ni vizuri ungefikiria kabla ya kutoa kauli hii!!Tanzania tusipokuwa makini tutaanza kutawaliwa na waafrika wenzetu, rasilimali zetu tukizigawa hovyo maumivu yake yatakuwa ni ya milele.Wakenya, Waganda nk wakipewa fursa ya kuvua bila mipaka watz hamtapata nafasi hata ya kurusha nyavu,na mishangae kuja kusikia kila siku wavuvi wa TZ wameuawa ziwani.TANZANIA TAKE CARE!!!!!!!!!!
MKUU kwa heshima zote naomba niongeze kwenye hiyo bold. .......Ni bora tutawale sisi kwani tutakuwa hatujui uchungu wa kutawaliwa na kunyanganywa rasilimalui.