Tiba
JF-Expert Member
- Jul 15, 2008
- 4,604
- 3,163
kashaga nikisema wewe ni taahira nakosea?
Huyu jamaa anayejiita Kashaga sijui analipwa Shs, ngapi na hawa mafisadi? Hata huoni aibu? Kumbuka wewe hauishi mbinguni shida zetu ni shida zako lakini always uko mbele kutetea mafisadi na kujaribu kuchafua hali ya hewa dhidi ya Dr. Slaa. Hii vita yako ni ngumu kweli kushinda, bora uachie ngazi mapema!!!!
Tiba