Baada ya kumtoa usichana, binamu yangu anataka tuwe wapenzi lakini naogopa

Habari zenu wana JF,

Poleni na majukumu,

Wana JF natumaini nitapata ushauri mzuri kutoka kwenu.

Leo nimeona ni vyema niwashirikishe kisa hiki kinachosumbua maisha yangu kwa kipundi cha miezi minne sasa, imefika mahali nakosa hata raha ya kuishi, kwani napata shinikizo gumu kutoka kwa binamu yangu, ambalo nahisi endapo nikikubali nitajikuta natengwa na familia yangu na kushusha hadhi yangu kama ndugu wa karibu na aliye mwaminifu.

Wakuu mimi kwetu ni Monduli Arusha, ndiopo nilipozaliwa na kusoma kuanzia shule ya msingi hadi kidato cha nne. Baada ya kumaliza kidato cha nne pale Moringe secondary, nilibahatika kuchaguliwa katika shule ya Tabora boys kwa elimu ya Advance level,kwa kombi ya PCM.

Baada ya kumaliza kidato cha sita mwaka 2015, nilirudi nyumbani Arusha kusubiria matokeo yangu, baada ya matokeo kutoka nilibahatika kupata Dv 2, nilimshukuru Mungu sana kwani masomo ya sayansi yana changamoto kubwa sana hasa kwa shule za serikali, baada ya kutuma maombi yangu TCU, nlibahatika kupata chuo cha DIT kwa kozi ya Bachelor of Civil engineering kwani ndio ilikuwa ndoto yangu ya siku nyingi kusomea mambo ya ujenzi.

Baada ya kupata chuo Dar es salaam, ilibidi nisafiri hadi Dar kukaa kwa shangazi yangu, huku nikisubiria siku ya kuripoti chuoni. Baada ya kuwasili Dar, Shangazi yangu alinipokea kwa furaha sana, pia alinipongeza kwa hatua kubwa niliyoifikia katika elimu na kuniasa kuwa nisibweteke na kujiona nimefika kwani safari bado ni ngumu kufikia mafanikio.

Nilifurahi sana kusikikia nasaha za shangazi yangu pia nilimuahidi kuwa sitomuangusha shangazi yangu, anaishi Tabata pia ana watoto wawili wa kwanza ni wakike anaitwa ambaye alikuwa anasoma kidato cha Tano, Loyola High school, na wapili yupo kidato cha tatu, katika shule ya Marian Boys.
Pia shangazi yangu ni mwajiriwa wa Benki moja hapa Dar, na mme wake anafanya kazi KCMC hospital yeye ni Doctor.

Wakuu nilianza maisha mapya ndani ya Dar, Niliishi kwa shangazi yangu kwa Adabu zote, na pia nilikuwa namuomba Mungu sana.Baada ya kukaa kama wiki moja hivi, tayari nlishayazoea mazingira ya pale na nlijihisi ni mwenyeji sasa. Lakini kuna siku shangazi aliniambia kuwa kwa kipindi nachokuwa nyumbani niwe namfundisha valentia baadhi ya masomo ya physics na chemistry kwani yeye alikuwa PCB, nilikubali bila kinyongo chochote kumfundisha binamu yangu. Hivyo raiba yangu ilikuwa kila jioni saa kumi, baada ya kupumzika anapotoka shule nakaa nae mezani namuelekeza yale ninayo yaelewa.

Binti wa shangazi yangu alikuwa ni binti mzuri na alikuwa na kila sifa nzuri anayotakiwa kuwa nayo msichana, japo alikuwa bado mdogo yani ndio kwaanza alikuwa na miaka 18, pia alikuwa ni mcheshi na anapenda sana kunitania, kiufipi ilifika mahali alinizoea sana, alifika mahali kila siku akitoka shule lazima apitie supermarket, aninunulie zawadi iwe keki au apple yeye alikuwa ananiletea tu.

Ilifika kipindi hadi akiona nguo nzuri ananiletea na pia alikuwa anapenda kuwa karibu na mimi sana hasa tuwapo myumbani, sababu tulikuwa peke yetu kwani shangazi alikuwa hana mfanyakazi wa ndani. Siku hii ambayo sitoisahau maishani mwangu ni siku ambayo mwovu shetani alniingiza majaribuni nikajikuta, nimefanya mapenzi na binamu yangu wa damu na kibaya zaidi niliutoa usichana wake "ubikira wake"

Ilikuwa ni siku ya Ijumaa mida ya saa tisa jioni nilikuwa nimelala chumbani kwangu "fofofo" mara nikashtuka usingizini, nikasikia mtu anagonga mlango wangu, mimi bila kujua nikasema tu "ingia mlango upo wazi"
Maneno hayo niliyatamka tuu, kwani nilitoka usingizini.

Kufumba na kufumbua macho mlango ukafunguliwa, mara binamu yangu akaingia ndani na kuufunga mlango lakini sikushangaa kwani alishanizoea sana, so nikachukulia kawaida tu kama kaka na dada.

But nilimwambia anisubiri mezani nalala kidogo then ikifika saa kumi jioni nitatoka ili nimfundishe, akasema "sawa kaka lakini nimekuletea zawadi"
Mhhhh nikamwambia zawadi gani tena? Akaniambia "fumba macho nikulishe" ,mda huo nimekaa kitandani kweli nikaitikia wito nikafumba macho, ile kufungua tu akanipa romance na kukaa mapajani mwangu.

Akili na ubongo wangu vilipoteza mawasiliano kabisa nikajikuta sielewi tena kama nipo na ndugu yangu wa damu. Baada ya kumvua nguo zote mtoto alishakuwa laini hajielewi na mimi nilikuwa na ugwadu usio na mfano, ile namweka mashine tu, mtoto akaanza kulia kwa uchungu huku matonye ya damu yakimtoka kwenye uke wake, nikimaanisha kuwa alikuwa ni bikra baada ya kumwingilia siku ya kwanza, alitokea kunipenda sana.

Baada ya kupita wiki yaani siku ya jumamosi ya wiki iliyofuata, akaniletea mzigo tena chumbani kwangu, nilimlala vilivyo, kila mkunjo nilimweka, alikuwa anapiga kelele kama mtot mdogo, kwani mzigo wangu sio haba, nimpanda masaa mawili bila kupumzika hadi akaomba nimwache ampumzike, lakini sikumwacha, nilimkunja kisawasawa, hadi alipoenda kuoga saa moja jioni alienda kulala hata kuamka kuja kula hakuamka na shangazi aliporudi mida ya ssaa tatu hakujua chochote, kesho yake aliamka saa nne asubuhi, maana nilimkaza hadi alitoa machozi, na alichoka sana, nilipatwa na hofu nikajua nilimuumiza siku ya jana, lakini alipooamka alinionea aibu sna lakini hakuumia but alichoka sana.

Ninavyoandika hapa, kwasasa ananisumbua kwa kipindi kirefua akitaka tuwe wapenzi na mimi naogopa shangazi akijua itakuwa ni balaa kubwa na nimeshamwambia tulisex kwa bahati mbaya hivyo tuendelee kuwa kama kaka na dada na tuyasahau yaliyopita, lakini haelewi kabisa, anasema ni heri yeye afe tu.

Naombeni ushauri wenu!

Asanteni
Mlitumia kinga??
 
elimu zinaharibu watu ndio maana most of Africans tunaadopt vitu vya kipumbavu toka nje,hivi kusoma kote huko unadiriki kutembea na dada yako hivi wewe utakuwa mzima kweli au umerogwa naona muda si mrefu utapata laana
 
Back
Top Bottom