mbona kamati ya mama sitta imeshapitisha hiyo bajeti,ccm wasanii sana.Mzee mwanakijiji hapo naona kuna technical success or failure ya timing ya mgomo wa madaktari. serikali yaweza kujitetea kua madai yao yatazingatiwa katika bajeti itakayosomwa hivi karibuni. Ikumbukwe kua mama Sitta alishaikataa bajeti ya waziri wa afya hivyo kumlazimu waziri kwenda kuifanyia marekebisho ili kukidhi hoja za madai ya madaktari. Hii itasababisha mgomo ukose nguvu katika hatua za awali. Kwa upande mwingine inaweza kua ni technical approach ya kuilazimisha serikali kuzingatia madai yao kwenye bajeti tunayoisubiria. Time will tell!
je iwapo mgomo wa tarehe tajwa utatokea ni nani alaumiwe kwa kushindwa kutatua mgogoro huu uliodumu kwa kipindi cha nusu mwaka sasa??
"DHAIFU" ndiye alaumiwe!
endelea kufuatilia mkuu!!
Ngoja na walimu pia tuanze kugoma! ray:
no politics!ila hawa jamaa mi naona wajifunze tu manake kipindi kile waligoma wakaambiwa waungane na kuihusiha chadema kudai haki, waka anza kuuma vidole, sasa yamewakuta, sijui watawarudia?????????
nimesiki kuanzia july mshahara wa mbunge utakuwa 10 mil per month, hapo imekaaje?