Mwanamke akishapoteza usichana wake hana tena thamani ya kuchagua wanaume

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,849
Ndugu wana jf .

Hawa dada zetu wamejiachia sana na kupoteza usichana (bikra ) kizembe kizembe sana kwa tamaa za mali na maisha mepesi mepesi. Na baada ya kupoteza ubikra wao ndiyo wanajifanya kuchagua mwanaume sahihi huu ni uongo kabisa.

Nipende kuwaeleza ukweli mwanamke ukishapoteza ubikra wako hunathamani tena ya kuchagua mwanaume maana sisi tunajua kabisa kuna njemba limeshapita hapo na hakuna kigeni wala ile thamani haipotena.

Ukiwa siyo bikra usichague wanaume utazeekea nyumbani huku una chezewa na wahuni alafu uje hapa useme wanaume wote ni wu-u-- wu-u. Chagua mwanaume ukiwa bado bikra na hakikisha ndoa imefungwa ndiyo atindue.

Ukishindwa kuchagua ukiwa bikra sahau kuchagua ukiwa umeshatumika.

Tunzeni usichana wenu acheni kuwehuka
 
Yani kuna majamaa kazi zao ni kutafuta bikra na kuzitoa.

So now days hawa KE wana mtihani sana kwenye kuitunza maana kuna mijamaa hio ndo misheni yao kutoa/kuvunja/kuchanachana/ kuvuruga/ kuitoa bikra
🚀
 
Ss unakuta Binti wa watu n bikra kwel alafu anakuambia ww ambaye ndiye mwanaume wake tusifanye mapenzi mpk tufunge ndoa lkn mwanaume anataka aonje kwanza kabla ya ndoa ss Binti unakuta anampenda mwanaume wake anaamua kumpa tu.

Cc wanaume ndio waharibifu,
 
Ndugu wana jf .

Hawa dada zetu wamejiachia sana na kupoteza usichana (bikra ) kizembe kizembe sana kwa tamaa za mali na maisha mepesi mepesi. Na baada ya kupoteza ubikra wao ndiyo wanajifanya kuchagua mwanaume sahihi huu ni uongo kabisa.

Nipende kuwaeleza ukweli mwanamke ukishapoteza ubikra wako hunathamani tena ya kuchagua mwanaume maana sisi tunajua kabisa kuna njemba limeshapita hapo na hakuna kigeni wala ile thamani haipotena.

Ukiwa siyo bikra usichague wanaume utazeekea nyumbani huku una chezewa na wahuni alafu uje hapa useme wanaume wote ni wu-u-- wu-u. Chagua mwanaume ukiwa bado bikra na hakikisha ndoa imefungwa ndiyo atindue.

Ukishindwa kuchagua ukiwa bikra sahau kuchagua ukiwa umeshatumika.

Tunzeni usichana wenu acheni kuwehuka
Takbir!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom