Gwalihenzi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 5,125
- 1,300
Rejao hicho ndio kitu gani? kama hujui kiingereza kwanini unalazimisha kukitumia?Nimependa analyisis yako ya uwekezaji kwenye secondary equity market. Lakini inabidi kwanza uangalie, ni makampuni mangapi tanzania yapo listed DSE? Watu wana knowledge ya kutosha kuhusu secondary or primary market ya shares?
Pia hili suala lako umeliadress kwa wrong person. Kama wote tunavyofahamu, Slaa ni Padre by professional. Haya mambo ya Financing na Investing atayajulia wapi? Mbaya zaidi unamuadress yeye kama rais..what the hell..danm!