Aunt Ezekiel: Mvuto wa kipekee

Mkuu the Boss nadhani ni kuunge mkono katika hili !!!! Hawa si watu wa kutazama hata kidogo na mwingine ni Lady Jey Dee..!! Hata kutazama filamu zao sipendi wala kwenda kwenye miziki yao , Nikiwa ndani ya Bus wakiweka filamu au nyimbo zao huwa napata kichefu chefu kibaya utadhani nilikuwa kwenye bembea kama lile la Jamaica !!! Huwa naombaga wazime au wanipatie pillow nijifunike nisione wala kusikia..Sipendi Vicheche hao..!!!!

eeh na huyu kwa mikao hiyo nashawishika kusema its purely business!!!
 
SDC12163.JPG



mnyonge mnyongeni ila mvuto anao
 
hey umerudi??? vipi yule aliondoka kule home au bado tukatoe sapoti kwa mama(jamani sore ofu topiki ila nimeshindwa kujizuia)

nimerud kaka.nimefika juzi usiku na nimechelewa hata kuhudhuria mazishi ya mzee mfaume kawawa.

yule aliyekatalia home alishaondoka nilisaidiwa sana na mdogo wangu eduardo, polisi na majirani.binafsi sikutia mguu home kabisa.

ukwen hawajambo wote
 
Sio wote wenye tabia mbaya kuna wengi tu nawafahamu wanatabia nzuri na wako kwenye fani za music, film, miss etc. I repeat SIO WOTE.
Lily usiwalie yamini hao wenzio ambao wako kwenye entertainment na hospitality sectors kwani hiyo inayoitwa tabia mbaya ndio signature ya shuhuri wanazofanya; sawa kama usemavyo kuwa sio wote lakini wengi katika hao huchunwa ili waendelee na vibarua vyao, na hiyo ndiyo wahenga wanaiita tabia mbaya!!!!
 
nimerud kaka.nimefika juzi usiku na nimechelewa hata kuhudhuria mazishi ya mzee mfaume kawawa.

yule aliyekatalia home alishaondoka nilisaidiwa sana na mdogo wangu eduardo, polisi na majirani.binafsi sikutia mguu home kabisa.

ukwen hawajambo wote
Mtake radhi tafadhali.bht is proud to be SHE.
 
Jamani huyu mwanadada akivaa nguo za heshima atakufa?
Au urembo wake hauta onekana??
Almasi inakaaa ardhini lakini watu wanajua ilipo..
Hata yeye kama ni mzuri atawaka hata akivaa nguo za heshima.
Sasa sijui kwanini hajiamini?
 
mnyonge mnyongeni ila mvuto anao

do you judge a book by its cover? Watu wa sampuli hii ni wa kuogopwa kama ukoma kwani ndio wengi walionunuliwa Rav 4 nyekundu na madhahabu kibao; ukigusa tu hata na soksi hali yako inakuwa tete!!!
 
Mbona wakawaida tu ana mvuto gani huyu zaidi ya kupambwa pambwa na magazeti ya udaku.....kuna watoto uswazi wapo juu kuliko huyu ukitokana nae akina Nguli, Xpin, Geoff, George_porjie, Kaizer shingo feni
 
ni kweli ni msichana mzuri.....
Angekuwa sio mchafu hata mimi ningemtamani.
..Mh! Uchafu wa aina gani mkuu? Mbona vile vingine huwa vinasafishwa na tunaendelea kuvitumia tu? Toto liko bomba lile mkuu acha masikhara.
 
Jamani huyu mwanadada akivaa nguo za heshima atakufa?
Au urembo wake hauta onekana??
Almasi inakaaa ardhini lakini watu wanajua ilipo..
Hata yeye kama ni mzuri atawaka hata akivaa nguo za heshima.
Sasa sijui kwanini hajiamini?

Labda kukaa uchi ndo kutakmfanya a-reveal the hiden germs ambazo macho yenu hayawezi kuzidetect zikiwa zimehifadhiwa/kusetiriwa na mavazi ya heshima
 
Back
Top Bottom