Baada ya kutaka EAC kuwa Nairobi, sasa lake Victoria kuwa bila mipaka

ni vizuri ungefikiria kabla ya kutoa kauli hii!!Tanzania tusipokuwa makini tutaanza kutawaliwa na waafrika wenzetu, rasilimali zetu tukizigawa hovyo maumivu yake yatakuwa ni ya milele.Wakenya, Waganda nk wakipewa fursa ya kuvua bila mipaka watz hamtapata nafasi hata ya kurusha nyavu,na mishangae kuja kusikia kila siku wavuvi wa TZ wameuawa ziwani.TANZANIA TAKE CARE!!!!!!!!!!

MKUU kwa heshima zote naomba niongeze kwenye hiyo bold. .......Ni bora tutawale sisi kwani tutakuwa hatujui uchungu wa kutawaliwa na kunyanganywa rasilimalui.
 
Nadhani hapo tutakuwa tunafanya kosa la jinai. Katika muunganiko wa nchi mbalimbali bado tunaona mipaka inakuwepo baina ya nchi na nchi. Chukulia mfano wa jumuia ya Ulaya, kila nchi bado wanamipaka yao na wanailinda. Pamoja na kwamba wanatumia sarafu moja ila katika mambo ya mipaka,kila mtu anao wakwake.Hata rasilimali vilevile kila mtu anamiliki za kwake.
Kwa hili hatukakiwi kukubali hata kidogo,mipaka ni muhimu kuilinda na kuidumisha.
 
So you can imagine how important we are to kenyans, we are a gold, diamond and life to them. mate yanawadondoka na hasa wanapoona sisi nasi tumeanza kunawiri, democrasia imeanza kuwa juu, wananchi wamechangamka kukamata mafisadi kitu kitakachoinua accountability kwenye uongozi then maendeleo kuwa juu haraka. wanaogopa watakuwa koloni letu si muda. mali hawana, ardhi kidogo. wanamendea eac wamiliki mali zetu, hasa ardhi, ziwa victoria, kila kitu.

we need to merge with these people, lakini sio iwe federation, tuwe na mipaka sana na tushirikiane kibiashara tu, na sio kufuta mipaka ya nchi na ziwa letu. tunaweza kufuta baadhi ya tarrifs na vitu vya kodi kama hivyo, na hata hivyo, tuwe ne rules za kutosha za immigration ili nchi hii isiuzwe tukajikuta tunapoteza chetu kama walivyotupora kinguvu hisa za East africa airways ambayo imeiwezesha kenya airways kuwa juu hadi leo. sisi tumelala fofofooooo na air tz.walituwahi, sasa hivi tunavyoingia tuingie kwa akili, sisi sio mabwege tena. tutaingia kwa akili, tutashirikiana nao kwa akili na ikiwezekana tutaachana nao kwa akili.
Ndugu,
Binafsi nadhani kuna fursa kwa Tanzania kujifunza kutoka Kenya kuliko vinginevyo. Hao samaki unaozungumza na kujaribu kutetea nadhani huna taarifa kuwa samaki hao hata wakivuliwa na watanzania hawaliwi na watanzania. Wavuvi wanawauzia wakenya na waganda sambamba na wenye viwanda wa Tanzania (wahindi) tayari kwa kupelekwa katika soko ulaya kwa wazungu. Kwa hiyo, jambo la msingi si kuzuia wakenya na waganda kuvua eneo la Tanzania (kwa sababu hadi sasa wanaendelea kuvua japokuwa wanazuiwa) bali bali ni kuwawezesha watanzania nao kuwa aggressive na kwenda kuvua maeneo ya Kenya na Uganda.
Juu ya ATC and KQ nadhani unatakiwa kufahamu kuwa zilizokuwa mali za EAC iliyovunjika 1977 ziligawiwa sawa (equitably). Wakeya waliweza kuwekeza zaidi na kwa makini katika KQ, wakati watanzania na waganda hawakufanya hivyo. Sasa kosa la nani? Serikali ya Tanzania hata pesa za wasitaafu wa EAC ilizitumia katika mambo yake mengine (vita ya Kagera 1978-79). Haikuwalipa hadi leo tunawaona wanaendelea kudai (ambao bado wapo hai). Serikali za Kenya na Uganda (Id Amini/Obote II licha ya ubaya wa tawala zao) ziliwalipa wastaafu wao. Hadi leo wako shwari tofauti na kwatu.
Nadhai tukubali kuwa 'uswahili' umevuruga mipango yetu siyo wakenya wala waganda, warundi wala wanyarwanda. Mafanikio ya Kenya yanatokana na jitihada zao. Tujifunze kutoka kwa badala ya kuwalaumu!
Mfano mwingine ni utegemezi wa bajeti ya taifa: Kenya wanategemea wafadhili wa nje kugharimia bajeti ya taifa lao kwa asilimia mbili (2%) wakati (sisi) Tanzania tunategemea wafadhili kugharimia bajeti yetu kwa asilimia theratthini na nane (38%). Hii ni kwa mujibu wa bajeti za 2008/90. Mwaka jana utegemezi ulikuwa asilimia arobaini na tano (45%) kwa Tanzania. Kenya ikiwa palepale.
Kenyans seem to be thinking big while Tanzanians take a narrow line of thinking. We must change. There is ample opportunity to learn from our Kenyan counterparts.
 
So you can imagine how important we are to kenyans, we are a gold, diamond and life to them. mate yanawadondoka na hasa wanapoona sisi nasi tumeanza kunawiri, democrasia imeanza kuwa juu, wananchi wamechangamka kukamata mafisadi kitu kitakachoinua accountability kwenye uongozi then maendeleo kuwa juu haraka. wanaogopa watakuwa koloni letu si muda. mali hawana, ardhi kidogo. wanamendea eac wamiliki mali zetu, hasa ardhi, ziwa victoria, kila kitu.

we need to merge with these people, lakini sio iwe federation, tuwe na mipaka sana na tushirikiane kibiashara tu, na sio kufuta mipaka ya nchi na ziwa letu. tunaweza kufuta baadhi ya tarrifs na vitu vya kodi kama hivyo, na hata hivyo, tuwe ne rules za kutosha za immigration ili nchi hii isiuzwe tukajikuta tunapoteza chetu kama walivyotupora kinguvu hisa za East africa airways ambayo imeiwezesha kenya airways kuwa juu hadi leo. sisi tumelala fofofooooo na air tz.walituwahi, sasa hivi tunavyoingia tuingie kwa akili, sisi sio mabwege tena. tutaingia kwa akili, tutashirikiana nao kwa akili na ikiwezekana tutaachana nao kwa akili.

Mkuu waweza kuwa right kwenye baadhi ya mambo,lakini kwenye ufisadi tusubiri kidogo,tusifanye conclusion haraka haraka hivyo as if tumesha u overcome.

Tuelewe pia kuwa inadaiwa "Tumeukalia uchumi" Kinachoendelea kwenye baadhi ya maeneo ya Afrika ni mambo yaliyotokea miaka ya nyuma 1800's and before...Kwamba hizo mali na utajiri vinavyowatoa mate wakenya ndiyo he same things vilivyowatoa mate wakoloni,na baada ya kuona zipo tu na hazifanyiwi kitu huku mkijidai mnajua kuwa ni utajiri,then wakaanza kupora kwa nguvu,si unaona hata bongo kuna watu wengi tu hawana kazi despite of utajiri na rasilimali ulizotaja? Well hilo nalo liliwafanya wakatamani minjemba yenye misuli inaokaa bure na kusema ni matajiri tu...Na hapo wakaona kumbe kuna nguvu kazi pia za bure,hence utumwa.

Blame it partially on Ujamaa; Wakenya kutokana na mfumo waliouchukua,ni wazi wako kwenye level tofauti ya ubepari ambayo viongozi wetu kichwa kichwa wanaivamia bila kufanya tathmini,sasa wakenya washapitia huko na wanahitaji more resources,na viongozi wetu walipofungulia mbwa kwenye ubepari,huwezi kushangaa kuwa wakenya walishajipanga na kutumia udhaifu wa kutokuwa makini kwa viongozi wetu....Tusipoangalia migiogoro hii naweza kuwa mikubwa, cha msingi si kuwa na mali na resouces zote hizo,cha muhimu ni how do we utilise them,kukaa tu na kusema ni mali zetu watanzania na huku manufaa yake hayaonekani kutatuletea matatizo na no wonder vita haviishi Afrika...Sasa subiri uone kwani behind those Africans kuna mabepari wenye interest,ni kama proxies.
 
If they are really planning to come up with such proposal, we should not even waste our time urguing at rubbish proposal.
 
Hiyo proposal ya kuondoa mipaka ni rubbish. Mipaka isiondolewe. Chakufanya sisi Tanzania tuendelee kuvua samaki na kama kuna ziada tuwauzie Wakenya.

Lazima tulinde maslahi ya nchi yetu at all costs, EAC notwithstanding.
 
Keep embracing the colonial borders mkuu, mtu asikuambie kitu. Lindeni maslahi ya nchi yenyu at all cost.. some of these comments usually crack me up.

Dont just look and laugh, look and learn. Congo wamebarikiwa na alot of resources lakini the resources are a curse in disguise, and there are so many African examples.. hopefully you will guard your resources jealously isije ikawa your undoing as a country.
 
naomba hili tulichimbe, hatuwezi kuwa mgongo wa wakenya kusonga mbele wakati sisi tunalala tu. kama tusingelinda resources zetu tangu awali, leo hii tusingekuwa na madini nk.

Hivi, naomba tujiulize, kuna faida gani kuungana na hawa jamaa? najua faida ipo kama tutakuwa tunakubaliana kulingana na maslahi ya kila nchi. lakini, kwa proposals za wakenya kama hizi, kuna faida gani? kuna nini kinajificha ambacho wanataka ku take advantage of our country? kuna nini wanalilia hapa, kama resources tunazo, hata tukikalia ni zetu, tutakuja kuchuma baadaye.

Kilimanjaro wameiba hadi wamechoka, sasahivi wanaona aibu kwasababu dunia imejua kuwa iko tz. serengeti wameshindwa na kulegea vilevile. baadaye watakuja kusema hata ngorongoro na Bagamoyo iko kwao, hata zanzibar watasema iko kwao.

unayetoa mfano wa Congo, resources za congo zinaleta migogoro kwao, lakini that is not the case here in tz. hapa tz resources hazileti migogoro hata siku moja. may be if you people come with the proposal to buy some land from Tz or some part of victoria from tz, and we may sell you at more than five trillion dollars if you can ever have that money.

watz tujifunze kwa waganda, waliachia kisiwa cha migingo, sasahivi wakenya wamesema chao, hadi wanataka kupigana. sasa,kama kakisiwa kale tu wanataka kupigana vile, je, ziwa? ikiwezekana tuachane nao kabisa. siku zote ogopa mtu anayetaka kutake advantage of your being.
 
mimi nakubaliana kabisa na hofu ya ubungoubungo...lakini na sisi watanzania tumezidi kuwa walalamikaji badala ya kufanya kazi , ndio maana kila siku wenzetu wanatupiga bao tukiwa macho....tuanze na mlima kilimanjaro,si uko Tanzania? lakini kila siku jamaa wetu wakenya wanapromote sector yao ya utalii kwa kujinadi kwamba mlima uko kwao..mapato yao yanaongezeka sisi tunashangaa shangaaa, tukija madini ya tanzanite,tanzania ndio nchi pekee inayochimba madini husika,lakini kwenye masoko ya dunia Kenya ndio major exporter wa tanzanite, tukija kwenye magogo ni hivyo hivyo. Na kibaya zaidi ni sisi sisi wenyewe ambao tunashirikiana nao kupitisha njia za panya... Na sasa mbali na kutaka tugawane hako kaziwa, wanataka kuja kamili kutwaa ardhi yetu..hakiyanani nawaambieni pamoja na mikwala ya viongozi wetu ,jamaa watakuja ardhi watachukua,watalima watapitishia njia za panya kupeleka kwao na Kenya itapaaa kama ndege ya Lowassa. Sisi tutabaki kulalamika tu! Tuamke sasa!
 
Hizi resources zenu ambazo kila wakati nyinyi huwa mnasema muko nazo what have they helped you with."Tuko na resources na ardhi chungu nzima" imekuwa ni kama wimbo, shida yenu kubwa ni mazungumzo mengi bila kuwa na vitendo viongozi wenu wamewandanganya eti wakenya na waganda wakiingia Bongo kitu cha kwanza watakachofanya ni kuwanyang'anya ardhi ambayo by the way haiwasaidii.
Like some one would say its not what yo've got that matters its what you do with what you've got.So we would expect you to export dairy products in the world, horticulture produce, tea,cofee,pyrethrums and such kind huge volumes .the last time i checked you exported nothing worthwhile that is agricultural based apart from Cloves which in any case comes from the islands.
Kenya on the other hand with "Our landlessness" what do we have
we supply 68% of the world flowers followed by israel and ethiopia ,
our tea output is second only to i think sri lanka,
We are the leading producer of pyrethrum in the world.
Our coffee quality is unmatched anywhere in the world its not a lot but its distinct it fetches the highest price in the world market.All that comes from a very "land less nation" Now tell me who is fooling who here, your guess is as good as mine.Simply put there is having a brain and having a white murky stuff in once head.
 
Sifikiri kuwa litakuwa jambo la ujinga kwa vile tunachotowa umuhimu hapa ni Muungano na Muumgano maana yake aliekuwa hana kitu akipate kwa mwenzake.

Muungano lazima uwe na faida mkuu. Mkono mtupu haulambwi.
 
if they have not helped us already, they will help us tomorrow, that should not be taken as a ticket to grab our resources just because you think we do not use them or they don't help us. to tell you, they help us a lot, and you will see soon how this means.

You have coffee, what kind of coffee? can you compete it with the Ethiopian one, Burundi, Rwanda and Tanzania(here we have kilimanjaro coffee, mbozi, the famous Bukoba na Mbinga districts), we don't talk any thing. ukienda popote ukawaambia watu kuwa coffee ya kenya is the best, watakucheka sana. the problem is that, you don't know who you are, you keep on being proud of nothing. ni sawa na wale wanaosema Nairobi is the Dubai of East Africa....those years have already passed. stay tuned and be ready for competition brother. soon you will be our colony.
 
mimi nakubaliana kabisa na hofu ya ubungoubungo...lakini na sisi watanzania tumezidi kuwa walalamikaji badala ya kufanya kazi , ndio maana kila siku wenzetu wanatupiga bao tukiwa macho....tuanze na mlima kilimanjaro,si uko Tanzania? lakini kila siku jamaa wetu wakenya wanapromote sector yao ya utalii kwa kujinadi kwamba mlima uko kwao..mapato yao yanaongezeka sisi tunashangaa shangaaa, tukija madini ya tanzanite,tanzania ndio nchi pekee inayochimba madini husika,lakini kwenye masoko ya dunia Kenya ndio major exporter wa tanzanite, tukija kwenye magogo ni hivyo hivyo. Na kibaya zaidi ni sisi sisi wenyewe ambao tunashirikiana nao kupitisha njia za panya... Na sasa mbali na kutaka tugawane hako kaziwa, wanataka kuja kamili kutwaa ardhi yetu..hakiyanani nawaambieni pamoja na mikwala ya viongozi wetu ,jamaa watakuja ardhi watachukua,watalima watapitishia njia za panya kupeleka kwao na Kenya itapaaa kama ndege ya Lowassa. Sisi tutabaki kulalamika tu! Tuamke sasa!

Brother/sisiter, wale watz wa aina hiyo wameshazeeka, SIKU HIZI WATZ SIO WAVIVU, WANACHAPA KAZI SANA, hiyo imebaki historia tu. siku hizi wabongo wanachapa kazi, wanasoma, na wanafanya biashara vizuri sana. ni kundi dogo tu la watu ni wavivu sawa tu na kwamba katika kila nchi kuna wachapakazi na wavivu. hicho kisiwe kisingizio cha kugawa ardhi na ziwa au maliasili yetu yoyote ile. the issue is that, tunazo maliasili nyingi mno, na hatuwezi kuzimaliza haraka, ndio maana wenzetu wanaona kama sisi tunazikalia tu. hawajui kuwa kila kukicha tunazichuma lakini haziiishi kwasababu ni nyingi mno. tutazitunza tujichumia polepole, kama ni samaki, kama ni madini, kama ni ardhi etc, tutajilia polepole kama unalamba icecream vile.
 
Wako wapi hao watz? .....tatizo letu wabongo ni kujipa matumaini, tena wala usiseme kuhusu unaowaita kizazi cha sasa hivi...vijana wa tanzania ndio worse,wakishapata kazi yenye kamshahara cha kumtosheleza yeye na familia yake na kagari kamkopo ameridhika...tunachozungumza hapa ni kushiriki moja kwa moja katika nyanja nyeti za uchumi. Angalia uchumi wa Tanzania sasa hivi...kwa taarifa yako umeshikiliwa familia za kihindi tisa tu!...wewe endelea kujipa moyo.
 
Brother/sisiter, wale watz wa aina hiyo wameshazeeka, SIKU HIZI WATZ SIO WAVIVU, WANACHAPA KAZI SANA, hiyo imebaki historia tu. siku hizi wabongo wanachapa kazi, wanasoma, na wanafanya biashara vizuri sana. ni kundi dogo tu la watu ni wavivu sawa tu na kwamba katika kila nchi kuna wachapakazi na wavivu. hicho kisiwe kisingizio cha kugawa ardhi na ziwa au maliasili yetu yoyote ile. the issue is that, tunazo maliasili nyingi mno, na hatuwezi kuzimaliza haraka, ndio maana wenzetu wanaona kama sisi tunazikalia tu. hawajui kuwa kila kukicha tunazichuma lakini haziiishi kwasababu ni nyingi mno. tutazitunza tujichumia polepole, kama ni samaki, kama ni madini, kama ni ardhi etc, tutajilia polepole kama unalamba icecream vile.

amka ubungo ubungo...............
 
wewe ndo unajivunja moyo tu mkuu. kama wewe umelala unafikiri kila mtu amelala? watu hapa tumemaliza chuo sio muda mrefu lakini tumeshajenga na tuna viwekezo vya kutosha, hadi tunatamani kuacha kazi tulale mbele na biashara. kama wahindi ndo wameshikilia uchumi, wewe endelea kulala pengine unafikiri watakuja wakugawie. kuna opportunities nyingi sana hapa tz ambazo hata hao wahindi hawatatugusa. ndio hizo ambazo sisi wabongo tulioelimika tunazifanyia kazi vilivyo. fikra zako kwakweli sio za kimaendeleo, huwezi kuwa umekata tamaa kiasi hicho kwasababu ya hao unaowaita wahindi. na sio kweli kama wameshika kila kitu hapa bongo, kuna wabongo wengi tu wameshikilia uchumi pia. funguka mkuu wewe ni wa wapi?
 
if they have not helped us already, they will help us tomorrow, that should not be taken as a ticket to grab our resources just because you think we do not use them or they don't help us. to tell you, they help us a lot, and you will see soon how this means.

You have coffee, what kind of coffee? can you compete it with the Ethiopian one, Burundi, Rwanda and Tanzania(here we have kilimanjaro coffee, mbozi, the famous Bukoba na Mbinga districts), we don't talk any thing. ukienda popote ukawaambia watu kuwa coffee ya kenya is the best, watakucheka sana. the problem is that, you don't know who you are, you keep on being proud of nothing. ni sawa na wale wanaosema Nairobi is the Dubai of East Africa....those years have already passed. stay tuned and be ready for competition brother. soon you will be our colony.

The height of illiteracy, if you dont know that Kenyan coffee is the best in the world, compared only to i think Brazil, then unalala darasani. Our coffee is used to blend the rest of the worlds coffee..(The coffee that you drink-if you drink any, was blended using our coffee) We are a product of our own, unmatched by any other Ea country-though we have less land and 'no' minerals.

Uswahili hautawapeleka kokote, work hard mates. maybe the minerals are not in anyway helping you as a country, you just sell the stones to brokers who make a kill else where. Thats the power of capitalism.
 
Which part of its not a lot don't you understand.....I meant while quantitywise countries like Uganda and Ethiopia can claim the trophy the quality of our coffee is outstanding Kenya coffee is considered the finest of it's kind, grown at high altitudes under ideal growing conditions, it is known for a high acidity and average to brisk body, also commonly described as fruity..
It is distinctively bold, yet has a smooth taste.You don't believe me? ask
Starbucks they have just introduced a new Kenya coffee. It is called Starbucks Black Apron.
 
The height of illiteracy, if you dont know that Kenyan coffee is the best in the world, compared only to i think Brazil, then unalala darasani. Our coffee is used to blend the rest of the worlds coffee..(The coffee that you drink-if you drink any, was blended using our coffee) We are a product of our own, unmatched by any other Ea country-though we have less land and 'no' minerals.

Uswahili hautawapeleka kokote, work hard mates. maybe the minerals are not in anyway helping you as a country, you just sell the stones to brokers who make a kill else where. Thats the power of capitalism.

siwezi kubishana na mkenya kwa jambo hili, kwasababu chochote kile kilichopo kenya, mnafikiri ni bora kuliko vyote. si ajabu hata kibera mkasema ni slum bora kuliko zote duniani. si ajabu hata mombasa mkasema ni port bora kuliko zote duniani, because you are blessed kwa hili, kuringa/bring proud of nothing. kama ndio hivyo, hongera.

lakini for the issue of uswahili which you are talking about, sisi sio waswahili. that's why you are afraid of us, and you are jerousy of us. zamani tulikuwa waswahili, tulikuwa wajamaa na wavivu, lakini siku hizi maisha magumu na matatizo yametuletea challenge, we are no longer those people of the past brother. you may talk till night but that is the truth that will remain.

ni kweli hamuna madini, ndio maana mnatuonea wivu sisi wabongo tulio na madini. you've got to learn to live with that emptiness brother, mkituangalia sisi wabongo ambao tunakuja juu sana kiuchumi, our people now go to school, na si muda tutakuwa hata zaidi yenu. ardhi yetututazikdi kuilinda, hamtakuja muiguse, mtalowesha ardhi kwa udenda tu. poleni. if uswahili hautusaidii sisi, then bring proud does not and will never help you kenyans forever.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom