S0132 MILAMBO SECONDARY SCHOOLVipi maadui na rafiki zenu wanaume milambo???
Yap, ni uhakika au shuleni kwenu ulivuja?Una uhakika mitihani haikuvuja.
Div one ya A tatu je naweza somea uprofesa
Pongez kwangu ka monitor wa kisimiri class lililoongoza
masikini milambo yetu imepitwa na shule karibia zote tabora kasoro moja tu so sadS0132 MILAMBO SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 21; DIV-II = 124; DIV-III = 204; DIV-IV = 39; DIV-0 = 17
Hunaimani kivipi
Umeshindwa kukazania masomo unategemea nini
Hahaha
urambo bado wachanga sana kwa jinsi walivyofanya ni halali yao uzuri hawajapata zero hata moja hata division four siyo nyingi sana so vijana wataenda kupiga shuleNimefurahia sana mkuu
Japo kuna Kaliua na Urambo
Zimeboa sana
masikini milambo yetu imepitwa na shule karibia zote tabora kasoro moja tu so sad
mkuu tabora boys ni ya 5 sio ya 6Baraza la mitihani Tanzania NECTA limetangaza matokeo ya kidato cha Sita mwaka huu wa 2016 na wanaume wameongoza kwa wingi katika kumi bora, katibu mtendaji wa NECTA bado anaendelea kuongea mnaweza ona matokeo kwa website yao na ya TAMISEMI,
Ufaulu umeshuka kwa asilimia 0.93 ikilinganishwa na mwaka 2015 ambapo ufaulu ulikuwa 98.87.
Shule 10 zilizofanya vizuri:
1.Kisimiri,
2.Feza Boys,
3.Alliance Girls,
4. Feza Girls,
5. Marian Boys,
6.Tabora Boys,
7.Kibaha,
8.Mzumbe
9.Ilboru,
10. Tandahimba
KWA MATOKEO: BOFYA HAPA
Ni shule ya serikali au binafsi?Siri ya ushindi wa secondary ya Tandahimba, jumla ya wanafunzi waliofanya mtihani ni 49, masomo waliyosoma na History, English. Kiswahili na General studies. Wadau kuongoza kwa shule hii ni technicalities walizoweka waalimu kukwepa masomo Fulani Fulani ambayo yangeleta failures nyingi au ni kawaida tu?
Kisimiri Advance siyo mchanganyiko
Sijakataa kwamba wapo safi nimekuambia uchache wao umewabeba kama ilivyokuwa kwa Feza na private zilizokuwa zinashika usukani
Kisimiri Advance siyo mchanganyiko
Sijakataa kwamba wapo safi nimekuambia uchache wao umewabeba kama ilivyokuwa kwa Feza na private zilizokuwa zinashika usukani