Balali yuko HAI - He is not dead

Status
Not open for further replies.
si kweli kwamba balali anayesemekana ni hayati amefariki.
vyanzo vya habari vya kuaminika vinasema balali aliletwa hapa nchini kwa siri kubwa na kushushiwa Zbar kwa ndege maalum, kisha boti maalum hadi kivukoni, then tinred car followed.
Some sources zinasema amefanyiwa plastic surgery na sasa ni mhindi kwa sura.

Comedy
 
Hata Sokoine tulikuwa tukiambiwa hajafa, lakini hadi leo jiiiiii
si kweli kwamba balali anayesemekana ni hayati amefariki.
vyanzo vya habari vya kuaminika vinasema balali aliletwa hapa nchini kwa siri kubwa na kushushiwa Zbar kwa ndege maalum, kisha boti maalum hadi kivukoni, then tinred car followed.
Some sources zinasema amefanyiwa plastic surgery na sasa ni mhindi kwa sura.
 
Kutokana na mazingira yalivyokuwa hata mimi siamini kama alikufa -- lakini siyo kwa namna alivyoiweka hapa huyu small boy.
 
yeah sure... hajafa tena wamemfanyia surgery na amekua mwanamke wa kichina... wadanganyika tunalo kwelii!!!:A S 13:

Hahaaaa!! you made me lough, si kweli, ulimwona vibaya kuwa amekuwa mchina, ukweli ni kuwa amefanyiwa surgery na sasa anaonekana kama m-mongolia na anaishi Ulaanbatar, Mongolia!!!!!!!!!!!!
 
mimi nilijua yupo huko wilaya ya HAI anamsaidia........ kampeni, niende kumleta fasta ajibu maswali ya akina Slaa.
 
Grave Search Results

Sorry, there are no records in the Find A Grave database matching your query.

Search for "daudi balali" at Ancestry.com and findagrave.com

If you aren't finding the names you are looking for, try reducing your search criteria. For example if you were searching for Erich Weiss, just enter 'E' for the first name and 'Weiss' for the last name. Come back often as we are adding thousands of new names every day!

Do you know where someone is buried but didn't find them here? You can add names to the Find A Grave database .
 
si kweli kwamba balali anayesemekana ni hayati amefariki.
vyanzo vya habari vya kuaminika vinasema balali aliletwa hapa nchini kwa siri kubwa na kushushiwa Zbar kwa ndege maalum, kisha boti maalum hadi kivukoni, then tinred car followed.
Some sources zinasema amefanyiwa plastic surgery na sasa ni mhindi kwa sura.

Dying is better than seazing to exist. As long as you no longer exist, you are much worse than dead.
 
Nini hasa lengo la yeye kufanya hayo yote???. Habari hii sidhani kama inawatendea haki ndugu na jamaa wa Balali. Kama habari hii ina ushahidi kamili ni vizuri ikautoa kuliko ku-Gossip. Habari kama hizi zinashusha thamani ya mtandao na kuonekana ni sehemu ya watu kutoa habari zisizokuwa na mashiko. Tuulinde mtandao wetu uwe na ubora kama ambavyo umekuwa ukifanya kila siku.
 
mimi tuligonga nae cheeers pale zanzibar alipoletwa!!!!!!

wabongo bana!!! smo boy!!
 
Nini hasa lengo la yeye kufanya hayo yote???. Habari hii sidhani kama inawatendea haki ndugu na jamaa wa Balali. Kama habari hii ina ushahidi kamili ni vizuri ikautoa kuliko ku-Gossip. Habari kama hizi zinashusha thamani ya mtandao na kuonekana ni sehemu ya watu kutoa habari zisizokuwa na mashiko. Tuulinde mtandao wetu uwe na ubora kama ambavyo umekuwa ukifanya kila siku.

Haya tuonyeshe angalau kaburi la Dkt Balali ili tuache kuandika habari zake! Huu mtandao wa JF heshima yake iko juu kuliko magazeti ya Uhuru, HabariLeo, Mzalendo na Daily News ambayo yanagawiwa tu maofisini maana hayana wa kuyanunua!
 
Guys your time is precuous!!!!! Don't waste it......Tumebakiwa na wiki mbili na usheee hive tumuingize DR.SLAA ikulu........ Hebu tuutumie muda huu mchache kuwajulisha wa - tz habari njema za raisi ajaye..... DR. SLAA
 
aaaaaaah sina nguvu tena, why all these,uovu wote huu,kwa mtindo huu where ar we going??????????????????????/

chagua SLAA kuepuka utumbo wa namna hii tena
 
Mwisho tutasikia na Mwalimu Nyerere na yeye yu hai.
Ingawa lisemwalo lipo.....
Mwalimu na Sokoine walizikwa kitaifa kabisa na miili yao iliagwa kwa heshima zote huwezi kufananisha mazishi yao na ya Balali
 
si kweli kwamba balali anayesemekana ni hayati amefariki.
vyanzo vya habari vya kuaminika vinasema balali aliletwa hapa nchini kwa siri kubwa na kushushiwa Zbar kwa ndege maalum, kisha boti maalum hadi kivukoni, then tinred car followed.
Some sources zinasema amefanyiwa plastic surgery na sasa ni mhindi kwa sura.

Vyanzo gani hivyo? Si uvitaje?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom