Askofu Mokiwa ashitakiwa kwa kumshika makalio Mtikila

Hivi kumbe hata mabishop wanatembea na pisto? nilifikiri ulinzi wa bwana wanaemtumikia na kutufundisha unatosha!
 
Hivi si ndio huyu huyu mtikila alikuwa anashikilia kesi ya kakobe na wale wachungaji wengine mahakama kuu. Si ndio huyu huyu ambae walinaswa yeye na mama rwakatare kupanga kulisambaratisha kanisa la kakobe??? Hivi amesahau yale mapanga alipigwa tarime kwa kuchochea watu kuwa mbowe anahusika na kifo cha chacha wangwe??? Mtikila tafuta kazi ya kufanya.. Acha utapeli wa mchana.. Ni bora uwe bush lawyer nadhani kazii hii itakufaa kwasababu unapenda kesi sana.
 
Mtikila anasema Mokiwa alifanya upekuzi mwili mzima kiasi cha kumushika makalio na sehemu za siri jambo lililomdhalilisha huku akijua kwamba kanisa lake limekubali Ushoga.

Kwa kuwa kanisa limekubali ushoga, basi alivyoshikwa makalio na sehemu za siri akajiona amedhalilishwa.
Ingekuwa kanisa halikuwa limekubali ushoga, asingejiona kudhalilishwa.
 
Huyu Mtikila ni wa ajabu sana. Yeye si analo kanisa lake lenye waumini wawili tu ambao ni yeye na mke wake? Anglikana alikwenda kutafuta nini?

Wengine hawa si maagent wa dini...ni wafanyabiashara. Naona huwa tunasahau hilo.
 
Mtikila ni Mtu wa Kutumiwa kwa kazi yoyote na mtu yoyote ili mradi anapata pesa!Hana mtoto wala hana mtu wa kumurithi wala haona familia zaidi ya Mkewe.Anaishi kwenye pagala Mikocheni B karibu na Mama Rwakatare jirani na Msikiti
 
Wengine mnakimbilia kuhukumu, kuna maswali mengi katika jambo hili, 9eno linasema Mwana akiwaweka HURU mtakuwa HURU kwelikweli. Hofu nini hadi uogope kurekodiwa? Hicho kikao kilikuwa na usiri gani ambao askofu hakutaka siri ya kikao itoke nje? Kama alikuwa anajua Mtikila si mtu mwema alimkaribishia nn kwenye kikao? Na kama ni kweli walitoa hiyo fedha 5m ili kuficha nn? YESU aliwahi kuwauliza wanafunzi wake kuwa watu hunena ya kuwa mimi ni nani? Hili ni swali viongozi wote wa dini wajiulize, naamini watapata majibu wanayo stahili sio kukurupuka kulaumu.
 
Mtikila amefungua kesi hiyo Kisutu akidai kuwa Tarehe 25/06/2011 saa 20:00 hadi saa 01:00 katika makao Makuu Anglikani DSM Mokiwa aliwaita Wajumbe wa kikao wakiwemo Erasto Mhagama, Christopher Njayike, George Mwafalo, Mtikila na wengine lakini kabla ya kikao hicho Mokiwa alisituka na kusema ni lazima awapekue wote Kwana anahisi kuna mtu ana tape recorder.

Mokiwa alitoa maelezo hayo huku akichukua bastola yake baada ya kufunga mlango na kuingiza risasi mbele yao huku akiwamuru wanyoshe mikono juu.
Mtikila anasema Mokiwa alifanya upekuzi mwili mzima kiasi cha kumushika makalio na sehemu za siri jambo lililomdhalilisha huku akijua kwamba kanisa lake limekubali Ushoga.

Hata hivyo pamoja na kwamba tukio hilo ilimefanyika mwaka jana lakini Mtikila amefungua kesi leo wakati kesi nyingine ya Mokiwa Arusha ipo Ukingoni.

Watu waliokaribu na Mtikila wanasema Mtikila kapewa Mzingo na baadhi ya Makundi ya CCM ili kumukashifu Mokiwa na Kumudhalilisha!!
Wamesema kwamba Mtikila amekuwa anachochea Migogoro Ndani ya Anngani ukiwepo ule uliotokea kule Gongola Mboto ambapo FFU waliingilia kati!!

Mtikila amekuwa anaongoza kufitinisha haki ndani ya Makanisa Mengine kwa kutumiwa na Wanasiasa wa CCM ambao wanachukizwa na kauli za viongozi wa dini.

Mtikila anatajwa kupewa kazi ya kumtoa Mokiwa mda mfupi baada ya Mokiwa kutoa saa 48 Kwa JK kuwataja Viongozi wa dini wanaojihusha na madawa ya kulevya.

Pia Mtikila alipewa kazi ya kusuka suka Josephati Gwajima, Josephati Mwingira baada ya watu hao kuwa tofauti na Utawala wa CCM.

Pia Mtikila ndiye aliyetumiwa na CCM kueneza siasa za Kumuhusisha Mbowe na Kifo cha Wangwe.
Mtikila amegonganisha sana Mengi na Rostam huku yeye akichukua fedha pande zote Mbili!!

Mtikila amekuwa mstali wa Mbele Kushambulia Migogoro katika Makanisa Mengine wakati kanisa lake la Full Salvation Church limesambaratika lote na kubaki waumini 10 na mkewe ambapo wanalazimika kupika chakula kila jumapili na kuwalisha kwa lengo la kushawishi kufika tena jumapili ijao.

Kanisa hilo linafanyikia Nyumbani kwa Mtikila Mwenyewe!!

huyu mtikila ana matatizo kwani ktk hicho kikao ni yeye tu ndiyo alio sachiwa kati ya watu wote waliokuwepe ktk hicho kikao... aache huo uzushiwake wa kisiasa tumesha jua lengo lake? lengo lake kubwa ni kutuharibu sisi wa kristo wa anglikani na wa kristo wengine kwa ujumla kutuharibu kisaikorojia.... mimi kama mkristo nasema kwamba mtikila ashindwe na alege au niwaulize wa kristo wenzangu siasa na dini tangukarini vikachangamana pamoja! haiwezekani hivi vitu viwili vikachangamana pamoja hata sikumoja kamwe haiwezekani mtikila ni mzushi tu.
 
Mtikila ni Mtu wa Kutumiwa kwa kazi yoyote na mtu yoyote ili mradi anapata pesa!Hana mtoto wala hana mtu wa kumurithi wala haona familia zaidi ya Mkewe.Anaishi kwenye pagala Mikocheni B karibu na Mama Rwakatare jirani na Msikiti

Aje anibebee tofali sait kwangu, maana vibarua leo watakuwa hoi kwa hangover ya viroba vya Idd
 
Mtikila hamwezi Askofu Mokiwa!!!
Mtikila amefungua kesi hiyo Kisutu akidai kuwa Tarehe 25/06/2011 saa 20:00 hadi saa 01:00 katika makao Makuu Anglikani DSM Mokiwa aliwaita Wajumbe wa kikao wakiwemo Erasto Mhagama, Christopher Njayike, George Mwafalo, Mtikila na wengine lakini kabla ya kikao hicho Mokiwa alisituka na kusema ni lazima awapekue wote Kwana anahisi kuna mtu ana tape recorder.

Mokiwa alitoa maelezo hayo huku akichukua bastola yake baada ya kufunga mlango na kuingiza risasi mbele yao huku akiwamuru wanyoshe mikono juu.
Mtikila anasema Mokiwa alifanya upekuzi mwili mzima kiasi cha kumushika makalio na sehemu za siri jambo lililomdhalilisha huku akijua kwamba kanisa lake limekubali Ushoga.

Hata hivyo pamoja na kwamba tukio hilo ilimefanyika mwaka jana lakini Mtikila amefungua kesi leo wakati kesi nyingine ya Mokiwa Arusha ipo Ukingoni.

Watu waliokaribu na Mtikila wanasema Mtikila kapewa Mzingo na baadhi ya Makundi ya CCM ili kumukashifu Mokiwa na Kumudhalilisha!!
Wamesema kwamba Mtikila amekuwa anachochea Migogoro Ndani ya Anngani ukiwepo ule uliotokea kule Gongola Mboto ambapo FFU waliingilia kati!!

Mtikila amekuwa anaongoza kufitinisha haki ndani ya Makanisa Mengine kwa kutumiwa na Wanasiasa wa CCM ambao wanachukizwa na kauli za viongozi wa dini.

Mtikila anatajwa kupewa kazi ya kumtoa Mokiwa mda mfupi baada ya Mokiwa kutoa saa 48 Kwa JK kuwataja Viongozi wa dini wanaojihusha na madawa ya kulevya.

Pia Mtikila alipewa kazi ya kusuka suka Josephati Gwajima, Josephati Mwingira baada ya watu hao kuwa tofauti na Utawala wa CCM.

Pia Mtikila ndiye aliyetumiwa na CCM kueneza siasa za Kumuhusisha Mbowe na Kifo cha Wangwe.
Mtikila amegonganisha sana Mengi na Rostam huku yeye akichukua fedha pande zote Mbili!!

Mtikila amekuwa mstali wa Mbele Kushambulia Migogoro katika Makanisa Mengine wakati kanisa lake la Full Salvation Church limesambaratika lote na kubaki waumini 10 na mkewe ambapo wanalazimika kupika chakula kila jumapili na kuwalisha kwa lengo la kushawishi kufika tena jumapili ijao.

Kanisa hilo linafanyikia Nyumbani kwa Mtikila Mwenyewe!!
 
Mtikila kwa kupenda kesi! Kesahawahi kuishitaki serikali, iko siku atajishitaki mpaka yeye mwenyewe
 
Jee mheshimiwa huyu akienda nje ya nchi hajawahi kufanyiwa body search????? Mbona mzee mwinyi alikiri kufanyiwa hivyo?
Kwanini bw mtikila afikirie mambo ya ushoga au ............................
 
Hivi kwa nini shtaka la kwanza la Mtikila lisingekuwa la kutishiwa bastola na kutishiwa kuuawa?
 
Mtikila aliwahi kuhukumiwa kufungwa jela au kulipa 12m ktk kesi ya kumutapeli Mwanamke lakini CCM hao hao walikwenda kumulipia akatoka!
 
Tarehe 10dec 2011 Ijumaa, Mtikila alikwenda Nyumbani Kwa Mama Rwakatare Asubuhi.Katika kupisha Mama Rwakatare alimgusa Makalio Mtikila lakini hakumushitaki.Sasa kwa nini iwe kwa Ask Mokiwa?
 
huyu mtikila ana matatizo kwani ktk hicho kikao ni yeye tu ndiyo alio sachiwa kati ya watu wote waliokuwepe ktk hicho kikao... aache huo uzushiwake wa kisiasa tumesha jua lengo lake? lengo lake kubwa ni kutuharibu sisi wa kristo wa anglikani na wa kristo wengine kwa ujumla kutuharibu kisaikorojia.... mimi kama mkristo nasema kwamba mtikila ashindwe na alege au niwaulize wa kristo wenzangu siasa na dini tangukarini vikachangamana pamoja! haiwezekani hivi vitu viwili vikachangamana pamoja hata sikumoja kamwe haiwezekani mtikila ni mzushi tu.

inawezekana vipi kwa MTIKILA asiye MUUMINI WA KANISA ANGLIKANA kuwa MJUMBE KWENYE KIKAO CHA NDANI CHA WAANGLIKAN?
 
Back
Top Bottom