Hizi Hapa Shule 10 Bora Matokeo Kidato Cha 6 mwaka 2023/24

Kagera kwenye elimu haitakaa ianguke....

Na sasa ndo kwanza campus za vyuo vikuu vinajengwa ikiwemo UDSM na Nelson Mandela...

GHH.JPG
G.JPG
 
Wako wapi wale waliosema sio sawa kufanya ranking? Tena waziri akaja na arguments za ajabu ajabu kujastify kua hatupaswi kuonyesha nani ni nani kwenye rank ya ufaulu!

Hii nchi ina mambo ya ajabu sana!

Lazima tujue higher perfomer na lower perfomer ndiposa remedial measures za kuwasiadia walioko hoi zije, wanasiasa wao wanawaza kuficha ficha wakati madogo wanatwanga zero zero na mvua ya four!
 
Mbona mnaitenga Mwanza? Yaani Kagera itakuwa centre of academic Kwa Kanda ya Ziwa ila Mwanza holaa
Mwanza kuna vyuo vikuu tayari mfano Bugando, sauti etc...chuo kikuu Ardhi nacho kinajenga campus yake kubwa sengerema Mwanza
 
Etc ndio vyuo gani? Mbona hata Kagera vilikuwepo kabla ya hivi vipya?
Kagera ukiachana na Open University hakuwepo chuo kikuu cha umma...kumbuka toka zamani vyuo vikuu vilikuwa vinajengwa sehemu zenye muamuko mdogo wa elimu...
Kagera kulikuwepo chuo kikuu cha Tumaini na SAUT tawi la Bukoba navyo vilifungwa na mwendazake...juzi tu hapa ndo vimefunguliwa tena....

Mwanza kuna Campus za IFM, TIA, Mzumbe
Kuna main campus za BUgando na SAUT
 
Muongezee Campuses za Mipango, DIT, CBE na sasa kuna proposala ya Ardhi University na eneo tayari lishatengwa

Tunamjua na Chuki zake kwa Mwanza mtu mfupi
 
Wako wapi wale waliosema sio sawa kufanya ranking? Tena waziri akaja na arguments za ajabu ajabu kujastify kua hatupaswi kuonyesha nani ni nani kwenye rank ya ufaulu!

Hii nchi ina mambo ya ajabu sana!

Lazima tujue higher perfomer na lower perfomer ndiposa remedial measures za kuwasiadia walioko hoi zije, wanasiasa wao wanawaza kuficha ficha wakati madogo wanatwanga zero zero na mvua ya four!
Kuweka ranking kunahamasisha udanganyifu katika mitihani, hasa kwa shule ya binafsi! Kwa hiyo hasara ya ranking ni kubwa kuliko faida yake. Ubora wa matokeo bado utaonekana kwenye vigezo vya idadi ya wanafunzi waliopata divisheni I & II.
 
Back
Top Bottom