Balaa lingine lamwangukia Dr Slaa

Nnape is a kindergarten in politics and if not monitored by mafisadi will dismantle the so called dirty shell party!
 
Sorry, sijaliona balaa lenyewe, nimeona ushindi kwa SLAA
 
Kilichonifurahisha ni kwamba sasa wanakubali wenyewe Kuna Mafisadi ndani ya CCM, wanathibitisha kwa post zao ilihali zamani walikataa kwa nguvu zote, huu ni ushindi mkubwa kwa Dr wa Ukweli Phd Slaa na Chadema kwa Ujumla.
 
Dr Slaa hana haja ya kujitetea kwa lolote, yatosha wananchi kumtetea.
Wale wa chama cha magamba wanaodhaniwa wameonewa pia watatetewa na wananchi.
Na kama ccm wanayo nia ya dhati ya kujisafisha tuwaone wakitaja hao mafisadi, sio tu kusema kwa maneno "ati" wamewanyooshea mafisadi kidole, huu ni wendawazimu na danganya toto.
 
Hili mbona sio balaa kaka hebu tuipe hadhi forum kwa kuandika vitu vya maana jamani...!!!

basi wewe utakuwa ni bogus kupitiliza,kama swala la mtu(slaa) kutumiwa na mafisadi sio balaa basi hakuna haja ya kupiga makelele juu ya ufisadi coz sio balaa kwa watz
 
basi wewe utakuwa ni bogus kupitiliza,kama swala la mtu(slaa) kutumiwa na mafisadi sio balaa basi hakuna haja ya kupiga makelele juu ya ufisadi coz sio balaa kwa watz

Si vigumu kutambua kwamba avatar ya kashaga ni picha yake halisi. Msisumbuke naye
 
Huyo Nape hana jipya...,,,..,.,,si awataje hao mafisadi wanaovitumia vvyama vya siasa.
 
hivi huyo fisadi ataanzaje kumuingia dr wa ukweli.....aahahahahahahah .. nape usitikise kiberiti..dokta anaongea na mwenye mbwa na sio mbwa ....inshot huyo dogo hana ubavu wa kubishana na PhD wa Ukweli ...sio saizi yake.:msela::msela::msela:
 
mkuu kwa hili naona umepotea ,kweli Dr wa ukweli Slaa hawe kama unavyosema in this ur deadly wrong my bro!!! Next time think Big before post .
 
unaitajika sana global publisherz,ukaongeze nguv katka magazet yake udaku,humu itafikia kipind mada zako zitakosa wachangiaji,na hata wazazi wako cdhan walikusomesha ili uwasaliti kama unavofanya.mama ako anahasara!
Balaa lingine limemwangukia katibu mkuu wa chama cha CHADEMA,baada ya kutuhumiwa na chama cha mapinduzi kuwa anatumika na mafisadi,hii inaweza chukuliwa kirahisi lakini ni swala nyeti ikizingatiwa Slaa amekuwa akijifanya kuwa mstari wa mbele kupambana na mafisadi,Slaa hana budi kukanusha hizi tuhuma au kutoa maelezo ya kujitosheleza kwasababu kukaa kimya inaweza kuleta tasfiri tofauti kwa wafuasi wake( silence means yes)

HABARI KAMILI
CHAMA Cha Mapinduzi kimesema Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willibrod Slaa na chama chake, wanatumiwa na baadhi ya watuhumiwa wa ufisadi waliotakiwa kujiuzulu wenyewe ndani ya chama hicho.

Akihutubia umati wa watu katika viwanja vya Mwembe-Kisonge Zanzibar, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesema kwa sasa watuhumiwa hao wameamua kutumia baadhi ya vyama vya siasa, magazeti na asasi za dini kujibu mapigo.

“Tumewapa miezi mitatu watuhumiwa wote wa ufisadi katika chama chetu wajiondoe wenyewe. Baadhi wanajaribu kupinga na kujibu mapigo kwa kutumia magazeti, vyama vya siasa na taasisi za dini...tunajua tutashinda na wao lazima waondoke,” alisema Nnauye.

Alisema, “Tumeandaa mkakati wa kusafisha chama kutoka ngazi za chini mpaka katika ngazi ya Taifa. Tumechunguza na tunajua wanaotakiwa kuondoka ndani ya chama chetu. Lakini baadhi ya watu wamejitokeza kutaja majina ya watuhumiwa ndani ya chama chetu, hiyo si kazi yao.”
 
Naona wametoka choo cha kike na sasa wanataka kukalia na poti la watoto,ningejua huja mwisho wa safari.
 
Mmmmmm!!!! People the powerrrrrrrrrr!! Chama Cha Majambazi {CCM} watashanga wenyewe
 
kashaga nikisema wewe ni taahira nakosea?

Nafikiri Kashaga katimiza haki yake kama mwana-JF kuweka maoni yake na mwana-CCM.
NAPE hana la kutuambia wana-CDM,chama chake hatua inazochukuwa ni juhudi zetu CDM.Dr Slaa ndiye aliyetufumbua macho kwamba kuna uozo ndani ya serikali na akatamka hadharani!Nani alithubutu kusimama na kuyakataa au kumshitaki?Nape kama ni mwanume kweli awataje majina tumsikie sio kuropoka kwenye majukwaa.ccm mbele ya Dr Slaa hakuna anayeweza kunyanua mkia.Bwana mdogo Nape ubavu wakuwataja mafisadi kwa majina huna na nakuhakikishia 2015 Ikulu halali yetu CDM.Endeleeni kuwakumbatia wake zenu NCCR,CUF na TLP lakini sio CDM.
 
Balaa lingine limemwangukia katibu mkuu wa chama cha CHADEMA,baada ya kutuhumiwa na chama cha mapinduzi kuwa anatumika na mafisadi,hii inaweza chukuliwa kirahisi lakini ni swala nyeti ikizingatiwa Slaa amekuwa akijifanya kuwa mstari wa mbele kupambana na mafisadi,Slaa hana budi kukanusha hizi tuhuma au kutoa maelezo ya kujitosheleza kwasababu kukaa kimya inaweza kuleta tasfiri tofauti kwa wafuasi wake( silence means yes)

HABARI KAMILI
CHAMA Cha Mapinduzi kimesema Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willibrod Slaa na chama chake, wanatumiwa na baadhi ya watuhumiwa wa ufisadi waliotakiwa kujiuzulu wenyewe ndani ya chama hicho.

Akihutubia umati wa watu katika viwanja vya Mwembe-Kisonge Zanzibar, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesema kwa sasa watuhumiwa hao wameamua kutumia baadhi ya vyama vya siasa, magazeti na asasi za dini kujibu mapigo.

“Tumewapa miezi mitatu watuhumiwa wote wa ufisadi katika chama chetu wajiondoe wenyewe. Baadhi wanajaribu kupinga na kujibu mapigo kwa kutumia magazeti, vyama vya siasa na taasisi za dini...tunajua tutashinda na wao lazima waondoke,” alisema Nnauye.

Alisema, “Tumeandaa mkakati wa kusafisha chama kutoka ngazi za chini mpaka katika ngazi ya Taifa. Tumechunguza na tunajua wanaotakiwa kuondoka ndani ya chama chetu. Lakini baadhi ya watu wamejitokeza kutaja majina ya watuhumiwa ndani ya chama chetu, hiyo si kazi yao.”

Slaa yeye mwenyewe ni fisadi , fuatilieni historia yake wakati yuko TEC
 
Slaa yeye mwenyewe ni fisadi , fuatilieni historia yake wakati yuko TEC
Tufuatilie vipi tena, kwa nini wewe usituwekee hapa maana ndio ulieleta hiyo hoja. Watanzania mbona tunapenda mambo rahisi rahisi namna hii?
 
Mlijuaje kwamba anatumiwa na mafisadi? Intelijensia kama ile ya Arusha?
 
Stukeni watu...Jamaawa Magamba ndo washaingia kazini hivyo!...
Watakuwa wakiposti vitu vya kipumbavu kama hivi ili kuondoa attention kwenye MAGAMBA YAO!
Say NO to this crap men!

Mtu anayelipwa kutoa hoja siyo sawa na yule anayetoa hoja kwa hiari yake mkuu. Wanachofanya ni sawa na kujaribu kupeleka kipindupindu Washington DC, hakitaambukiza mtu yoyote zaidi ya wewe uliyekipeleka
 
Slaa yeye mwenyewe ni fisadi , fuatilieni historia yake wakati yuko TEC

Inawezekana unachosema ni kweli mkuu lakini tutapita wapi? Barabara hamjajenga na zile chache zinazojengwa ziko chini ya viwango kwa ufisadi. Reli mmeua, shirika la ndege kaputi.
 
Wanatapatapa tu,hawana pa kushikilia cause wanajifanya wamevua Gamba wakati hata wenyewe na mfumo wao wote ni magamba.Watawadanganya watanzania wenye uelewa mdogo sio wengine,na hata hao wenye uelewa mdogo ipo siku washtuka kama BOB MARLEY alivyosema " YOU CAN FOOL SOME PEOPLE SOME TIME, BUT YOU CAN NOT FOOL ALL PEOPLE ALL TIME"
 
Back
Top Bottom