Jackbauer
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,038
- 2,199
Una uhakika wa unayo sema kwa Iddi Amin, au unakurupuka tu? Au kila usomacho hata kama pumba wewe kwako inakuwa ni pepeta?
je wewe unaweza kuthibitisha kuwa hayo yasemwayo hayakutokea?hata Amin hakuwahi kukanusha!