Mbeya: Meneja TANESCO akabidhiwa kibatari kama ishara ya kuachana na matuzi ya mafuta na umeme wa jua

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,194
4,115
Wananchi wa Ikombe kata ya Matema wilaya ya Kyela Mkoani Mbeya wamemkabidhi Meneja wa TANESCO wilayani humo Kibatali ikiwa ni ishara ya kuachana na matumizi ya mafuta ya taa na umeme wa wa jua baada ya kufikiwa na umeme wa gridi ya taifa kupitia mradi usambazaji Umeme Vijijini REA.

"Ulivyofika umeme matarajio yetu kutakuwa na biasahara nyingi katika kijiji chetu cha Ikombe maana umeme ndo kila kitu kwa ajili biashara watu watakuwa na saloon" - Imani Makolo, Mkazi wa Ikombe.

Kwa upande wake Mkuu wa wilaya ya Kyela Josephine Manase amewataka wananchi kutunza miundombinu lakini kutumia nishati ya umeme kujiletea maendeleo
 
Hapa hutowaona Machadema 😁😁
 
Warudishiwe kibatari chao chap.
 
Ujinga, inabadili chochote? Raia wanapigana vita na watu wasio sahihi,
 
Wananchi wa Ikombe kata ya Matema, wilaya ya Kyela mkoani Mbeya wamkabidhi Meneja wa TANESCO kibatali kama ishara ya kuachana na matumizi ya mafuta ya taa na umeme wa jua baada ya kufikiwa na umeme wa gridi ya taifa kupitia mradi wa usambazaji umeme vijijini REA.

Ulivyofika umeme matarajio yetu kutakuwa na biashara nyingi katika kijiji chetu cha Ikombe maana umeme ndio kila kitu kwaajili ya biashara, watu watakuwa na saluni" Imani Makolo Mkazi wa Ikombe.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Kyela Josephine Manase amewataka wananchi kutunza miundombinu lakini kutumia nishati ya umeme kujiletea maendeleo.

EATV
 
Watu wa kuwafight wanawekwa pembeni, watu wanahangaika na watu wasio sahihi, Meneja wa TANESCO Mkoa unaanza vipi kupigana naye vita ya mgao wa umeme? ANazalisha umeme wake binafisi? makusanyo ya LUKU yeye ndio anapanga matumizi yake? yeye ndie anakusanya kodi za nchi hii? yeye ndie anapanga vipa umbele?
 
Wananchi wa Ikombe kata ya Matema wilaya ya Kyela Mkoani Mbeya wamemkabidhi Meneja wa TANESCO wilayani humo Kibatali ikiwa ni ishara ya kuachana na matumizi ya mafuta ya taa na umeme wa wa jua baada ya kufikiwa na umeme wa gridi ya taifa kupitia mradi usambazaji Umeme Vijijini REA.

"Ulivyofika umeme matarajio yetu kutakuwa na biasahara nyingi katika kijiji chetu cha Ikombe maana umeme ndo kila kitu kwa ajili biashara watu watakuwa na saloon" - Imani Makolo, Mkazi wa Ikombe.

Kwa upande wake Mkuu wa wilaya ya Kyela Josephine Manase amewataka wananchi kutunza miundombinu lakini kutumia nishati ya umeme kujiletea maendeleo
Acha mgao uanze kuwatembelea ndo mtajua TANESCO ni kiazi!
 
Back
Top Bottom