Ngoja na walimu pia tuanze kugoma! ray:
inafanyika kwenye muda mzuri sana. Tuone kile chama chenye mzinzi class 1 na mbaka mtoto mdogo mwenye tumbo kubwa kama ana mimba ya watoto 20 watalalia upande upi wa budget!
Kama majadiliano yalikuwa yanafanyika kwa siri, hatuwezi kujua nini zilikuwa contents za makubaliano hayo na for the same reason it doesnt make sense kuunga mkono mgomo. Kwanza madaktari walete details za majadiliano yao na serikali. Wamejadili nini, wameshindwana wapi?
Imani Kondo 'Zemacopolo" wewe daktari mzima unakuwa mnafiki.Unaelewa nini kilichojadiliwa, halafu unasema haujui contents.Unalipwa na nani kuirudisha nyuma harakati hizi muhimu?Au sababu ulisomeshwa bure Czech?
je hiki kiini macho cha bajeti kinachoendelea huko bungeni kimegusia swala la afya.
au ndio tubakie kusema mradi huu ni kwa hisani ya watu wa marekani??
Even with the new face (Dr Mwinyi) imeshindikana kupata muafaka?
Yafuatayo ni madai ya madaktari na majibu yaliyotolewa na serikali.
Kupandisha mishahara,
Bajeti ni finyu, kuwaongezea madaktari mishahara kutaongeza migogoro ktk secta nyingine,
Bima ya kijani kwa watumishi wa afya
serikali itaendelea na mazungumzo na mifuko hii, ili kuona kama wataboresha.
Risk allowances
serikali itatoa chanjo ya homa ya Ini(Hepatitis B) tu, nayo watapewa kwa awamu kutokana na ufinyu wa bajeti.
Hardship allowances
Serikali inaboresha miundombinu katika sehemu zenye maisha magumu,
House allowances
serikali inajenga nyumba ktk halmashauri 70 za watumishi wa umma hata madaktari wakiwemo.Hata hivyo sio madaktari wote watapata.
Malipo ya kuitwa kazini usiku
Serikali itaendelea kuliopa Tsh 25000 kwa daktari bingwa, 20000 kwa madaktari na Tsh 10000 kwa kada nyingine mpaka hapo bajeti itakaporuhusu.
Madaktari kukopeshwa magari
wafanyakazi wa serikali kuu wataanza mpango huo ktk bajeti ya 2011/2012.