Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,272
- 2,037
Nawashangaa sana tena sana wanatoa lawama zao kwa tanesco badala ya wizara husika.
Tanesco ipo chini ya wizara ya nishati wizara inayoongozwa na naibu waziri mkuu.Matatizo ya tanesco sio mapya ni ya miaka mingi na serikali inayajua kwa mapana yake.
Tanesco matatizo wanayakumbana nayo ni makubwa sana kiasi ambacho uwezo wa tanesco kuyatatua bila mkono wa serikali ni vigumu sana kwani uwezo wa tanesco kifedha ni mdogo ukilinganisha na ukubwa wa matatizo yanayoikabili tanesco.
Na kama tunataka tanesco itimize wajibu wake ni lazima serikali iingize nguvu kubwa kifedha ili kuboresha mitambo chakafu na ikibidi kununua mitambo mipya
Tupaze sauti kwa kuitaka serikali itoe fedha kwa tanesco badala ya kuilaumu tanesco .
Sent from my sm-a145r using Jamiiforums mobile app