Aunt Ezekiel: Mvuto wa kipekee

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=nn1C961sFm8"]Matonya anaomba awe spea tairi kwa Aunt Ezekiel[/ame]​
 
We ulivonenepeana mbona sie hatukusemi?

kuna kunenepa kiafya na kwingine ugonjwa....sasa mrembo yule kawa kama gunzi heeeee!!!! minyama uzembe......wee hapa fulu afya!!!!!!!
 
kuna kunenepa kiafya na kwingine ugonjwa....sasa mrembo yule kawa kama gunzi heeeee!!!! minyama uzembe......wee hapa fulu afya!!!!!!!

Kama mme wake ndio anapenda awe hivyo we kinakukera nini! Shut up kabla sijakuchenjia!
 
Kama mme wake ndio anapenda awe hivyo we kinakukera nini! Shut up kabla sijakuchenjia!

hahaaaaa yamekuwa hayo...and where is that freedom of speech mweeee!!! hebu nichenjie nipate fleva kwanza maana sijui unakuwaje ukichenji hahaaaa Iribini weye!!!

ndo maana watu wamejiunga JF kwa sababu yako
 
hahaaaaa yamekuwa hayo...and where is that freedom of speech mweeee!!! hebu nichenjie nipate fleva kwanza maana sijui unakuwaje ukichenji hahaaaa Iribini weye!!!

ndo maana nimejiunga JF kwa sababu yako

Hahaha! SENKSI! Nikitoka tutatoka wote?
 
tatizo we mapema sana, tangulia basi nikukute b/point (ila napaogopa niliwatapeli siku moja huduma ilikua mbovu nikasepa na chenji)
Sema tu ulichikichia glasi ukastukiwa!
 
kwa picha kama hizi hadhi, heshma, dignity vyote huwa vinatoweka inabaki sexual attraction..what is the point?
 
hatupondi jamani, kama cc wadada humu mavazi yake tu hayajatupendeza...ni mdada mzuri akijictir.
..Nyamayao si unajua radha hutofautiana kutoka mtu mmoja mpaka mwingine? Sasa hicho kivazi mimi hata angekuwa ndio mamsapu ni ruksa tu kwani macho yakiona ndio nini?? Vinginevyo kama uliugua ukurutu then uko kama yule chui wa serengeti lazima hutopenda tuone ndani mwako kidogo. Lakini huyo Aunt hebu cheki hilo liusafiri, mipaja hiyo, kifua kimetulia jamani maisha si ndio haya au kuna mengine? Si wengine hizo ndio burudiko letu ati..Kwa kweli mimi pressure yapanda na kushuka nimeprint hizo picha tena za rangi haki ya mama ni hatari kabisa! acheni bana nyie!
 
Dear Aunt Ezekiel, You looks Good and I wish you Good lucky in your carrier and please be carefull with Mapedeshee wa uongo who just want uroda then dump you. Big up sana.
From, Sweatface Entertainment
 
i1353_ezekiel4.jpg

i1354_ezekiel5.jpg


Lord Have a mercy........mwenye contact zake pls PM me zawadi nono kutolewa...
 
i1425_jacp.jpg


Aunt Ezekiel na Jack Pemba wakila raha enzi hizo anachipukia kwenye fani

i1426_jacp2.jpg


mmh inaonekana Aunt Ezekiel ni mzuri sana kwenye mambo ya mahaba.

i1427_jacpmwanzo.jpg


Enzi hizo akiwa kipotabo kabla ya kuanza kula vinono vya wa nono.

i1428_jacpmwanzo1.jpg


hapa alikuwa anaonekana bado mchamba mchamba anaenda gwasumba na teneti sijui la wajawazito or ?
 
Back
Top Bottom