Anyisile Obheli
JF-Expert Member
- Dec 13, 2009
- 3,398
- 319
huyu naye, kesi kila siku. anapaswa kuangaliwa kwa jicho la tatu
hapo umesema Mtikilia ni jasusi wa uchochezi nchini hafai kwa kila mwenye akili timamu
huyu naye, kesi kila siku. anapaswa kuangaliwa kwa jicho la tatu
Simu ya Mtikila 0713430516Naanza kupata wasiwasi. Inakuwaje Mtikila anashikwa makalio na mtu mwingine halafu anakuja kukuambia wewe? au wewe ndiyo mwenye mali nini? Maana nyinyi akina ustaadhi kwa mambo 'pwani' !
Kushikwa makalio Mtikila kuna uhusiano gani na CCM...cha kujiuliza kwa nini Mokiwa kamshika Mtikila makalio.

Mtikila anadai alishikwa Makalio mwaka jana.May Mwaka huu alikwenda Anglikani kuwaomba wamupe angalau fedha ,wakampa 5m.Pesa hizo alipewa pale ofisin kwake Mchikichini. Swali Mtikila yupo tayari ashikwe makalio lakini apewe pesa anyamaze? Ukifuatilia utaona alikuwa anatuma watu kwa Mokiwa kudai wamepe pesa kwa kushikwa makalio je hiyo ni biashara?.
Mtikila kaniambia kashikwa makalio na Mokiwa ndio maana kafungua kesi ya madai.
huyu mtikila ni shetani lakini mwisho wake u karibu
Mtikila anadai alishikwa Makalio mwaka jana.May Mwaka huu alikwenda Anglikani kuwaomba wamupe angalau fedha ,wakampa 5m.Pesa hizo alipewa pale ofisin kwake Mchikichini. Swali Mtikila yupo tayari ashikwe makalio lakini apewe pesa anyamaze? Ukifuatilia utaona alikuwa anatuma watu kwa Mokiwa kudai wamepe pesa kwa kushikwa makalio je hiyo ni biashara?.
Hii kali askofu anafanya ukaguzi hard to believe