kama atashinda jk,basi tusitegemee mabadiliko makubwa sana,maana katiba ni ileile,mambo mengi ya ufisadi ambayo yalijadiliwa kwenye bunge lililopita ndo yameshaishia hapo.yawezekana akaunda serikali kubwa kuliko ile ya awamu ya nne au ikawa ndogo kiasi.
Kutakuwepo na sura mpya nyingi kwenye baraza la mawaziri lakini serikali itakuwa na changamoto kubwa kuliko iliyopita kwa sababu ya wingi wa wabunge wa upinzani ambao wataibana serikali.ni serikali ambayo itakiua ccm au kukipa uhai kutokana na ahadi nyingi alizozitoa jk.kwa sasa jk amejionea mwenyewe changamoto alizozipata na kama wasaidizi wake walimdanganya basi sasa anaujua ukweli kuwa watu wemechoshwa na usanii,kwa hiyo viongozi wengi wa chini na wasio maswahiba wake atwaashughulikia pale wakikosea ili kujirudishia heshima
kwa upande mwingine akishinda dr. Slaa,tanzania itakuwa imezaliwa upya,watu watakuwa na hamu ya kuona mabadiliko ya haraka jambo ambalo litakuwa ni changamoto kubwa sana kwa chadema.tunategemea kuwa utanzishwa mchakato wa kuunda katiba mpya jambo ambalo ni msingi wa kila kitu.tutashuhudia muundo mpya wa uongozi na usimamizi wa mali ya umma.kufumuliwa mikataba ya kifisadi na kuwafikisha wote waliofisadi nchi kwenye vyombo vya sheria.kutakuwepo na baraza dogo la mawaziri ambalo litapunguza matumizi ya kuendesha serikali.kwa kiasi kikubwa watu watakuwa na imani na utawala mpya.ila kutokana na wingi wa wabunge wa ccm serikali ya chadema itapata upinzani mkubwa bungeni.
jk tutampa wizara ya mambo ya nje inaonekana anapenda sana kupanda ndege' slaa 4 president!!
This is not breaking newsWana JF,
Kutokana na kuwa JK atashinda kwa asilimia kama 60% hivi, Je baraza lake la mawziri atalifanya la mchanganyiko na upinzani au ni wana CCM wata tawala safu zote za wizara??
Je nani atarudi na nani ata panda?
Mafisadi au viongozi walio kumbwa na kashfa ya UFISADI/MATUMIZI MABAYA YA OFFICE watarudishwa kwenye post katika taasisi mbali mbali au Uwazirir??
Eg EL, Vijisent?
Ukiona hivi ni kukata tamaaKwa hila watashinda ila za wizi 40
Mawaziri watakao Rudi
1: Magufuri J. Pombe
Sitaki kura za wafanyakazi atashinda vp !!!?
Hypothetically, if Slaa wins presidency but Chadema fails to attain majority seats kwenye bunge what will happen? Can he pick Prime Minister from CCM (Prime Minister has to be approved by Bunge). Katiba inasema nini?
Wenzako hawataki ukweli kuwa CCM itarudi. Unasumbuka tu, humu wote ni CHADEMAA! Anyway baada ya uchaguzi CCM itarudi imara zaidi na inajifunza mengi sana. Tunashukuru kwa changamoto. Marekebisho yanakuja ndani ya CCM. Kama ni akina Slaa tunao pia ndani ya CCM, just wait. TCHAOOOOOOOO!Mawaziri watakao Rudi
1: Magufuri J. Pombe
Wachapakazi ambao ni watu safi lazima warudi; Lowasa, Mramba, Rostam, Karamagi, kamala, Chenge, ........Mawaziri watakao Rudi
1: Magufuri J. Pombe
Wenzako hawataki ukweli kuwa CCM itarudi. Unasumbuka tu, humu wote ni CHADEMAA! Anyway baada ya uchaguzi CCM itarudi imara zaidi na inajifunza mengi sana. Tunashukuru kwa changamoto. Marekebisho yanakuja ndani ya CCM. Kama ni akina Slaa tunao pia ndani ya CCM, just wait. TCHAOOOOOOOO!