Baadhi ya wabunge wa CCM na Upinzani wadaiwa kuhongwa na menejimenti ya TANESCO

doooh yes mkuu lakini sihusiki naye hata kidogo namjua toka akiwa arusha huyo jamaa
 
hizi shutuma za yeye kupewa hela ili kutetea maslahi flani ndani ya tanesco mbona zitto hazikanushi? mpaka tunaanza kufikiria ni za kweli...kuna wakati nafikiria cdm inaweza kuja kua worse than ccm..mana bora ccm wameshakula matumbo yamejaa wakiingia watu ambao wana njaa na wao wanataka kushiba itakuaje

Bahati mbaya nipo kwa mobile,i like yo comment. kwakweli inasikitisha sana maana kama ni kweli daah kajitia dosari sana. mambo ya siasa magumu sana.
 
URAFIKI WA WABUNGE VIJANA WA UPINZANI NA C CM ULINITIA SHAKA MUDA TU


TE=Nyalutubwi;4324669]Lakini angalieni nchi hii inavyoongozwa the issue is so serious for the negative impact to the growth of our Nation economy and we as citizens of this Nation are taking and discussing very lightly. Should we have one voice that demanding all those implicated in the matter to be prosecuted in the court of law?[/QUOTE]
 
kama kweli zito kabwe amehusika na ufisadi huu basi tena ,ndugu zangu wa bongo mjue hatutaweza kupata kiongozi wa kweli Tanzania,naomba mh zzk ajitetee na atuonyeshe kwamba he had nothing to do with uo ufisadi,sisi vijana wengi kwetu mh ZZK ni hero ,atakuwa ametulet down vibaya mno
 
Never trusted Zitto at all, I love Chadema and Dr. Slaa is the man to trust.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

I beg your pardon hapo kwenye red: I advise you never to trust any politician. They are more or less the same.
Kwa huyo uliyemtaja hapo juu hebu rejea kidogo tu historia yake Kanisani, CCM na kwenye Ndoa yake.
 
Mimi jamani nachoka kabisaa na siasa za hapa kwetu watu wanauchu wa madaraka pia wanauchu wa pesa naamini kuwa wasafi ni wachache sana katika ccm hata chadema sasa sijui nifanye nini nikisema nisipige kura najizurumu haki yangu nikisema nipige kula nawapa watu ulaji wa nchi yangu bora niondoke mbali na huu uvundo.
 
Zitto akiamua anaweza kuwamaliza CCM kwa hili, Ila kwa Siasa za Zitto za sasa hivi za kuchukua Msimamo Mwepesi dhidi ya CCM sidhani kama atachomoka. If you want to fight with CCM Ni Lazima Uchore Mstari. That is Why Namu admire Dr. W Slaa.

Albedo ndugu yangu kumbuka shetani hajalibiwi, kwa kuwa hana tabia ya kufanya makosa anapopata fursa. Zitto na wengine wengi vijana ktk bunge hili wamekuwa na tabia ya kutengeneza skendo hasa ktk kipindi kama hiki cha bunge la budget na kuwapiga mkwara mawaziri pamoja na makatibu wakuu kwa nia ya kuwaweka sawa na hatimae kubagain nao ili kuondoa skendo hizo kwa kupewa fedha nk.
 
Hili Jamaa sijui ni CCM?....acha zitto aambiwe ukweli bana anataka kutuharibia chama chetu makini na ninamuombea kwa nguvu zote 2015 akigombea ubunge kupitia CDM wampige chini bora tupoteze jimbo hilo itakua kheri maaana huyu jamaa sioni dira yake sasa Zitto sasa kawa Zigo kwa Chadema Eeeee mola tuepushe na balaa hili.
Hata maneno yako yanaonekana yakizushi,Mungu hasikizi anaemuombea mwenzie mabaya.
 
Nachoomba Mungu ni kwamba swala hili lirudi hadi kujua mzizi wa fitna hizi...waitwe watu wote wanaohusika, waliohusika na waliopitisha nchi yetu kuliwa vibaya vibaya na kundi la watu..Nimemsoma Prof waziri mpya wa Nishati na Madini nimemkubali maana karudia yale yale nilokuwa nikisema toka mwanzo kwamba kuna makubwa zaidi nyuma ya Mhando na Waswi. Na ukweli utajitokeza tu.
 
Mimi naona hapa kuna mchezo fulani unachezwa dhidi ya Zitto. Sijaamini bado katika hili.
 
Back
Top Bottom