hii itakuw ani serikali ya wasio na akili kama wewe mwenyewe, mtu mmoja wizara zote,Waziri wa Wasiokuwa na Wake - Dr. Wilboard Silaa
Waziri wa Viwanda vya Cement - Dr. Wilboard Silaa
Waziri wa Treni za Umeme - Dr. Wilboard Silaa
Waziri wa 50% Usalama wa Taifa - Dr. Wiliboard Silaa
Waziri wa Strippers - Freeman Mbowe
Unafujo wewe duuhtigo mkubwa wee!!!!
Na hizi ahadi zisizotekelezeka anazotoa Mkuu wa Nchi mwaka huu ndio zinaiweka CCM katika hali ngumu zaidi mwaka 2015.
RAIS safi shida watendaji wake, Ahadi zitatekelzeka kwa kadri hali inavyowezekana, hata mtoto alianza kwa kutambaa. Ok Tukubali SLAA kaingia Ikulu Mawaziri watakuwa kina nani
1. Mr II waziri wa Utumishi
2. Mdee waziri wa ulinzi
3. Lema waziri wa Afya
4. Mchungaji wa Iringa waziri wa Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
5. Zito kabwe waziri wa jinsia na watoto
6. Mbowe waziri wa ushirikiano wa afrika mashariki
7. endeleza kaka tupate Wizara zote na manaibu waziri halafu tuje wakuu wa mikoa 23, wakuu wa wilaya 133, makatibu wakuu, wakurugenzi wa Taasisi, tanapa, bandari
Au ataazima walliopo? au atataka mseto? kwa asilimia ngapi basi
Mkuu ficha uso....! Utatafutwa....!!!!! Shauri yako....Ooohhooo, nilitaka kusahau jambo muhimu, nasikia kiwete oohh sorry, kikwete baada ya kusikia malalamiko ya vyama vya siasa kuhusu nec ameamua nayo aivunje na kuunda nec ya ari zaidi, nguvu zaidi na kasi zaidi. Mwenyekiti wa tume atakuwa abdulahman kinena na mtendaji mkuu atakuwa tambwe hiza. Bila shaka, wananchi watashangilia sana mabadiliko hayo.
Hovyooooo na utaendelea kuishi masikini mpaka kufa kwako, yaonekana unaupeo mfupi kama mwenyekiti wako na katibu mkuu wako.