DICTATOR
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 391
- 3
Kama ni kweli, basi maandiko yanatimia tu! kuwa Wa kwanza atakuwa wa mwisho na mwisho atakuwa wa kwanza. Kutegemeana na atakayosema, Askofu alikuwa wa kwanza kuupata wokovu lakini kwa kitendo kama hicho mi kwa mtazamo wangu na fikra zangu atakuwa wa mwisho kuuona ufalme.