Balali yuko HAI - He is not dead

Status
Not open for further replies.
na mimi sorces zangu za kuaminika zinasema balali kajiunga humu JF ni member ili apate habari za kitaani kama kitaa kinaendelea kunuka au kimetulia.. jamaa anatuchora tulivyoanzisha huu UZI kuhusu issue yake! Mkuu balali japo comment kidogo! basi jitetee....:spy:
tatizo lenu nini? mnaona nafaidi//??! njooni tule bata
 
Serikali ya ccm si ituoneshe hata picha ya balali alipozikwaa

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kama yuko haia itajulikana tu, ninachoshangaa ni kwamba Jf Ina members mpaka chini ya uvungu iwe je habari za balali zisijulikane? Huwa namsikitia sana huyu mzee kwa kitendo chake cha kuacha kazi yake ya maana IMF na kuja kufanya siasa bongo ambazo zimemcost kama sio maisha yake basi Uhuru wake.

We unataka ajulikane lini? Wakat unaambiwa kajulikana?
 
Osama bin Laden hakufa bado anaishi
Balali yuko hai anadunda unyamwezini
JFK yuko hai kule kwenye kijiji kimoja karibu na Andes mountains-South America
Hitler bado yu hai somewhere in Argentina
2Pac hakufa atarudi baada ya miaka 7x7, amejificha.
Bruce Lee bado yuko hai na hakufa
Elvis Presley yuko hai hakufa na atajitokeza
Nyerere yuko hai
Kenyatta yuko hai

..............................Msipokuwa makini na hizi conspiracy theories mtavuruga akili zenu. Is up to you whether to believe or not!

Vuvuzela kweli wewe ungekaa kimya tu,unawashwa nini?
 
Uvccm mbo siwaoni kuchangia hapa????

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ni kweli kwenye nchi huru, Gavana wake wa Benki Kuu akafariki akazikwa huko huko bila hata kusikia viongozi wa nchi yake kuhudhuria mazishi hayo?
 
Nilikuwa nae hapa see clif sasa hivi kafuga mandevu ka osama. Tafadhali kuna jamaa yeye anomba picha sina picha!!!!!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom