Baadhi ya wabunge wa CCM na Upinzani wadaiwa kuhongwa na menejimenti ya TANESCO

Ufisadi hauna rangi.Bw Zitto kama hakuliona hilo au kama hakuomba ushauri kutoka CDM imekula kwake.Kila kipengere ni muhimu.Looks like his arrogant, kuwa na pesa nyingi bila kutumia kichwa.Chama kimuwajibishe na aache mbwembwe.Mgao wa umeme tena wa bei kubwa hayakubaliki.Nyerere alimchapa viboko Chief Fundikira kwa kuidharirisha TANU kwa kuchukua Hongo.
 
Zitto umeangukia pua. Haiwezekani wabunge wote washout kwa nguvu Zittoooo! na kuzomea kila wakisema kuwa hata kutoka upinzani. Kwa nini wasimtaje Rissu ambaye ni mwiba zaidi kwao, au Mnyika au Mdee au Nassari au hata Mbowe mwenyewe kiongozi wa upinzani?

Kila ngoma ikilia sana upasuka. Haya nadhani ndio madhara ya kuwa a double agent.


Mimi nilisema hapa watu hawakuelewa mmesikia wenyewe sasa!!

Baby niliamini na kusapoti kile ulichoandika hapa jamvini kuhusu rushwa ilivyokuwa inatembea ili mgome kupitisha bajeti.
 
kama nimelielewa vizuri hili sakata, nadhani hakuna ambaye yuko sahihi kwa 100% kwenye hili:

1. upande wa tanesco (ambao unaungwa mkono na zitto & co):
+ve: waliendesha mchakato wa kumpata supplier wa mafuta kwa kuzingatia taratibu za kisheria
-ve: supplier waliyempata akagundulika kuwa bei yake ni abnormally high. inaonekaka ni rip-off of some sort!

2. upande wa wizara:
+ve: ilitengua uteuzi wa expensive supplier engaged by tanesco ili kuokoa pesa
-ve: wizara ilipotengua, ilitakiwa itumie utaratibu wa kisheria kum-engage cheaper supplier. they didnt do it!

a very simple and logical solution (no politicking please): get rid of those negatives from both side and keep the positives.

tuache siasa...for once!
Umeona eeeh haya yote sii maswala ya kuzungumzia kabisa bungeni.. Mimi ningeuliza kwa nini tupo ktk mikataba ya dharura hadi leo.. Who buys what haihusiani ikiwa tulitakiwa by now hatulipi hata senti tano kwa hawa jamaa wa dharura.

Saving 3bil wakati haikutakiwa tulipe hata chapa mimi sielewi wanabishania nini..Tunagharamia mashrika haya kama tunavyogharamia Mtera na source nyingine za Kitaifa wakati hizi Iptl sii mali zetu jamani..

Swali ni why up to now Hatujitegemei kwa Umeme wetu..
 
CCM bana mnadhani mmepata pakutokea? Hivi mnadhani tutaamini kirahisi hivyo tunajua kwamba mlitaka kumuhonga kakataa mmeamua kumgeuzia kibao eti kwa sababu alihoji taratibu za kusimamishwa mhando ndo tukubali kapewa rushwa?

Hamuwezi kuyazuia haya mageuzi eti tu kwa kuwatupia mawe majemedari...Lowasa mlimsimamisha kwa kutofuata taratibu za manunuzi iweje leo awe mhando na sio maswi
 
Huna lolote roho mbaya tuu na chuki binafsi,huwaoni waloiba EPA na Richmond umemuona Zitto tuu? Kumbe Zitto mwanamme anakulaza machoeee nabaado wala kura yako haiitaji wewe zidi kumpaka matope lakini ujue
Humuaribii na kumbuka nia safi hairogwi loooooo ushindwe na ulegee Kama bamia lakuchemsha.....

Ww acha ujinga mimi ni cdm damu lkn kwa hili wala ctaki kutetea ujinga coz hatutakuwa na tofauti yoyote na ccm tunaowapigia kelele kuwa ni mafisadi!,..nasema zitto anajimaliza na mambo ndo yanaanza kuiva,na bado
 
Mnakumbuka sakata la DOWANS?

Zitto aliandika waraka mzito kumpinga Mwakyembe, Slaa, Sitta na wana harakati mbalimbali. Leo anaumbuka mchana kweupe katikati ya kampeni za kuutaka Urais wa nchi.

Kama Zitto atapeperusha bendera ya CDM 2015 ni afadhali CCM itawale miaka mingine 50 ijayo.

Huyu kijana ni janga kwa Taifa
 
tupo hapa tulipo kwa ajili ya madudu ya ccm mana kila siku wanakuja na singo mpya mara idrisa,mara muhando na kesho kutwa tutasikia maswi hafai ingawaje leo vigeregere kapigiwa hii yote ni kufunika madhaifu yao...wamejaza mafisadi kila kona ili tuendelee lazima ccm ife yani ni imeoza jamani
 
Sumaye alikuwa sahihi "Mwanasiasa hujimaliza mwenyewe, hamalizwi na wengine" CDM nadhani ilisubiri fursa hizo. Ngoja aonekane choo mbele ya jamii
 
kuna watu ambao wanakuogopa sana kiutendaji na hii umeona tangia kigoma mambo mengi wamekuzushia na sasa hili la tanesco tunaomba mtanzania mwenye waraka au acc inayoonyesha malipo ya ufisadi vinginevyo hizo ni propaganda za ccm kwa kuwa wewe kwao ni mwiba unakumbuka john malecela alipokusema kuwa wewe ni sumu inbidi udhibitiwe kwa nini kwakuwa uliwagusa pale wanapoficha mali ya taifa sasa pambana mpaka kieleweke hiyo ni mipango ya serikali dhaifu chini ya uongozi dhaifu.
 
Nitakuwa Mtu wa Mwisho kuamini kwamba Zitto kavuta Mshiko tena kupitia kwa Ruth Msafiri. I take this as Propaganda from a failed CCM Government na Mbaya zaidi that Propganda is being propagated by Fellow CDM Chaps
 
Last edited by a moderator:
hizi shutuma za yeye kupewa hela ili kutetea maslahi flani ndani ya tanesco mbona zitto hazikanushi? mpaka tunaanza kufikiria ni za kweli...kuna wakati nafikiria cdm inaweza kuja kua worse than ccm..mana bora ccm wameshakula matumbo yamejaa wakiingia watu ambao wana njaa na wao wanataka kushiba itakuaje

Umenena mkuu, binafsi siamini ktk ccm or cdm, naona wote ni walewale, nachoamini ni kuwa tatizo la nchi yetu ni kubwa zaidi ya ccm na cdm, ni tatizo la kimfumo ambalo haliwezi kutatuliwa na cdm pekee au ccm pekee
 
Nitakuwa Mtu wa Mwisho kuamini kwamba Zitto kavuta Mshiko tena kupitia kwa Ruth Msafiri. I take this as Propaganda from a failed CCM Government na Mbaya zaidi that Propganda is being propagated by Fellow CDM Chaps

hata mm naziona ni propaganda tu juu ya Zitto, naona hata chadema wenzangu mnajingiza ktk propaganda hizi za magamba, issue ni mikataba kufumuliwa upya.
 
Last edited by a moderator:
Kwani zitto mmemjua leo? Anajitahidi kadri awezavyo kuleta balaa ndani ya chama Dr. Slaa msomi anambana sasa nyi kusoma hamjui hata lugha ya picha hamuoni?
 
Zitto ni Utata mkubwa, level yake ya uongozi ya juu kabisa ni hapo alipofikia from there atashuka. Masumbuko Lamwai . . .
 
07_11_vka7ms.jpg
 
Divide and rule has always been used to maintain oppressive power. Nashangaa watu wanataka kuingia kichwa kichwa katika mchezo huu wakulaumiana bila ushahidi. Inakuaje members wa CDM wapokee taarifa hizi bila kuzichunguza na waruhusu magamba kusambaza habari kama hizi? Leo Lowasa anaonekana mtakatifu na watu wanakubali?
Kumbukeni wanao sema haya ya Zitto leo ndio wale wale walio tudanganya jana. inakuaje leo tuamini haya wakati tunawajua ni waongo kila siku?
 
Never trusted Zitto at all, I love Chadema and Dr. Slaa is the man to trust.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

hata huyo dr slaa anhongeka tu! kama alilikana kanisa takatifu atashindwa kukukana wewe kama alivokukana zitto! alafu ni kijana mdogo je akianza kupata mvi si ndo fisadi wa kutupwa! na bado tutayasikia mengi!
 
Huyu Zito mbona Mwakyembe alisha m-highlight siku nyingi kuwa ni double dealer? Au hamkumbuki sakata la serikali kununua mitambo ya IPTL? The guy all of a sudden turned impotent and sided with the government baada ya kuvuta kitu kidogo.

It is true that when the boy talks he makes some sentimental sense but haaminiki coz ilisha-prove kwamba ananunulika. Sijuii ni njaa au hurka yake tu? It is a pity for CHADEMA and for us all!
 
Back
Top Bottom