mtamaushi2
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 401
- 380
Inauma saanaa aisee, pole mkuuYaani ninamtafakari sipati jibu... Ndio mana sipendi kuishi na ndg kwa ajili hii... Nilishapokea kijana mtoto wa mamdogo akamtia kidole cha makalioni mwanangu wa kiume wa miaka miwili mtoto akaja kuniambia... Niliumia sana.. Mbaya zaidi mama ake akawa anamtetea...
Sikumpeleka police... Nilimsomea dua tu... Mpk leo Hali yake ni mbaya sana Manake km mtoto asingesema ndo usenge ungempta... Sasa huyu kapokelewa vizuri leo anamtoa bikra binamu yake... Inauma sana... Tena mjinga mkubwa sijui anataka tumsaidieje... Ngoja niwatafute hao wazazi wake... Mbwa Kabisa huyu mshenzi mkubwa