Aunt Ezekiel: Mvuto wa kipekee

Labda kukaa uchi ndo kutakmfanya a-reveal the hiden germs ambazo macho yenu hayawezi kuzidetect zikiwa zimehifadhiwa/kusetiriwa na mavazi ya heshima

Tatizo ni kuwa quality ya hidden gems haiwi revealed kwa macho bali kwa mguso wenyewe. What you see is not necessarily what you get. Binti kusema kweli ni bomba kwa muonekano lakini wamo kweli?
 
i1355_ezekiel6.jpg

Naona hapa kaamua kuficha shanga yake ya kiunoni​

nawe kumbe uliiona maana yaonekana kwa mbali saani.yahitaji uwezo mkubwa sana wa kuona,hehe
 
No offence intended,lakini kwa nini anaitwa Aunt Ezekiel? Ezekiel ni jina la mwanaume.

Mkuu Ganesh Unanifurahisha sana nilikuwa nimekasirika kwa Huyo Aunt Ezekiel kujifanya kuwa Mwanamke kumbe ni Mwanamme sasa hujuwi kila anaitwa (Aunt)halafu likafuatia jina lake la kiume ujuwe huyo ni Mtoto si Rizki au kwa jina la Kiingereza ni hili (Homesexual) Au Gay Mtu mwanamme anayetumia mambo ya mapenzi kwa njia ya haja kubwa haya hapo ninafikiri umenipata Mkuu Ganesh? Hivyo hilo swala la Homesexual hapo bongo naona linakuwa siku hadi siku ninafikiri baada ya muda fulani tutakuwa na Ma Homesexual wa kumwaga sijuwi kwanini hao wanaume wanapenda Machafu naman hiyo? je hakuna wanawake hapo kwetu bongo? Huo ugonjwa Krokini sijuwi utakwisha lini? na hayo maradhi ya ukimwi ndio yatazidi kupamba moto haya Mwenyeezi mungu atusaidie uchafu huo uondoke hapo kwetu Bongo isije ikatokea hapo bongo Tsunami!!
 
Attachments

  • tsunami_wave_coming_now_too_late.jpg
    tsunami_wave_coming_now_too_late.jpg
    57 KB · Views: 85
  • tsunami_wave_coming_unexpected.jpg
    tsunami_wave_coming_unexpected.jpg
    25.4 KB · Views: 90
  • tsunami-wave.jpg
    tsunami-wave.jpg
    25.3 KB · Views: 91
mhhhh.......

Mimi msichana tanzania hii akiwa yupo kwenye muziki au
filam za kibongo au hata urembo huwa nakuwa sina hamu nae kabisa

mimi huwa na kinyaa sana.....

Wasichana kama hawa na hao wengine
wanaosifiwa na magazeti ya udaku

sjui irene uwoya au wema sepetu au johari au ray c...

Hata nipewe bure siwataki............

tatizo,huwa wanadhani uzuri wao ndio tiketi ya kupanua mapaja wanavyotaka........
 
Eric Shigongo ameshazipata picha hizi?. Nafikiri kama hana atakuja kuzichukua hapa maana kwa kuchafua watu hajambo.

Halafu mkisema aunt Ezekieli basi picha inakuja ni ya wale maanti wanaume!!! Mbona jina baya kiasi hiki. Mngemwita hata sister Ezekiel kuliko aunt. Mara moja mtu anapata picha kama ile ya akina aunt Kessy lile dume la mbegu mwanamke.

Bottom line vijana wengi wanababaikia sana make ups?? Hizi si uzuri. Ulimbwende wa mwanamke ni uasili wake. Huyu aunt yenu asipopaka hizo make ups for sure hutamtamani, ni wa kawaida tu.

Ukitaka kumchagua mchumba au hata girlfriend tabia ni kigezo na ulimbwende wake ni lazima uupate akiwa hajapaka chochote!!! Achana na fake beauty.
 
SDC12163.JPG

mnyonge mnyongeni ila mvuto anao
..Mkuu kiukweli huyu demu yuko vizuri sana pamoja na kuwa watu wanaponda lakini ndio hivyo mambo ya mungu huwezi kupendwa na kila mtu. Mwenye contact zake anipatie jamani sie tulio shamba huwa hatuogopi hasara, nikiuza heka moja ya tumbaku mafao yote nammmwagie mtoto.Vijana wa mwanamalunda ukimpata kama huyo mbona shughuli yake inakuwa pevu! Kudadadeki mh!
 
biashara matangazo mamiii!!!! ukivificha nani atanunua???

ahahahahahaaa...imekaa vizuri hii ila sema ina madhara yake...siku hizi haya matangazo yamekuwa chanzo cha upungufu wa hamu na nguvu za kufanya ngono kwa wanaume...maana 75% ya mabinti wote wapo 3/4 uchi kama huyu...ukirudi home hata my wife ku-do naye inakuwa kazi tayari kiu ya kufanya imeisha kwa kuangalia....kaazi kweli kweli...

mbaya zaidi walengwa ndio sie midume....naomba wanaume wooote tuwe registered kama endangered species
 
Labda kukaa uchi ndo kutakmfanya a-reveal the hiden germs ambazo macho yenu hayawezi kuzidetect zikiwa zimehifadhiwa/kusetiriwa na mavazi ya heshima

hivi inakuwaje mdada unajiachia kihivyo jamani, aahh hapana! na yule mwenzie Iranga....nope haipendezi kabisa.
 
ahahahahahaaa...imekaa vizuri hii ila sema ina madhara yake...siku hizi haya matangazo yamekuwa chanzo cha upungufu wa hamu na nguvu za kufanya ngono kwa wanaume...maana 75% ya mabinti wote wapo 3/4 uchi kama huyu...ukirudi home hata my wife ku-do naye inakuwa kazi tayari kiu ya kufanya imeisha kwa kuangalia....kaazi kweli kweli...

mbaya zaidi walengwa ndio sie midume....naomba wanaume wooote tuwe registered kama endangered species

Jamani who cares umenifanya niwaonee huruma!!!
 
..Mkuu kiukweli huyu demu yuko vizuri sana pamoja na kuwa watu wanaponda lakini ndio hivyo mambo ya mungu huwezi kupendwa na kila mtu. Mwenye contact zake anipatie jamani sie tulio shamba huwa hatuogopi hasara, nikiuza heka moja ya tumbaku mafao yote nammmwagie mtoto.Vijana wa mwanamalunda ukimpata kama huyo mbona shughuli yake inakuwa pevu! Kudadadeki mh!

hatupondi jamani, kama cc wadada humu mavazi yake tu hayajatupendeza...ni mdada mzuri akijictir.
 
hatupondi jamani, kama cc wadada humu mavazi yake tu hayajatupendeza...ni mdada mzuri akijictir.

tutaambiwa tunamuonea gele sasa hivi we subiri!!!!!!! bt who cares mi binafsi sijapenda yeye kujiacha uchi hivo
 
Back
Top Bottom