Balaa lingine lamwangukia Dr Slaa

huyu nape hatakuwa na matatizo ya akili...mbona anaweweseka hivyo....jamaa wamekaa kimya wanamuona mpuuzi.
 
Mi nausubiria mwisho wa Nape. kama nauona upo karibu sana!
Gia ya propaganda aliyoanza nayo ni nyepesi sana, watu wapo kwenye siasa za ukombozi saa hiz!
Pamoja na hayo Kashaga kwenye habari yako Nape hajalitaja jina la Dr(phd)
 
That news story is highly distorted, and doesn't reflect the truth.After all, who is that called Nape Mnauye? He is too juniour, novice in high level politics of the country, and above all he has no any reliable and credible image in the Tanzania public.
 
Balaa lingine limemwangukia katibu mkuu wa chama cha CHADEMA,baada ya kutuhumiwa na chama cha mapinduzi kuwa anatumika na mafisadi,hii inaweza chukuliwa kirahisi lakini ni swala nyeti ikizingatiwa Slaa amekuwa akijifanya kuwa mstari wa mbele kupambana na mafisadi,Slaa hana budi kukanusha hizi tuhuma au kutoa maelezo ya kujitosheleza kwasababu kukaa kimya inaweza kuleta tasfiri tofauti kwa wafuasi wake( silence means yes)

HABARI KAMILI
CHAMA Cha Mapinduzi kimesema Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willibrod Slaa na chama chake, wanatumiwa na baadhi ya watuhumiwa wa ufisadi waliotakiwa kujiuzulu wenyewe ndani ya chama hicho.

Akihutubia umati wa watu katika viwanja vya Mwembe-Kisonge Zanzibar, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesema kwa sasa watuhumiwa hao wameamua kutumia baadhi ya vyama vya siasa, magazeti na asasi za dini kujibu mapigo.

“Tumewapa miezi mitatu watuhumiwa wote wa ufisadi katika chama chetu wajiondoe wenyewe. Baadhi wanajaribu kupinga na kujibu mapigo kwa kutumia magazeti, vyama vya siasa na taasisi za dini...tunajua tutashinda na wao lazima waondoke,” alisema Nnauye.

Alisema, “Tumeandaa mkakati wa kusafisha chama kutoka ngazi za chini mpaka katika ngazi ya Taifa. Tumechunguza na tunajua wanaotakiwa kuondoka ndani ya chama chetu. Lakini baadhi ya watu wamejitokeza kutaja majina ya watuhumiwa ndani ya chama chetu, hiyo si kazi yao.”

Umejitahidi! Unalipwa Sh. ngapi?
 
mleta mada hii hajui maana ya balaa, tumsaidaje, labda abadilishe kichwa cha habari na kusema Dr wa Ukweli kamwaga mboga CCM na Mafisafi wamemwaga ugali kwa kutoa taarifa mpya za Ufisadi
 
Sasa Slaa anaingia vp kutumika na ccm?huyu mtoa mada katumwa au kaja na miguu yake miwili?Tumeshaizoea serikali ya ccm kwa kuongozwa na kuwa na watu wenye akili Kama za Makamba
 
Balaa lingine limemwangukia katibu mkuu wa chama cha CHADEMA,baada ya kutuhumiwa na chama cha mapinduzi kuwa anatumika na mafisadi,hii inaweza chukuliwa kirahisi lakini ni swala nyeti ikizingatiwa Slaa amekuwa akijifanya kuwa mstari wa mbele kupambana na mafisadi,Slaa hana budi kukanusha hizi tuhuma au kutoa maelezo ya kujitosheleza kwasababu kukaa kimya inaweza kuleta tasfiri tofauti kwa wafuasi wake( silence means yes)

HABARI KAMILI
CHAMA Cha Mapinduzi kimesema Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willibrod Slaa na chama chake, wanatumiwa na baadhi ya watuhumiwa wa ufisadi waliotakiwa kujiuzulu wenyewe ndani ya chama hicho.

Akihutubia umati wa watu katika viwanja vya Mwembe-Kisonge Zanzibar, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesema kwa sasa watuhumiwa hao wameamua kutumia baadhi ya vyama vya siasa, magazeti na asasi za dini kujibu mapigo.

“Tumewapa miezi mitatu watuhumiwa wote wa ufisadi katika chama chetu wajiondoe wenyewe. Baadhi wanajaribu kupinga na kujibu mapigo kwa kutumia magazeti, vyama vya siasa na taasisi za dini...tunajua tutashinda na wao lazima waondoke,” alisema Nnauye.

Alisema, “Tumeandaa mkakati wa kusafisha chama kutoka ngazi za chini mpaka katika ngazi ya Taifa. Tumechunguza na tunajua wanaotakiwa kuondoka ndani ya chama chetu. Lakini baadhi ya watu wamejitokeza kutaja majina ya watuhumiwa ndani ya chama chetu, hiyo si kazi yao.”

who is nape by the way?
 
nadhani kashanga anamasilai na mafisadi ndio maana anaamua kumchafua dr slaa ili asiwaumbue. kashanga ninataarifa za wew ekuwa ni shoga na unafanya hivyo kwa faida ya wanaokusukuma utumbo br. na sioni sababu za kujadili mada iliyowakilishwa na s-h-o-g-a
 
Kwani si kila mtu ana akili ya kupima maneno toka pande zote na kuamua? Kwangu miye akili yangu haikubali kwamba anatumiwa na mafisadi na pia akili yangu haikubali kwamba wale aliowataja tabora ni mafisadi, la hasha, hao walishindwa kupinga tu ufisadi huo kwa kuogopa kumwaga unga kwa kuwa watz kazi yetu ni kuchumia tumbo tu. Mzee Mangula hawezi na wala sio fisadi, kwa mali gani alizonazo? hakuwa na jinsi tu ya kuzuia maamuzi ya wakubwa zake, na hilo ndilo tatizo letu watz mkubwa akishaamua basi.
 
Balaa lingine limemwangukia katibu mkuu wa chama cha CHADEMA,baada ya kutuhumiwa na chama cha mapinduzi kuwa anatumika na mafisadi,hii inaweza chukuliwa kirahisi lakini ni swala nyeti ikizingatiwa Slaa amekuwa akijifanya kuwa mstari wa mbele kupambana na mafisadi,Slaa hana budi kukanusha hizi tuhuma au kutoa maelezo ya kujitosheleza kwasababu kukaa kimya inaweza kuleta tasfiri tofauti kwa wafuasi wake( silence means yes)

HABARI KAMILI
CHAMA Cha Mapinduzi kimesema Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willibrod Slaa na chama chake, wanatumiwa na baadhi ya watuhumiwa wa ufisadi waliotakiwa kujiuzulu wenyewe ndani ya chama hicho.

Akihutubia umati wa watu katika viwanja vya Mwembe-Kisonge Zanzibar, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesema kwa sasa watuhumiwa hao wameamua kutumia baadhi ya vyama vya siasa, magazeti na asasi za dini kujibu mapigo.

“Tumewapa miezi mitatu watuhumiwa wote wa ufisadi katika chama chetu wajiondoe wenyewe. Baadhi wanajaribu kupinga na kujibu mapigo kwa kutumia magazeti, vyama vya siasa na taasisi za dini...tunajua tutashinda na wao lazima waondoke,” alisema Nnauye.

Alisema, “Tumeandaa mkakati wa kusafisha chama kutoka ngazi za chini mpaka katika ngazi ya Taifa. Tumechunguza na tunajua wanaotakiwa kuondoka ndani ya chama chetu. Lakini baadhi ya watu wamejitokeza kutaja majina ya watuhumiwa ndani ya chama chetu, hiyo si kazi yao.”
Pole sana Kashaga, juhudi zako za kutumiwa na mafisadi kisa eti umeahidiwa kugombea udiwani au ubunge 2015 ili uwe unaleta maada za kusafisha chama cha magamba kwenye JF hazitazaa matunda. Huyo Nape mmempaka wanja tu mkadhani mmeweka gamba jipya liwasaidie kubomoa chama. Hongereni, Dr. Slaa wala hana haja ya kukanusha pumba hizi unazoziongelea hapa.
 
Balaa lingine limemwangukia katibu mkuu wa chama cha CHADEMA,baada ya kutuhumiwa na chama cha mapinduzi kuwa anatumika na mafisadi,hii inaweza chukuliwa kirahisi lakini ni swala nyeti ikizingatiwa Slaa amekuwa akijifanya kuwa mstari wa mbele kupambana na mafisadi,Slaa hana budi kukanusha hizi tuhuma au kutoa maelezo ya kujitosheleza kwasababu kukaa kimya inaweza kuleta tasfiri tofauti kwa wafuasi wake( silence means yes)

HABARI KAMILI
CHAMA Cha Mapinduzi kimesema Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willibrod Slaa na chama chake, wanatumiwa na baadhi ya watuhumiwa wa ufisadi waliotakiwa kujiuzulu wenyewe ndani ya chama hicho.

Akihutubia umati wa watu katika viwanja vya Mwembe-Kisonge Zanzibar, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesema kwa sasa watuhumiwa hao wameamua kutumia baadhi ya vyama vya siasa, magazeti na asasi za dini kujibu mapigo.

"Tumewapa miezi mitatu watuhumiwa wote wa ufisadi katika chama chetu wajiondoe wenyewe. Baadhi wanajaribu kupinga na kujibu mapigo kwa kutumia magazeti, vyama vya siasa na taasisi za dini...tunajua tutashinda na wao lazima waondoke," alisema Nnauye.

Alisema, "Tumeandaa mkakati wa kusafisha chama kutoka ngazi za chini mpaka katika ngazi ya Taifa. Tumechunguza na tunajua wanaotakiwa kuondoka ndani ya chama chetu. Lakini baadhi ya watu wamejitokeza kutaja majina ya watuhumiwa ndani ya chama chetu, hiyo si kazi yao."
Ivi wewe ni Kashanga au Kashangazi? Au wewe ni Kashoga? Mbona hueleweki!! Labda wewe ni Kashamba au wewe ni Kashari mbona bado sikupati ahhh!!! wewe ni Kashombo!
 
Balaa lingine limemwangukia katibu mkuu wa chama cha CHADEMA,baada ya kutuhumiwa na chama cha mapinduzi kuwa anatumika na mafisadi,hii inaweza chukuliwa kirahisi lakini ni swala nyeti ikizingatiwa Slaa amekuwa akijifanya kuwa mstari wa mbele kupambana na mafisadi,Slaa hana budi kukanusha hizi tuhuma au kutoa maelezo ya kujitosheleza kwasababu kukaa kimya inaweza kuleta tasfiri tofauti kwa wafuasi wake( silence means yes)

HABARI KAMILI
CHAMA Cha Mapinduzi kimesema Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willibrod Slaa na chama chake, wanatumiwa na baadhi ya watuhumiwa wa ufisadi waliotakiwa kujiuzulu wenyewe ndani ya chama hicho.

Akihutubia umati wa watu katika viwanja vya Mwembe-Kisonge Zanzibar, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesema kwa sasa watuhumiwa hao wameamua kutumia baadhi ya vyama vya siasa, magazeti na asasi za dini kujibu mapigo.

Tumewapa miezi mitatu watuhumiwa wote wa ufisadi katika chama chetu wajiondoe wenyewe. Baadhi wanajaribu kupinga na kujibu mapigo kwa kutumia magazeti, vyama vya siasa na taasisi za dini...tunajua tutashinda na wao lazima waondoke, alisema Nnauye.

Alisema, Tumeandaa mkakati wa kusafisha chama kutoka ngazi za chini mpaka katika ngazi ya Taifa. Tumechunguza na tunajua wanaotakiwa kuondoka ndani ya chama chetu. Lakini baadhi ya watu wamejitokeza kutaja majina ya watuhumiwa ndani ya chama chetu, hiyo si kazi yao.
Kashanga!!!!!!??????you again.time will come you will be tired.keep it up.
 
...ikizingatiwa Slaa amekuwa akijifanya kuwa mstari wa mbele kupambana na mafisadi,Slaa hana budi kukanusha hizi ...( silence means yes)

hayo hapo juu ni maneno yako kashaga! Hakuna unachoweza kuleta humu ambacho hakimuhusu Dr. W. Slaa. Nakusikitikia maana hatuna tena imani na thread zako hadi utakapo tuomba radhi kvokana na thead yako kuhusu jimbo la karatu. Na kwakuwa ilishatamkwa wazi kuwa umetudanganya na hujakanusha then ww ni mwongo maana silence mean yes!
Kuhusu Slaa kukanusha, hilo sio kazi yake kwa sasa. Waliotajwa ndio wakanushe halafu Slaa atathibitisha. Utaratibu uko hivyo. Ni kama ww ulivyotakiwa kuthibitisha madai yako kuhusu karatu baada ya kutuhumiwa kuwa ni mwongo!
 
Balaa lingine limemwangukia katibu mkuu wa chama cha CHADEMA,baada ya kutuhumiwa na chama cha mapinduzi kuwa anatumika na mafisadi,hii inaweza chukuliwa kirahisi lakini ni swala nyeti ikizingatiwa Slaa amekuwa akijifanya kuwa mstari wa mbele kupambana na mafisadi,Slaa hana budi kukanusha hizi tuhuma au kutoa maelezo ya kujitosheleza kwasababu kukaa kimya inaweza kuleta tasfiri tofauti kwa wafuasi wake( silence means yes)

HABARI KAMILI
CHAMA Cha Mapinduzi kimesema Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willibrod Slaa na chama chake, wanatumiwa na baadhi ya watuhumiwa wa ufisadi waliotakiwa kujiuzulu wenyewe ndani ya chama hicho.

Akihutubia umati wa watu katika viwanja vya Mwembe-Kisonge Zanzibar, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesema kwa sasa watuhumiwa hao wameamua kutumia baadhi ya vyama vya siasa, magazeti na asasi za dini kujibu mapigo.

“Tumewapa miezi mitatu watuhumiwa wote wa ufisadi katika chama chetu wajiondoe wenyewe. Baadhi wanajaribu kupinga na kujibu mapigo kwa kutumia magazeti, vyama vya siasa na taasisi za dini...tunajua tutashinda na wao lazima waondoke,” alisema Nnauye.

Alisema, “Tumeandaa mkakati wa kusafisha chama kutoka ngazi za chini mpaka katika ngazi ya Taifa. Tumechunguza na tunajua wanaotakiwa kuondoka ndani ya chama chetu. Lakini baadhi ya watu wamejitokeza kutaja majina ya watuhumiwa ndani ya chama chetu, hiyo si kazi yao.”
Huyo anaye kataa kutajwa mafisadi ni kiongozi wa chama tawala, anao uwezo wa kuwatia mafisadi wote gerezani. Mbona anapiga kelele tu nje ya boma wezi wakiwa ndani ya chama chake, anategemea Dr Slaa akafanye nini kama si kumkumbusha kuwa bado anao mfisadi kibao awafunge magereza badala ya blaa blaaa za kupiga propoganda za danganya toto!!!!!!!!!!!
 
CCM hawatakaa wamsahau mtu anaitwa DR SLAA, kawamwagia mboga sana aisee! MAKAMBA WA KWANZA!

Balaa lingine limemwangukia katibu mkuu wa chama cha CHADEMA,baada ya kutuhumiwa na chama cha mapinduzi kuwa anatumika na mafisadi,hii inaweza chukuliwa kirahisi lakini ni swala nyeti ikizingatiwa Slaa amekuwa akijifanya kuwa mstari wa mbele kupambana na mafisadi,Slaa hana budi kukanusha hizi tuhuma au kutoa maelezo ya kujitosheleza kwasababu kukaa kimya inaweza kuleta tasfiri tofauti kwa wafuasi wake( silence means yes)

HABARI KAMILI
CHAMA Cha Mapinduzi kimesema Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willibrod Slaa na chama chake, wanatumiwa na baadhi ya watuhumiwa wa ufisadi waliotakiwa kujiuzulu wenyewe ndani ya chama hicho.

Akihutubia umati wa watu katika viwanja vya Mwembe-Kisonge Zanzibar, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesema kwa sasa watuhumiwa hao wameamua kutumia baadhi ya vyama vya siasa, magazeti na asasi za dini kujibu mapigo.

“Tumewapa miezi mitatu watuhumiwa wote wa ufisadi katika chama chetu wajiondoe wenyewe. Baadhi wanajaribu kupinga na kujibu mapigo kwa kutumia magazeti, vyama vya siasa na taasisi za dini...tunajua tutashinda na wao lazima waondoke,” alisema Nnauye.

Alisema, “Tumeandaa mkakati wa kusafisha chama kutoka ngazi za chini mpaka katika ngazi ya Taifa. Tumechunguza na tunajua wanaotakiwa kuondoka ndani ya chama chetu. Lakini baadhi ya watu wamejitokeza kutaja majina ya watuhumiwa ndani ya chama chetu, hiyo si kazi yao.”
 
Balaa lingine limemwangukia katibu mkuu wa chama cha CHADEMA,baada ya kutuhumiwa na chama cha mapinduzi kuwa anatumika na mafisadi,hii inaweza chukuliwa kirahisi lakini ni swala nyeti ikizingatiwa Slaa amekuwa akijifanya kuwa mstari wa mbele kupambana na mafisadi,Slaa hana budi kukanusha hizi tuhuma au kutoa maelezo ya kujitosheleza kwasababu kukaa kimya inaweza kuleta tasfiri tofauti kwa wafuasi wake( silence means yes)

HABARI KAMILI
CHAMA Cha Mapinduzi kimesema Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willibrod Slaa na chama chake, wanatumiwa na baadhi ya watuhumiwa wa ufisadi waliotakiwa kujiuzulu wenyewe ndani ya chama hicho.

Akihutubia umati wa watu katika viwanja vya Mwembe-Kisonge Zanzibar, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesema kwa sasa watuhumiwa hao wameamua kutumia baadhi ya vyama vya siasa, magazeti na asasi za dini kujibu mapigo.

“Tumewapa miezi mitatu watuhumiwa wote wa ufisadi katika chama chetu wajiondoe wenyewe. Baadhi wanajaribu kupinga na kujibu mapigo kwa kutumia magazeti, vyama vya siasa na taasisi za dini...tunajua tutashinda na wao lazima waondoke,” alisema Nnauye.

Alisema, “Tumeandaa mkakati wa kusafisha chama kutoka ngazi za chini mpaka katika ngazi ya Taifa. Tumechunguza na tunajua wanaotakiwa kuondoka ndani ya chama chetu. Lakini baadhi ya watu wamejitokeza kutaja majina ya watuhumiwa ndani ya chama chetu, hiyo si kazi yao.”

Ushauri wa BURE kwa Nape; (1) Aendeleze vita ya mafisadi, (2) Aimarishe chama chake, (3) Kama anakosoa CHADEMA aikosoe, lakini asimseme Dr. Slaa! Umaarufu wake UTAPOTEA ghafla, kama haamini aendelee!

Muda huu ni wa kupambana na MAFISADI na kuleta moyo wa UTAFIFA, siyo kupambana na waletao utaifa kama Dr. Slaa....
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Honestly speaking sielewi kama mchakato wa magamba na move wanayoibuka nayo kina Nnauye kama ndicho kitu wa Tz tunataka. Naona kama ni dalili za kukosa namna ya kukubalika kwa wananchi na hivyo kuanza kupiga makelele yanayoleta frustrations zaidi kwa uma. Hivi ni nani anayehitaji kauli mbiu za kishamba zisizokuwa na tija za kuvua magamba? Ni vitu gani hivyo? CCM isifikirie makelele ya magamba na kujisafisha yanamantiki yoyote. Na wala wasidhani ni njia ya kudhoofisha CHADEMA. Hayo magamba ni yao huko huko na maneno maneno mengi yaliyopitwa na wakati. Wamezoea kupoteza muda kwa makelele yasiyokuwa na mchanganuo.

Kwa ufupi, hatuhitaji habari ya Magamba wala nini. Tunahitaji maisha bora!. Punguzo la gharama za umeme, punguzo la gharama za mafuta, huduma bora za afya, usafirishaji na mawasiliano, elimu bora, uwajibikaji na utawala bora, udhibiti wa rushwa, demokrasia, udhibiti wa mfumuko wa bei, mazingira safi nk. Wanachotakiwa ni kujifanya fanya hivyo wanavyofanya bila makeke na kuboresha serikali wanayoingoza ili sis wananchi tuone matunda. Bila kuboresha maisha yetu hawatatufanya tuwakubali kwa kutumia nguvu nyingi za kupiga kelele. Hilo walielewe.

Kwanza wakati Dr Slaa na CDM wanasema ufisadi ndani ya ccm kwa mara ya kwanza, walikanusha. Hata mama Makinda alisema ccm haina mafisadi ni watu safi tu. Sasa leo hawaoni aibu kusema wamewatoa mafisadi? Wametoka wapi? Siyo kujidhalilisha sana kwa chama kilichokuwa kikubwa kama ccmk kutokujua taswira yake? Hawaoni kama wanadhihirisha rangi yao sahihi ya kusema uwongo na kutumia mbinu chafu ili kuepuka changamoto?

Nawashangaa sana sana sana ccm. NNauye anachokifanya naona hata hajui kama kinazidi kuharibu chama. Mimi sitaki kuongelea magamba sijui nini. Ni kupoteza muda tu. ccm ilishashindwa kusimamia wa Tz na hatuitaki. Dr Slaa hatadhoofishwa kwa propaganda

zlizochoka kama za ccm na magamba na uchafu wao. Tafadhal, tuwekeen thread nyingine.
 
Back
Top Bottom