Elections 2010 Baraza jipya la mawaziri 2010/2015

Wachapakazi ambao ni watu safi lazima warudi; Lowasa, Mramba, Rostam, Karamagi, kamala, Chenge, ........

What Do you mean by mention:
Lowasa, Mramba, Rostam, Karamagi, kamala, Chenge, ........

Hawa kurudi kwao ni ndoto JK ameisha litambua hilo kuwa akiwapa tu anaivuruga CCM.
 
Mkuu nani amekuambia ana vision ya mbali na CCM pamoja na Watanzania? Subiri tuone....! Kwani si aliwanadi mwenyewe na kuwaombea kura kuwa ni wachapakazi na ni watu safi?
 
Waziri wa Udhibiti wa Kura na Uchakachuaji - riziwan Kikwete
Waziri wa taarabu na mambo ya starehe - salma kikwete
Waziri wa waathirika wa madawa ya kulevya na watoto wa mitaani - miraji kikwete
Waziri asiye na wizara maalum - lawrence masha
 
:thumb::thumb:
 
waziri wa kuwatafutia malaya wageni wa kimataifa...freeman mbowe
 
Waziri wa Udhibiti wa Kura na Uchakachuaji - riziwan Kikwete
Waziri wa taarabu na mambo ya starehe - salma kikwete
Waziri wa waathirika wa madawa ya kulevya na watoto wa mitaani - miraji kikwete
Waziri asiye na wizara maalum - lawrence masha

Waziri wa Wasiokuwa na Wake - Dr. Wilboard Silaa
Waziri wa Viwanda vya Cement - Dr. Wilboard Silaa
Waziri wa Treni za Umeme - Dr. Wilboard Silaa
Waziri wa 50% Usalama wa Taifa - Dr. Wiliboard Silaa
Waziri wa Strippers - Freeman Mbowe
 
waziri mkuu edward Lowasa,
waziri wa habari Mizengo pinda
Waziri wa utawala bora na uchakachuaji sophia simba
waziri wa fedha Daniel Yona
 
Waziri wa Wasiokuwa na Wake - Dr. Wilboard Silaa
Waziri wa Viwanda vya Cement - Dr. Wilboard Silaa
Waziri wa Treni za Umeme - Dr. Wilboard Silaa
Waziri wa 50% Usalama wa Taifa - Dr. Wiliboard Silaa
Waziri wa Strippers - Freeman Mbowe
Hovyooooo na utaendelea kuishi masikini mpaka kufa kwako, yaonekana unaupeo mfupi kama mwenyekiti wako na katibu mkuu wako.
 
nimepata nyepesi nyepesi kutoka chanzo ninachokiamini juu ya baraza jipya la mawaziri lenye sura mpyaaa!

waziri wa mambo ya nje.....anna tibaijuka

tamisemi.......................kombani

michezo.......................zitto kabwe

mambo ya ndani...........membe

sheria........................pindi chana

elimu......................mbene jannet<atateuliwa na raisi>

kilimo.....................magufuli

wengine nafatilia nikipata nitawaletea.
kama ikitokea zitto kupewa uwaziri basi apewe wizara ya nishati na madini na siyo hiyo ya michezo, pia Magufuli arudishwe miundombinu.
 
Mmh mnatafuta mbinu yakuundwa umoja wakitaifa,katu hatutengezi serikali hiyo,kama mmeshindwa biashara ya Jumla vip tuwashirikishe kugawa faida,kama kawaida aliyerudi bungeni ataikwaa wizara yake,ila wizara zenye ushawishi kwa vijana tutawapa vijana ie Mhesh January Makamba
 
Waziri wa Udhibiti wa Kura na Uchakachuaji - Ridhiwani Kikwete |Naibu Makongoro Mahanga
Waziri wa taarabu na mambo ya starehe - salma kikwete
Waziri wa waathirika wa madawa ya kulevya na watoto wa mitaani - miraji kikwete
Waziri asiye na wizara maalum - lawrence masha
Waziri wa Misosi na ulafi, kuropoka na ngono -Yusuf Makmaba
Waziri wa propaganda- Zitto Kabwe, Naibu Kinana
Waziri wa Clouds FM, na mambo ya kifisadi-January Makamba
Waziri wa Wauza Sura, na wapenda wzungu-Mwamvita Makamba
Waziri wa nishati na Madini-Ngeleja
Waziri wa Uchmi-John Mashaka
Waziri wa Sheria na katiba-Andrew chenge
Waziri wa ndodi-Tyson Wassira
Waziri Mkuu-Hildeband Shayo
Wiri wa Benki kuu-Peter Stumbeko Nalitolela
Waziri wa Mablogu-Issa Michuzi
Waziri wa umbea na mashauzi-Mange kimambi
 
Mmh mnatafuta mbinu yakuundwa umoja wakitaifa,katu hatutengezi serikali hiyo,kama mmeshindwa biashara ya Jumla vip tuwashirikishe kugawa faida,kama kawaida aliyerudi bungeni ataikwaa wizara yake,ila wizara zenye ushawishi kwa vijana tutawapa vijana ie Mhesh January Makamba
Kihelehele tu, utafia kwenye hizo nyumba za makuti wakati wenzako mafisadi wakisafirisha pesa nje, Utaendelea kukopa saccos na kuupata huo mkopo taabu,wakati wenzako mafisadi wakijichukulia mikopo benki kuu bila riba.
 
acheni masihara wakuu,hali yenyewe si mmeona inavyokuwa tete
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom