Jethro
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 2,219
- 370
- Thread starter
- #61
Wachapakazi ambao ni watu safi lazima warudi; Lowasa, Mramba, Rostam, Karamagi, kamala, Chenge, ........
What Do you mean by mention:
Lowasa, Mramba, Rostam, Karamagi, kamala, Chenge, ........
Hawa kurudi kwao ni ndoto JK ameisha litambua hilo kuwa akiwapa tu anaivuruga CCM.