Waraka umesomwa leo mbele ya Makamu wa Rais na muda wote ameonyesha kuufurahia sana. Niko nimekaa pale
 
Nakwambiaje. Mimi ni mwanasheria nguli na hapa nimekuja China kuonana na wateja wangu ambao ni Kampuni ya wachina iliyowekeza Tanzania hapo.

Kama nalipiwa hadi Ticket ya ndege kuja huku jua tu mimi sio mwenzako.

Vumilia tu! Wengine tumebarikiwa zaidi!!
Hata machoko wanalipiwa Bwashee!
 
Haya nakusaidia
Nenda sehemu ya search ya hapa JF andika neno escrow. Zitakuja nyuzi mbalimbali za kipindi hicho. Jisomee ujipe ufahamu.

Usisumbue watu hapa
Hujaelewa hata swali. Nadhani uwezo wako ni duni sana.

Nikusaidie tu:

Escrow au Escrow akaunti, ni akaunti ambayo hufunguliwa na upande unaodaiwa pale unapotakiwa kuulipa upande wa pili, lakinj mlipaji haafiki juu ya kiwango cha malipo anayodaiwa. Hivyo hufunguliwa ili anayedaiwa aendelee kulipa wakati uamuzi wa uhalali wa malipo unasubiriwa. Na Escrow akaunti kwa hapa kwetu ilikuwa inasimamiwa na BOT. Je, ni nani aliyeruhusu malipo yafanyike kama madai hayakuwa halali?

Pesa ya Escrow ilikuwa ni halali yao waliokuwa wanadai na ndiyo maana walilipwa, na mpaka leo hakuna aliyehukumiwa kwa kosa lolote. Waliopewa pesa na Rugemarila, baadhi yao, kosa pekee walilokutwa nalo ilikuwa ni kutokulipia kodi. Sheria zetu zinasema kuwa hata ukipewa zawadi, uende ukalipie kodi. Je, ni wangapi huwa wanatekeleza sheria hiyo?
 
Pascal Mayalla ambae hatakiwi na CCM,anajalibu kujipenfekeza lakini wapi,labda anaweza kupata uDc

Wajumbe wa CCM walkataa sababu ya uchawa
 
Sio Mwanasheria tu. Mwanasheria nguli na makini. Kaa nalo hilo kichwani lako
Unakapoitwa mwanasheria nguli, kwa utopolo unaouweka humu, labda maana ya neno nguli litakuwa limebadilika maana na kuwa mtu mbabaishaji.
 
Hakuna anaebisha kuwa mkataba wa DP World na Tanzania ni mbovu.

Wanaharakati wameweka bayana na sisi tusio wanasheria tumeelewa. Hilo ni jambo jema.

Shida inakuja pale Taasisi moja ya dini inajiona yenyewe ndio inaweza kuamua na kusemea taasisi zingine. That's stupidity!

Tanzania ni ya wote Christians, Muslims, Jews, Buddhists na hata wasio na dini rasmi za kigeni.

Iweje Taasisi moja idai yenyewe ndio ina mizizi kwenye kila kaya. Kwa hiyo mnatutisha sisi protestants na Waislamu eeh?

Mbona mnamwandama sana Rais na serikali, angekuwa ni muumini wenu mngefanya hivyo?

We are no longer under the yoke of Papacy regime.

Waprotestant tupo wengi tunaweza jisemea. Naomba mkae kwa kutulia.

Mkataba hatuutaki na utumwa wa kidini hatuutaki pia. Nimemaliza.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Nadhani wametumia haki yao ya kutoa maoni kama wananchi wengine. Wao wamesimamia wanachokiamini.
Sio kwamba wanampinga Rais kwakuwa sio wa imani yao huo ni upotoshaji, rejea hata awamu ya tano waliwahi kutoa msimamo wao juu ya Corona ijapokuwa Rais alikuwa wa imani yao.
Jaribu kuwa makini na facts na uache upotoshaji usio na tija kwenye jamii.
 
Hakuna anaebisha kuwa mkataba wa DP World na Tanzania ni mbovu.

Wanaharakati wameweka bayana na sisi tusio wanasheria tumeelewa. Hilo ni jambo jema.

Shida inakuja pale Taasisi moja ya dini inajiona yenyewe ndio inaweza kuamua na kusemea taasisi zingine. That's stupidity!

Tanzania ni ya wote Christians, Muslims, Jews, Buddhists na hata wasio na dini rasmi za kigeni.

Iweje Taasisi moja idai yenyewe ndio ina mizizi kwenye kila kaya. Kwa hiyo mnatutisha sisi protestants na Waislamu eeh?

Mbona mnamwandama sana Rais na serikali, angekuwa ni muumini wenu mngefanya hivyo?

We are no longer under the yoke of Papacy regime.

Waprotestant tupo wengi tunaweza jisemea. Naomba mkae kwa kutulia.

Mkataba hatuutaki na utumwa wa kidini hatuutaki pia. Nimemaliza.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Mpumbavu Ni wewe mkuu.

Hizo taasisi NYINGINE Zina uhuru na wajibua na haki pia ya kuongea aidha kufunga mkono au kukataa.

Tec hawajakulazimisha . Labda tatizo Ni wakristo na una Ile chuki ya asili ya kiislam. Sababu ukiwa muislamu uwezo wa kutumia ubongo Ni mdogo Sana.

Bakwata na wengineo wako huru kutoa nyaraka au waraka wao pia. Hakuna mahali wamekatazwa.

Tec wamefanya kile waliiona kinafaa na Ni wajibu wao.

Punguza chuki za kipumbavu.
 
Mkataba mbovu kama huu TEC walikuwa wapi katika kutoa waraka?
1 (1).jpg
 
Hakuna anaebisha kuwa mkataba wa DP World na Tanzania ni mbovu.

Wanaharakati wameweka bayana na sisi tusio wanasheria tumeelewa. Hilo ni jambo jema.

Shida inakuja pale Taasisi moja ya dini inajiona yenyewe ndio inaweza kuamua na kusemea taasisi zingine. That's stupidity!

Tanzania ni ya wote Christians, Muslims, Jews, Buddhists na hata wasio na dini rasmi za kigeni.

Iweje Taasisi moja idai yenyewe ndio ina mizizi kwenye kila kaya. Kwa hiyo mnatutisha sisi protestants na Waislamu eeh?

Mbona mnamwandama sana Rais na serikali, angekuwa ni muumini wenu mngefanya hivyo?

We are no longer under the yoke of Papacy regime.

Waprotestant tupo wengi tunaweza jisemea. Naomba mkae kwa kutulia.

Mkataba hatuutaki na utumwa wa kidini hatuutaki pia. Nimemaliza.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Na nyie toeni tamko. It's all about democracy bro. Hapana kupanic. Wewe hutaki mkataba ukiwa chumbani inasaidia Nini? Wenzako hawataki na wamekuja hadharani hii inasaidia taifa
 
Wanatetea maslahi ya Taifa wanasema wanawakilisha maoni ya walalahoi, wananchi wa kawaida sababu wanajichanganya na hawa wananchi kila siku tofauti na Rais/serikali ambayo haitaki, haijali, haisikilizi maoni ya wananchi wengi.

Waislamu, Waprotestanti, Wapentokosti, wasio na dini wafanye hivi hivi tupate mkataba mzuri tunusuru vizazi vyetu na pesa zetu.

waislam wenyewe ndio hao akina mazinge na yule mzee wa mapapai.
 
Kuna jamaa mmoja anaitwa Pascal Mayalla ameleta uzi wake na akaupachika kwa jina Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?

Huyu kijana akajinasibu kuwa yeye ni mkatoliki. Kwanza nataka nimwambie tu ukatoliki haupo katia kujitambulisha bali upo katika kufanya kwa vitendo.

Nipo hapa kuujibu uzi wake aliouleta kwa mbwembwe nyingi akitumia andiko moja na akashindwa kuelewa context ya hilo andiko.
Andiko linalosema ya kaisari mpatie kaisari na ya Mungu mpatieni Mungu ni suala la kulipa Kodi na wala siyo issue ya Bandari.

Sasa nitaanza kama ifuatavyo:-

Zab 24:1​

Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya BWANA, Dunia na wote wakaao ndani yake.
Biblia inatueleza kuwa kila kitu kilichopo duniani ni mali ya Bwana. Kama tunaongelea Vitu vya Mungu TEC wamefanya Utume wa kusimamia Mali za BWana.

Zab 11:3
Kama misingi ikiharibika, Mwenye haki atafanya nini?

Hapa ndipo kwenye akili na Hekima TEC ni watumishi wa Bwana wa Majeshi. Maana yake Mungu wetu ni Mungu mwenye haki na ni Mungu wa vita. Kwa hiyo Misingi ikiharibika mwenye haki lazima achukue hatua na kutimiza wajibu wake.

Mithali 3:19​

Kwa hekima BWANA aliiweka misingi ya nchi; Kwa akili zake akazifanya mbingu imara.

Kwahiyo Kazi waliyoifanya TEC ni kazi ya Bwana.

YEYOTE ANAYETAKA KUWAPINGA WATUMISHI WA BWANA HAKIKA NI MPINGA KRISTO

Back
Top Bottom