Mr Alpha
Senior Member
- Jul 31, 2018
- 195
- 522
Habari yako Broo nilikuwa naomba unipostie changamoto yangu ile niweze kupata ushauri
Mimi ni kijana wa miaka 20 mwaka huu mwezi wa 8 natimiza miaka 21 nilikuwa naomba unisaidia kupost changamoto yangu ili nipate ushauli Mimi nipo kwenye mahusiano na binti mmoja na mahusiano yetu hivi sasa ni mwaka wa 4.
Tulikuwa katika mahusiano toka tunasoma shule mpaka tulipomaliza secondari. Pia kwenye mahusiano yetu Mimi ndiye niliyetoa usichana wake huyo mwanamke, japo alikuwa akileta pingamizi kukubali kusex kwamb tusubiri mpaka tutakapo oana Lakini mm mwanaume nina hisia nikashndwa na katika kumlazmisha akalubali.
Tumekuwa tukikutana mara kwa mara lakini changamoto niliyo nayo mimi nimepata kazi mkoani na yeye yupo Dar.
Now imekuwa ni ugomvi kila siku hatuishi kugombana kwasababu anahtaji nimuoe na mimi naona kabisa mda wa kumuoa bado kwasababu ndiyo najitafuta. Shida inakuja kila siku tunapowasilia kwenye simu kuongea lazma aongelee suala ya mimi na yeye kufunga ndoa, nikimjibu kuwa mda bado anivumilie kidogo nijipange anakuwa mkali sana amabao inapelekea kugombana. Kuhusu kumpenda Nampenda sana na yeye ananinipenda .
Changamoto yangu ni hiyo yeye anahitaji tufunge ndoa lakini mimi nahitaji nijitafute kwanza nikijipata ndo nitafunga naye Ndoa hataki kuelewa anataka tufungu ndoa wakati huu. Sasa nimefikiria kuachana nae kabisa maana anashindwa kunielewa na sio kwamba sitaki kuishi nae ila sitaki huko baadae familia yangu ipate shida
NOTE: Naombeni ushaurie Je nimuache ili atafute mwanaume wa kumuoa, au nifanye nini ili haweze kunielewa?