Askofu Mokiwa ashitakiwa kwa kumshika makalio Mtikila

Naanza kupata wasiwasi. Inakuwaje Mtikila anashikwa makalio na mtu mwingine halafu anakuja kukuambia wewe? au wewe ndiyo mwenye mali nini? Maana nyinyi akina ustaadhi kwa mambo 'pwani' !
Simu ya Mtikila 0713430516
 
Mtikila ni agent wa CCM na wala hajawahi kuwa Mchungaji wala Mpinzani.Kwenye kesi ya uchochezi waraka tar28 Aug hawawezi kumutia hatiani kwani ni mtu wao!
 
Kushikwa **** anamind.. Angepigwa tukio angesema?? Dawa ya watu kama hawa unapiga mambo afu atangaze

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mtikila anadai alishikwa Makalio mwaka jana.May Mwaka huu alikwenda Anglikani kuwaomba wamupe angalau fedha ,wakampa 5m.Pesa hizo alipewa pale ofisin kwake Mchikichini. Swali Mtikila yupo tayari ashikwe makalio lakini apewe pesa anyamaze? Ukifuatilia utaona alikuwa anatuma watu kwa Mokiwa kudai wamepe pesa kwa kushikwa makalio je hiyo ni biashara?.
 
nasikia katika huduma ya sex..romance nayo imo na unaweza kulipia.sijui kama ni kweli lakini
 
sinema ya kijinga sana hii.! Mtikila ameacha kufungua kesi za kikatiba zinazomjenga umaarufu, analeta habari za kushikwa makalio.! Ni kuchafuana kusikokua na sababu.
 
huyu mtikila ni shetani lakini mwisho wake u karibu

sio shetani bana...ni mchungaji wa kondoo wa bwana...akishikwashikwa makalio ana haki ya kulalamika ,kama vile wewe akija mtu akushikeshike naniliu UTAKAA KIMYA kama haikua ridhaa yako?
 
Mtikila anadai alishikwa Makalio mwaka jana.May Mwaka huu alikwenda Anglikani kuwaomba wamupe angalau fedha ,wakampa 5m.Pesa hizo alipewa pale ofisin kwake Mchikichini. Swali Mtikila yupo tayari ashikwe makalio lakini apewe pesa anyamaze? Ukifuatilia utaona alikuwa anatuma watu kwa Mokiwa kudai wamepe pesa kwa kushikwa makalio je hiyo ni biashara?.

walimpa milioni tano ili kufunikafunika aibu isitoke ...ndo hivo tena naona mtikila kaona pesa hazitoshi kurudisha heshima yake ya kushikwashikwa masaburi,ndo maana kaanika ukweli.
Hii coverup hata huko vatican ilishindikanaga na hatimaye issue ya maaskofu na vivulana ilivuja na kuleta kashifa kubwa sana.
Hawa watumishi wa mungu wajaribu kujicontrol jamani.hii ni kashifa
 
Hapa MASWALI ni hivi askofu Mokiwa ni Mtu wa aina gani? Kwanini awe na wasiwasi wa kurekodiwa? Huu undavandava wake UNACHUKULIWAJE KWA kiongozi wa dini? Swala la unyenyekevu sio tena sifa kwa kiongozi wa dini?
 
Hii kali askofu anafanya ukaguzi hard to believe

kuna watu wanakuja tu kujifanya kitu wanataka kujadili na wewe kumbe kuna mambo wanayoyatafuta. Kuwa makini unapojadiliana na watu, kuna wengine wanatumia matumbo yao kufikiri hivyo wako tayari kufanya kazi kwa ajili ya mafisadi.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom