Kuna ndugu yangu mmoja anamchumba sasa kumfuatilia anajiuliza mambo mengi kweli.
Mara nyingi tunaamini kuhusu Tabia kurithi kutoka kwa Baba na mama.
Sasa katika ndoa kuna mambo mengi hasa utakuta mama anachepuka na kuzaa na ME mwingine na mtoto kumpa mume wake bila kujua au mume akajua baadae akasamee na ndoa kuendelea.
Sometime mume anakuwa na mtoto before ndoa au kwa kuchepuka mama wa mtoto kafariki na mkewe anamchukua na kumfanya kama mwanae wa kumzaa pindi ni mdogo kbs.
Na mtoto anakua anaamini ni mzazi wake wa kumzaa.
Sasa ukija mwanaume unataka kuoa hapo unakuwa haujui kama iyo ishu ipo utaona binti ni wa familia hiyo lkn sio wa hapo yani mzazi mmoja sio wake.
Sasa katika kuchunguza kama kuna magonjwa ya kurithi na tabia za familia kwa ujumla. Lkn kumbuka huyo mtu anaweza kuwa sio wa familia hiyo.
Hio ishu unaonaje.
Maana mara nyingi tunaambiwa zipo tabia za kurithi kutoka kwa familia na magojwa.
Sasa hio ishu ipoje hapo.
Utakuta binti sio baba yake wa kumzaa, mama yake alimpa tuu Mume wake.
Hio ishu vipi.