Kinyenyefule
Member
- Oct 28, 2011
- 26
- 4
naludia kupost tena kama kuiremove mremove tena inamana mnataka watu wote mawazo yafanane?
padri slaa hawezi kuwa rais
kwanza ana historia ya usaliti
1.alilisaliti kanisa katoliki
lililomsomesha na kumpa hiyo
PHD fake.kwa kuliibia hela mpka
akafukuzwa
2.alilikisaliti chama kilichomlea
kwa tamaa ya madaraka ccm na
kukimbilia chama cha edwn mtei
cdm
3.amemsaliti mke wake wa
kwanza rose kamili.kisa tamaa
HATA AKIPATA NCHI ATATUSALITI
HUYU KWA KUWA NDIO TABIA YAKE
Wewe ndugu,una hasira sana na Dr. Slaa,angalia usije ukamshambulia ukapitiliza baadaye tukashindwa kuamini hata ukweli utakaosema.
Kwanza siamini kuwa udaktari wake ni 'fake'kama ulivyosema,kwani sidhani kama una ushahidi.Yapo mapungufu yake yaseme hayo akiweza ajirekebishe kama huyaoni hayo watu watajua hana na watazidi kumpenda.