Kwanini mama?
mi simo, lol!The boss mwarabu wa muscat alie na asili ya kipemba!
I luv JFjf is never boring ..
jf is never boring ..
miezi tisa tumboni,miaka sita kumyonyesha!!!!!!na mengine,usiku nikumwa utasikia baba anauliza tu anaendeleaje huyo!!mama yeye halali!!acha bwana!!!
The boss mwarabu wa muscat alie na asili ya kipemba!