Baraza la Mitihani latangaza Matokeo ya Kidato Cha Sita 2016

Hongera kwa shule za serikali zilizojitokeza katika kumi bora naimani bado zitakuwa bora maana vipo vipaji ndani ya shule za serikali ambavyo vikitiliwa maanani vitakuwa msaada kwa jamii na taifa kwa ujumla

government school # the sleeping giant
 
Jamani top ten ya best students imekaaje?Nimeona tatu moja ya pcm Tabora Boys ,haijaingia ?
 
Et wakuu nikitaka kuona wanafunzi walioongoza kwa ufaulu FORM 6/top 10 naangalizia wapi?? Au km kuna mtu ana hiyo link naomba atume. I need help
 
kwa takwimu hii ya haya matokeo na sifa wazitakazo tcu baasi wanawake weng watarud kitaa na itapelekea hata baadh za koz za engineering kukosa kabisa wanawake
 
KILAKALA

Div -I= 54, Div-II=79 , Div-III=15 , Div-IV= 0 Div-0= 0

POSITION NATIONALWISE =20
 
Jamani top ten ya best students imekaaje?Nimeona tatu moja ya pcm Tabora Boys ,haijaingia ?
KISIMIRI

Div -I=50 , Div-II=13 , Div-III=0 Div-IV= 0 Div-0= 0

POSITION NATIONALWISE = 1


KIBAHA

Div -I= 90, Div-II= 59, Div-III= 14 Div-IV= 1 Div-0= 0

POSITION NATIONALWISE = 7


TABORA GIRLS

Div -I=62 , Div-II= 56, Div-III=56 Div-IV= 15 Div-0= 0

POSITION NATIONALWISE =13


TABORA BOYS

Div -I= 83, Div-II=68 , Div-III=2 Div-IV= 0 Div-0= 0

POSITION NATIONALWISE =5


ILBORU

Div -I= 116, Div-II= 72, Div-III= 30 Div-IV= 0 Div-0= 0

POSITION NATIONALWISE = 9


MZUMBE

Div -I= 59, Div-II=42 , Div-III= 15, Div-IV= 0 Div-0= 0

POSITION NATIONALWISE =8


MSALATO

Div -I= 32, Div-II=40 , Div-III= 10 Div-IV= 1 Div-0= 0

POSITION NATIONALWISE =21


KILAKALA

Div -I= 54, Div-II=79 , Div-III=15 , Div-IV= 0 Div-0= 0

POSITION NATIONALWISE =20
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom