelekea 2015

Hii nimeipenda sana....unataka ujadili uchumi wetu sisi watanzania?? Kwani huko kwenu kuna chama gani makini na uweke ilani yao hapa ili tutakapoweka ya chadema ambayo umeshaifanyia judgement kabla ya kuiona tuweze kucompare... after all ilani ya huku kwetu inasimamiwa na vasco sasa akimaliza uvumbuzi wa kuzunguka dunia nadhani ataanza kuitekeleza...

Usikurupuke.

Nisome mstari kwa mstari utanielewa.

Usikurupuke.

Nisome mstari kwa mstari utanielewa.

Yawezekana lugha nayo taabu kidogo ......unaposema "Kwani kimtazamo wangu sioni kama huko Tz kuna chama makini na chenye sera makini katika kuhuisha uchumi wenu." ....tayari hiyo ni biasness na huwezi kuwa fair katika mmamuzi hata kidogo.. Sasa sijui mkurupaukaji nani kati ya mimi na wewe.......Sasa jibu hoja maana kuelewa ndio tatizo. Kwa lugha nyingine nimekuuliza... wewe mnyarwanda au msomali??
 
Mawazo yako si mabaya. Kosa kubwa ulilofanya ni kujipa uhakika wa asilimia 100 kuwa Dr Slaa ndiye atakayekuwa rais mpaka unamwandikia barua ya wazi. Kwanza mpaka sasa hatujajua kama atagombea yeye. Lakini pamoja na hayo, kiswahili ni lugha tamu sana katika kuongea na adhimu yenye ladha, unaweza kuwa unajua kiingereza pia likini si lazima watu wote wajue kuwa unajua. Thread yako ungeiandika kiswahili tu, ingependeza zaidi. Pia kichwa kiwe 'barua ya wazi kwa rais wa awamu ijayo'

Naomba tuangalie content inaujumbe gani. Kiswahili kiswahili kitu gani, what has kiswahili done for this country?
mbona serikali iliyomadarakani imeshindwa kuwaheshimu waswahili badala yake inawakumbatia waongea
kiingereza, kichina na kihindi.

Alafu usitake kudanganya watu, kiswahili hakijawahi kuwa sehemu ya maendeleo mbayo yanafurahiwa na
watu huko ulaya na america hivyo hakijitoshelezi hata kidogo kuzungumzia mambo yanayoendana na
maendeleo hayo, kitu ambacho ndio mtoa mada anakiadress. Naiependa lugha yangu lakini tusiikweze
bila sababu za msingi.

Naomba Mada iendelee bila kubadilisha kitu chochote kile. Swala la DR, wote tunategemea agombee
ili aendelee kutuongoza kwa muhura wa pili, na kiukweli huyu mzee kimantiki ataiongoza hii nchi kwa
mihula mitatu.
 
WADAU WANAJAMVI. MBONA MNAHAMA MJADALA? KAMA mwamtaka rais mwenye weledi fulani, kwa nini msimshauri akawe mkuu wa kitengo husika kwenye weledi huo? Hapa ninasema kuwa kama Slaa anakuwa rais, suala la yeye kuwa mwana-uchumi aliyebobea kwenye mambo ya fedha linatoka wapi? Nadhani aliyeanzisha uzi alitaka mtu mwenye UTASHI NA UTAYARI wa kufanya maamuzi MAGUMU. KWAKE YEYE DR SLAA ameona ndiye anayefaa kutenda hayo. Rais hapaswi kuwa technical person japo akiwa na ufahamu wa mambo flani flani kweke yeye ni added value, but hatumuhitaji rais daktari ili ziwepo dawa za kutosha hosptalini. Hatumuhitaji rais mkulima ili wakulima wapate masoko, na maisha bora, hatumhitaji rais mwanamke ili wanawake wapate haki zao! Kufikiri kwa jinsi hii kunatufanya tuonekane 'hatujui context, hatujui nini tunahitaji, na hatujui tunataka kwenda wapi'.

Kwanza siamini kuwa udaktari wake ni 'fake'kama ulivyosema,kwani sidhani kama una ushahidi.Yapo mapungufu yake yaseme hayo akiweza ajirekebishe kama huyaoni hayo watu watajua hana na watazidi kumpenda.[/QUOTE]
 
Yawezekana lugha nayo taabu kidogo ......unaposema "Kwani kimtazamo wangu sioni kama huko Tz kuna chama makini na chenye sera makini katika kuhuisha uchumi wenu." ....tayari hiyo ni biasness na huwezi kuwa fair katika mmamuzi hata kidogo.. Sasa sijui mkurupaukaji nani kati ya mimi na wewe.......Sasa jibu hoja maana kuelewa ndio tatizo. Kwa lugha nyingine nimekuuliza... wewe mnyarwanda au msomali??
nafikiri sasa umenielewa. Sikutaja chama chochote bali nimesema vyama vyote huko Tz.

Sasa naona tuendelee. kama zipo hizo ilani basi ziwekeni kule ukwenye barza la uchumi ili wachumi tuipembue na kuona bayana yake.

Huwa wenyewe wakikaa wanamsifia rais wao wana sema JK ni msikivu,ni mtu wa watu,mwenye tabasamu
haya yanasaidia nini nchi yetu.hakika wale waliopewa fadhila na JK ndiyo wanaomsifia kana kwamba atadumu milele madarakani
angalieni siku za ja mtakuja hukumiwa kwa yale mliyo yatenda:embarassed2:
 
Wapo maparde wenye profession kibao tu, mimi hili silipingi. But Slaa hana profession yoyote zaidi ya Upadre!! Pia hapa naongelea uelewa wa Slaa kwenye mambo ya Finance na si vinginevyo!

Mkapa alisomea wapi uchumi? Mbona alijenga uchumi hata JK alimsifia kwa kujenga uchumi imara ambao yeye kautafuna kama Mwinyi.
 
Yawezekana ukawa sahihi kati ya wanaokosea pia.... najiuliza na nakuuliza wewe na wenzio mnaokwenda tu kwa ushabiki huyu Vasco anatupeleka wapi kiuchumi?? Inflation imefikia 20% toka 6% na bado inasonga mbele....Halafu niliwahi sikia alisoma uchumi.....

Hili swali atajifanya hajaliona mkuu. Ninachompendea FF huwa anakubali kwa kusepa swali. .....unapoona kakaa kimya ujue ndo kakubali hivo. hujalinote hilo?
 
Ni kweli kabisa mkuu wala sio yeye tu ona hata mshirika wake hapo juu kasepa kiaina....hawana hoja hawa.
 
Viwanda vya kukamuwa mafuta vilivyopo sasa vinafanya kazi wakati wa msimu tu kwa kuwa havipata sunflower za kutosha kusindika mwaka mzima. Viwanda ni vingi kuliko mazao. Sasa ukaongeze tena kingine kikubwa bila kuwa na mazao? hapo umechemsha! Wacha "kilimo kwanza" ifanye kazi waweze kuwa na mazao ya kuendesha hivyo viwanda vilivyokuwepo sasa, mwaka mzima bila kufungwa. Hapo wala huna haja ya kufanya hizo alinacha zako, wenye viwanda vya sasa wataongeza wenyewe au watakuja "players" wapya bila hata ya kukopa kwa njia zako.

Nilikuwa na maana vinavyomilikiwa na wenye alizeti wenyewe siyo vile vya watu wanaonunua na kukandamiza kwa bei ndogo, but it is ok, na je hayo mengine vipi maana we naona kila mahali ukichangia huwa unajikitazaidi kurekebisha, are mult skilled or you are just average unayesoma kwa kutafuta mtu kakosea wapi! natania tu!
 
Net asset value sisi wa Lamu kwa kiswahili tusema "uwekezaji mali kwa viwango vyenye thamani"

NAV= (Assets-Liabilities)/Number of ordinary shares, hicho ndiyo kiswahili chake eti! great!

WADAU WANAJAMVI. MBONA MNAHAMA MJADALA? KAMA mwamtaka rais mwenye weledi fulani, kwa nini msimshauri akawe mkuu wa kitengo husika kwenye weledi huo? Hapa ninasema kuwa kama Slaa anakuwa rais, suala la yeye kuwa mwana-uchumi aliyebobea kwenye mambo ya fedha linatoka wapi? Nadhani aliyeanzisha uzi alitaka mtu mwenye UTASHI NA UTAYARI wa kufanya maamuzi MAGUMU. KWAKE YEYE DR SLAA ameona ndiye anayefaa kutenda hayo. Rais hapaswi kuwa technical person japo akiwa na ufahamu wa mambo flani flani kweke yeye ni added value, but hatumuhitaji rais daktari ili ziwepo dawa za kutosha hosptalini. Hatumuhitaji rais mkulima ili wakulima wapate masoko, na maisha bora, hatumhitaji rais mwanamke ili wanawake wapate haki zao! Kufikiri kwa jinsi hii kunatufanya tuonekane 'hatujui context, hatujui nini tunahitaji, na hatujui tunataka kwenda wapi'.

Ndugu Umenena Vyema, tatizo la wengi ni hilo, Rais tunaemhitaji ni yule atakae weza kusimamia mfumo mzima wa serikali ufanye kazi na si vinginevyo, Rais atateua wachumi na atahakikisha wanafanya kazi! tunataka rais mwenye mapenzi mema na nchi hii, mwenye mapenzi mema na Wananchi, mwenye kupenda haki ifanyike, mwenye utashi wa kweli kuwakomboa waTZ kutoka kwenye shimo la uduni wa maisha wakati nchi ni tajiri, na mwenye sifa hizi tulio wengi tunamfahamu ni Dr W.P Slaa, mimi sijaona mwingine!
 
Viwanda vya kukamuwa mafuta vilivyopo sasa vinafanya kazi wakati wa msimu tu kwa kuwa havipata sunflower za kutosha kusindika mwaka mzima. Viwanda ni vingi kuliko mazao. Sasa ukaongeze tena kingine kikubwa bila kuwa na mazao? hapo umechemsha! Wacha "kilimo kwanza" ifanye kazi waweze kuwa na mazao ya kuendesha hivyo viwanda vilivyokuwepo sasa, mwaka mzima bila kufungwa. Hapo wala huna haja ya kufanya hizo alinacha zako, wenye viwanda vya sasa wataongeza wenyewe au watakuja "players" wapya bila hata ya kukopa kwa njia zako.

You look critical but empty headed! Viwanda ninavyosema hapa siyo MO au Muza oil, tunsema viwanda vya watanzania sasa wewe hushangai wanaishiwa na alizeti lakini wananchi hawazalishi vya kutosha! Think big usi we mtaji wa CCM toka huko ulipo
 
Wewe hivyo viwanda unavyovisema ni Watanzania hao au wewe ndio uliwapa uraia wa nje.

Uzalishe kiwandani kabla hujalima? unanchekesha! Funguka kidogo. Viwanda Singida vyooote vya kusindika mafuta vinamilikiwa na Watanzania na hakuna hata kimoja cha mwekezaji kutoka nje. Mazao yenyewe yako wapi kwa sasa, mpaka uwekeze kiwanda kingine hapo? Kuna mtu nnamjuwa ana viwanda vidogo viwili hapo hapo Singida, cha tatu kakihamisha na kupeleka Mwanza. Unamjuwa? Abdallah Omari, nenda kamuulize kuhusu kusindika mafuta, huyo ni mtu wa mwanzo mwanzo kuwa na viwanda vya kusindika hapo Singida. Kiwanda chake kimoja kinatazamana na geti la SIDO na cha pili kipo pembeni ya Godown la Mohamed Enterprise.

Naongea kitu nnachokijuwa. Na nnajuwa sana kuhusu hivyo viwanda vidogo vidogo vya kusindika hayo mafuta.

Usipoteze watu, ungeanzia kwenye kilimo cha kulisha hivyo viwanda kabla kuongelea viwanda. Ukiongelea kiwanda kwanza ujuwe "raw material" unaipataje na kwa kiasi kipi, Wewe unataka kukimbia kabla hujatambaa?

Kafanye tena homework yako au m PM Slaa ukuleta hapa huo upupu wako ujuwe unapokosea tutakujulisha na ukiendelea tutakupasha.
Napenda vile unavyotaka kubadili mada, lakini mimi sitaki kujadili vitu trivial, lakini nikuulize hivi hiyo QE ninayosema umenielewa, we kiri tu kama bado nitakuelekeza lakini mi si zungumzii mashine za kichina za kuchuja alizeti, na hayo ni mambo ya kawaida, ili mtu aanzishe biashara lazima afanye feasibility study na kwa hii tayari lazima wangefanya upembuzi kuona wanapata wapi raw materials, management, etc, lakini ninachozungumza hapa ni kukosekana kwa mitaji na jinsi ya kutumia QE kwenye PE ili kustimulate uchumi, alizeti was just a simple example to me, hizi mada ni za kuleta mawazo japo kidogo kwa utaalamu tulio nao, and infact these are very high level staff, sasa mtu average kama wewe utaishia kutukana tu mara upupu, ndiyo nini kwanza huo upupu! mi nitaendelea kusema tu tena kwa utaratibu huu! nimesema leta mbadala wa QE na PE kwenye ku stimulate uchumi acha porojo, la unga mkono nchi iende! we are just puting staff here wewe unajuaje kama na wengine wanaweza kuona ni kitu kizuri wakafanyia kazi.
 
Kijana nimekusoma sana na nimeona wewe ndio unaandika upupu toka mwanzo wa hii thread.
Unachoandika hapa ni Theories ulizozisoma/ambazo currently ndio unazisoma darasani ambazo kwenye real life situation hazifanyi kazi. Umeonyesha poor reasoning na poor means ya kustimulate uchumi.

Kuna njia rahisi sana za kusaidia kustimualate kukua kwa uchumi ambazo hata mtoto mdogo anazifahamu..kama vile kuimprove infrastructure, communication, technology, tax holiday, creating new jobs na nyingine nyingi tu. Unachojaribu kutuambia hapa toka mwanzo ni means of financing yaani namna ya kuraise capital na siyo namna ya kustimulate uchumi.

Kuna sehemu pia umeongolea eti serikali inunue or issue Corporate bonds! Unafahamu kwanza maana ya Corporate bonds? Unajua zinavyofanya kazi? Kwanza kajifunze tofauti ya Treasury Bonds, Treasury Bills na Corporate bonds ndio uje hapa.

Pia umeongelea Equity sana. Kumbuka kuwa Equity ni most expensive means of financing, you better go for Debt/Loans than going for Equity. Ndio maana kuissue equty ni final decision cuz inasababisha kupungua kwa % ya ownership ya ownerz waliopo.

Inabidi umshukuru sana FF kwani kakuambia na kukufunza kilichopo na kinachoendelea kwenye mazingira yetu! Hizo theories zako kazisome tena upya ndio uje hapa..hicho unachokiongelea toka mwanzo wa hii thread ni kitu ambacho hakipo na ni kama ndoto za mchana tu!!
 
Hapo umemaliza mkuu. Piga kite, kunja nne. Kama ni mvutaji, tumia kiko kabisa...ha ha haaa, umenifurahisha sana.
 
Wewe muanzisha thread unaota ndoto za mchana, labda kwa kukusaidia Slaa, ni Rais Kivuli wa Tanzania.
 
Kijana nimekusoma sana na nimeona wewe ndio unaandika upupu toka mwanzo wa hii thread.
Unachoandika hapa ni Theories ulizozisoma/ambazo currently ndio unazisoma darasani ambazo kwenye real life situation hazifanyi kazi. Umeonyesha poor reasoning na poor means ya kustimulate uchumi.

Kuna njia rahisi sana za kusaidia kustimualate kukua kwa uchumi ambazo hata mtoto mdogo anazifahamu..kama vile kuimprove infrastructure, communication, technology, tax holiday, creating new jobs na nyingine nyingi tu. Unachojaribu kutuambia hapa toka mwanzo ni means of financing yaani namna ya kuraise capital na siyo namna ya kustimulate uchumi.

Kuna sehemu pia umeongolea eti serikali inunue or issue Corporate bonds! Unafahamu kwanza maana ya Corporate bonds? Unajua zinavyofanya kazi? Kwanza kajifunze tofauti ya Treasury Bonds, Treasury Bills na Corporate bonds ndio uje hapa.

Pia umeongelea Equity sana. Kumbuka kuwa Equity ni most expensive means of financing, you better go for Debt/Loans than going for Equity. Ndio maana kuissue equty ni final decision cuz inasababisha kupungua kwa % ya ownership ya ownerz waliopo.

Inabidi umshukuru sana FF kwani kakuambia na kukufunza kilichopo na kinachoendelea kwenye mazingira yetu! Hizo theories zako kazisome tena upya ndio uje hapa..hicho unachokiongelea toka mwanzo wa hii thread ni kitu ambacho hakipo na ni kama ndoto za mchana tu!!

Sometimes you dont need to show others kwamba hujui na ndiyo msiba mkubwa kwetu, kwamba you know that you dont know, halafu unageuza kutujulisha kwamba unajua, mimi sijasema serikali itoe corporate bonds! we vipi bwana Corporate bonds zinatolewa na corporates, not government na nilikujulisha the difference of the two in terms of credit spread ambayo wala hujawahi kusikia, badala ya kubisha ungekuja na kitu kingine bas, infrustructure na zingine ni vitu vya kawaida hata wa shule ya kata anajua na ndiyo uwezo wako umeishia hapo, halafu mimi sikusema Equity nimesema Private Equity (PE) na uhusiano wake na Quantitative easing! for your information wewe kilaza, hizo siyo theories it is what happened in Japan years ago sijui unajua? hata hivyo nimeshajua huna mpya unasoma ma MBA yako ya evening class sasa umekuja kuni critisise wakati huja elewa kitu! mimi sijasoma ordinary kama wewe weka hoja ya maana kupinga QE in relation to PE, na ukitakakujua zaidi I will teach you! and infact najua ninachosema sisubiri kudesa kwenye net and wewe huwezi kunishinda mimi kwenye hoja, never on earth, stick to the point! acha porojo! mi nilifikiri mna mitazamo ya kuleta mabadiliko kumbe bure kabisa! and hulazimishwi kuelewa take your own ways, lete hoja yako mpya tuone unaweza!
 
Binafsi ningeshauri kama kuna mtu ana ilani ya uchaguzi a Chadema. basi aiweke hapa ili wataalamu wa uchumi tuone je inaweza kusaidia kuinua uchumi wa TZ.

Au aipeleke kwenye ukumbi wa Uchumi tuijadili kitaalamu zaidi. Kwani kimtazamo wangu sioni kama huko Tz kuna chama makini na chenye sera makini katika kuhuisha uchumi wenu.

Dah kweli Tz kazi tunayo. Kama na wewe unajiita msomi kwa upeo finyu na pumba unazotapikaga humu kweli tunasafari ndefu kuelekea ukombozi wa nchi hii. Siyo kosa lako maana JK naye ni mchumi lakini kwa bahati mbaya hajui kwa nini Tz ni masikini.

Nakumbuka msemo wa marehemu Regia aliposema bungeni kuwa wengi wanaojiita wasomi wa PhD Tanzania wanawaza na wanaupeo kama hawajaenda shule kabisa.
 
Safi sana kaka, ni ushauri mzuri sana, kuna watu wanasema umekosea kusema Rais Slaa, lakini wameshau kuwa huo ni mtazamo wako kwa mwaka 2015, endelea na uchambuzi wako cause pamoja na kutoa ushauri kwa huyo uliyemu address, pia unatoa elimu ya uwekezaji kwa watanzania wenzio kama sisi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom