Askofu Kulola: Kuna mtandao wa kisiasa makanisani

WHAT A MAD BISHOP!!!!!QUOTE=mosesk;1168258]Mjukuu wake Mbasha si yuko kwenye kampeni za JK , hilo linafahamika. wale wale![/QUOTE]
 
Source in Gazeti la CCM la Uhuru
Baba Askofu Kulola namuamini sn namjua sn nawakati anapitia wakati mgumu na Askofu Lazaro mimi nilikuwa muumini wake, lkn kwa hili aache ukweli usemwe na mtu yeyote bila kujali anamiliki au anamilikiwa na kanisa gani aache kabisa watu wafanye kampeni hata kanisani watu wajue wenyenia njema kwa taifa ili wachaguliwe na si vinginevyo, asipoangalia atapakwa mayope aonekane ameonewa kumbe ameingiza mkono mwenyewe mahala pasipo mhusu.
Kupiga marufuku kanisa akijua ni chama kisichorasmi watu baadhi watatoka kwenda vyama vingine visivyo rasmi ambayo ni makanisa kama lake.
Mungu tunakupenda tunaomba ututsaidie kuikomboa nchi yetu kupitia Musa uliyemleta, PhD Slaaa,
Amen
 
Mpaka alizidiwa hoja na kundi la Askofo lazaro ikamfanya M. Kulola ajitenge na kuanzisha kanisa lake jipya na EAGT kuiacha AGT kwa wafuasi wa Askofu Lazaro. Kisa eti alianzisha kanisa la AGt kwa hiyo hakuwa tayari wafuasi kanisa hilo kumchagua Askofu Lazaro kuwa mkuu wa kanisa na kuishia kujitenga. Hivi sasa kanisa lake la EAGT uongozi wote na wanafamia wake, hasa watoto wake (mtunza hazina, mhasibu mkuu, na kadharika.

Mjuu wake kuchanganya dini na siasa amelinyamazia tu kwa sababu anamuunga mkono Kikwete na CCM yao ya mafisadi.

Mnafiki mkubwa huyo! hana lolote.

Kama hamjui, mafisadi wa CCM wakati wa Mkapa walimuuzia jengo pale kituo cha Darajani, Nyerere Road kwa miloni 800 na leo hii amejenga ghorofa nahani mpaka ya 3 hivi na limeshapangishwa huku akiendela kujenga (karibu na MSD).
 
Mimi nilishuhudia huu mtandao wa udini makanisani. Tatizo sikuwa na ushahidi ndio maana nilikaa kimya. Afadhali askofu kazungumza. Kitu cha muhimu sio kuanza kupingana naye ni wale wanao fanya haya mambo tuwakemee kama alivyofanya askofu na sio kumkejeli. Siku chache tulishuhudia waraka ambao ulisadikiwa umetoka kwa waislam ijapokuwa hatukuwa na uthibitisho nao ila tulikemea kwa pamoja mambo ya udini. Haya mambo sio mazur yatatupeleka sehemu mbaya.
 
I have been in his churches for ten years now

He was the first one to announce JK was God's chosen!
He is scaring that some of his churches they dont support CCM anymore!

He has been CCM member since Nyerere's regime

READ:

KulolaOnline
 
namashaka na huo uaskofu wake usije ukawa kama udoctor wa kupeana wa akina dr karume,dr kikwete,dr rwakatale,
 
Huyu mzee alikujaga kutuaga mwezi wa 9 mwaka 1999, dodoma kwamba tutaonana mbinguni, kwani mwaka 2000 ni mwisho wa dunia
 
PAMOJA NA KUMHESHIMU MTUMISHI WA MUNGU ASKOFU KULOLA - NASIKITIKA KUSEMA KUWA SIDHANI KUWA ANAELEWA HASA ANACHOKIONGELEA - HAKUNA KAMPENI ZOZOTE MAKANISANI - WATU WAKIINGIA KANISANI WANAMWABUDU MUNGU - FULL STOP - ILA USHAURI HAUKOSEKANI KUWEPO KWENYE BAADHI YA MAKANISA - KUWA TUSICHAGUE MAFISADI - KAMA FISADI NI MWISLAMU AU MKRISTO - HATUMCHAGUIII

HATA HIVYO - LAZIMA AELEWE KUWA WATANZANIA HAWATAKI TENA KUONGOZWA NA MAFISADI - WSI0JALI KUWA WATANZANIA WALIOUMBWA NA MUNGU WANATESEKA - ILA WAO WAKIJALI TU KUNUFAISHA MAISHA YAO NA WALE WANAWAZUNGUKA; WANAOFUJA MALI/RASILIMALI ZILIZOWEKWA HAPA NCHINI NA MUNGU KWA AJILI YETU -

USHAURI WA BURE KWA ASKOFU KULOLA "ASIJIINGIZE KWENYE SIASA - YEYE AENDELEE KUHUBIRI INJILI TU" MBONA ANAINGILIA SIASA?? ANAPOWAAMURU/NA KUWASHAURI WAUMINI WA EAGT - JINISI YA KUCHAGUA - AMEPIGA CAMPAIGN PIA - WATAMCHAGUA MTU SAFI HATA KAMA NI MKRISTO MWENZAO (AMBAYE YEYE ANASHINDWA KUMTAJA JINA ILA ANAMSEMA KWA MAFUMBO); KWANI WANA EAGT PIA WAMECHOSHWA NA UMASKINI - AU KWA VILE YEYE SASA HIVI AMETULIA NYUMBANI KWAKE ............. ANALALA MAHALI PAMZURI.......................ANAKULA ANACHOTAKA.......................ANA UWEZO WA KWENDA HOSPITAL AKITAKA......................ANA GARI ZURI............ WANA EAGT PIA WANATAKA MAISHA MAZURI KWA AJILI YAO NA FAMILIA ZAO - MIJINI NA VIJIJINI ILA WANAZUILIWA KUYAPATA KUPITIA UTAWALA MBOVU - WANAFANYA KAZI - MISHAHARA KIDOGO; WANALIPA KODI NYINGI SAAAAAAANA NA KUKAMULIWA...................HALAFU INALIFUJWA NA MAFISA - .WAMEKUWA WATU WA MACHOZI KWA AJILI YA ROHO YA UMASKINI ULIOLETWA NA VIONGOZI WALIOKUBALI KUTUMIWA NA IBILISHI/SHETANI - ........ NDIO MAANA WANATAKA MABADILIKO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

[KIFUPI AKUMBUKE HABARI ZA MFALME SAUL -NA MFALME DAUDI - AMWACHE MUNGU AFANYE ANALOTAKA - AMWINUE DAUDI BADALA YA SAULI KWANI SAULI AMECHEMSHAA]

ANAOGOPA VURUGU??? AMESAHAU ENZI ZAKE - BIFU NA BISHOP LAZARO???? MBONA ALIKASIRIKIANA NAYE MUDA MREFU HADI WALIPOPATANISHWA NA ASKOFU KAKOBE???

NA HUYO MJUKUU WAKE ANAYEFANYA CAMPAIGN WAZI WAZI KWA JK?????? AACHE WENGINE WAFANYE CAMPAIGN KWA DR. SLAA - AACHE WANAOTAKA KUWASHAURI WAUMINI WAO WAFANYE HIVYO ; MBONA YEYE ANATOA USHAURI TENA KWENYE VYOMBO VYA HABARI (GAZETI LA UHURU)????????- KWA TAARIFA YAKE TUMEAMUA KUMCHAGUA DR. SLAA - COME WHAT MAY
NA MBINGUNI TUTAINGIA .......................KWANI MUNGU NDIO ALIYEFUNGUA MACHO YETU NA KUFUNGUA UFAHAMU WETU - HATUDANGANYIKIIIIIIIIIIIIIII - HATA KAMA TUNASALI EAGT !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kama ana ujasiri - apeleke habari zake kwenye gazeti la MWANAHALISI sio UHURU (CCM)
 
Mzee Kulola ni mnafiki, yeye ni mkereketwa mkubwa wa CCM, sasa yeye anaona ni dhambi kwa watu wengine kuwa wakereketwa wa vyama vingine vya siasa ambavyo vimesajiliwa kisheria. Huyu mzee ndiye wa kwanza mwaka 2005 kusema kuwa JK ni chaguo la Mungu, hivi alikaa lini na Mungu akamuonyesha kuwa mtu mshirikina anayelindwa na jeshi la majini kuwa ni chaguo lake Mungu? Au tuamini kuwa huyu mzee anaye mungu wa kwake tofauti na Mungu wetu aliyeumba mbingu na nchi.Kulola mbona asizungumzie kampeni zinzofanyika kwenye baadhi ya misikiti kuwa waislamu waichague CCM kwa vile mgombea wake ni mwislamu mwenzao?
 
siungi mkono masuala ya udini, lakini Askofu Kulola sio msafi kama anavyojaribu kuonyesha!. kwanini haelekezi tuhuma hizo kwa viongozi wa dini wasiokuwa wakristu ambao pia wanafanya vitendo hivyo?, nani alimwambia kwamba kiongozi wa dini anapaswa kuendelea kuomba huku waumini wake wakiteketea kwa ufisadi?

gazeti linataja kuw ani mmoja kati ya viongozi wa dini wanaoheshimika sana, nani kasema?

Wakati ule wa mgogoro wake na askofu Emanuel lazaro kabla ya kujitoa TAG na kuelekea alipo hivi sasa anaweza kutueleza kilitokea kanisani Tabora?

Anawezwa kutueleza kwa nini Binti yake aliyeolewa na Bwana wa kwanza aliyekuwa akiishi jirani na hospitali ya Bugando alimfungisha ndoa mara mbili?
 
Akamatwe akatoe maelezo ni akina nani wenye kampeni za chinichini!

Huyu hana tofauti na yule wa Tunduma, ama aisaidie polisi kuwakamata wanaofanya kampeni hizo kwani wanahatarisha utengamano na umoja wa taifa letu, akishindwa ashitakiwe kwa uchochezi na uzandiki akanyee debe.... Hatutaki wanaojiita watumishi wa Mungu ambao ni vibaraka wa wanasiasa......
 
Mzee Kulola ni mnafiki, yeye ni mkereketwa mkubwa wa CCM, sasa yeye anaona ni dhambi kwa watu wengine kuwa wakereketwa wa vyama vingine vya siasa ambavyo vimesajiliwa kisheria. Huyu mzee ndiye wa kwanza mwaka 2005 kusema kuwa JK ni chaguo la Mungu, hivi alikaa lini na Mungu akamuonyesha kuwa mtu mshirikina anayelindwa na jeshi la majini kuwa ni chaguo lake Mungu? Au tuamini kuwa huyu mzee anaye mungu wa kwake tofauti na Mungu wetu aliyeumba mbingu na nchi.Kulola mbona asizungumzie kampeni zinzofanyika kwenye baadhi ya misikiti kuwa waislamu waichague CCM kwa vile mgombea wake ni mwislamu mwenzao?

Ashindwe na alegee
 
Hii Habari haina Ukweli wowote...,
Unategeme CCM ifanye nini saa hizi kama sio kujaribu kuleta dhana ya UDINI baada ya kujua kuwa Haikubaliki? CCM inatapatapa ndio maana iko tayari kucheza rough ya aina yoyote ilimradi tu waendelee kuwanyonya watanzania kwa miaka mingine.
Hii ni Mchezo mwingine wa Kifisadai wa CCM kama ule wa Synovate na REDET kujaribu kupika vitu ili ku-distract attention ya watanzania wanaotaka madabiliko ya kweli na watanzania waliochoshwa na siasa chafu za kifisadi zisizowanufaisha watanzania bali kundi fulani tu la Mafisadi.

· Nani esiejua kua CCM wako Desparate sasa hivi baada ya kugundua kua hawakubaliki na watanzania?
· Nani asiejua kuwa watanzania wamechoshwa kuwa nchi ya mwisho kwa umaskini afrika Mashariki?... Tumepitwa hata na Rwanda licha ya kwamba walikua na vita majuzi tu.
· Nani asiejua kuwa watanzania hawana future katika EAC endapo hakutakuwa na nguvu ya ziada kuhakikisha Elimu inapewa kipaumbele na kuboreshwa kwa Gharama zote?

Hawa watawala wa CCM ni wanafiki sana, Baaad ya kusomeshwa na rasilimali za taifa, hawataki watanzania wengine nao wapate Elimu bure kama wao walivyopata, hawataki kujifunga Mkanda ili kile kilichopo kigawanywe kwa manufaa ya watanzania wote.

Inashangaza sanasana..

Kama unataka Mabadiliko ya kweli Tanzania,
Kama unataka Elimu bora (sio bora Elimu) kwa watoto wako na wajukuu wako.
Kama unataka Afya Bora kwako na watoto wako.
Kama unataka maisha, na makazi bora kwako na watoto wako
Kama unataka serikali inayowajibika kwa wananchi wake….

Uamuzi ni mmoja tu na uko mikononi mwako

You will be an IDIOT if you expect Different results when applying the same old Methods.

….DONT EXPECT DIFFERENT RESULTS IF YOU ELECT THE OLD FISADI's


CHAGUA DR SILAA, CHAGUA CHADEMA
 
tatizo sio kumshabikia mgombea fulani noooooo

unaweza kumshabikia JK au Dr. Slaa au Prof. Lipumba nk. kama wagombea wazuri kwa jinzi unavyoona

Tatizo ni kumshabikia au kumpigia kampeni mgombea kwa sababu ni mkristo au muislamu hapa ndiyo kuna shida. TUMUENZI BABA WA TAIFA

Makanisa na Misikiti ikae mbali na hili - litakuja kutugawa sana hapo baadaye
 
This is another lunatic bishop!go to hell!!!

:peace::peace::peace::peace: LONG LAST CHADEMA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Huu ni uwongo kabisa, ndo maana mwandishi hajajitaja jina amebuni stori. mi nafikiri ni wachache wavivu wa kufikiri wa kutudangan`ya kuwa kuna udini katika uchaguzi mwaka huu, hii si kweli kabisa. mwaka 2005 viongozi wakristo karibia wote walisema Jk ni chaguo la Mungu wakampigia debe sana, leo wamuone Jk muislamu, mbona mbowe ni Mkristo? hayo hayakutokea? leo Mungu kabaddili nia nini? basi wananishawishi kutowaamini au wananiambia Mungu wao ni Muongo? jamani tuchague kitu roho inapenda mtu yoyote asituyumbishe eti ye kaoteshwa, mara Mungu kamtuma, mara usimpe kura mkrsto, mara muislamu, mara kabila, mara mwanamke.
 
Mimi nilishtuka kidogo niliposikia askofu,nilipo gundua ni wa TAG haaa! hawa si wale wale wanao waibia maskini kwa kusema wanaponyesha magonjwa, hawana tofauti na waganga wa kienyeji hata ukiangalia matangazo yao mengi, na ponya hili nalile hawana jipya, hawa watu si wasafi,kwa maana hiyo huyu bw anataka tuchague mafisadi?kweli yake ipo wapi hapa!,hiyo pesa aliyopewa itamtokea pua,mi naomba watanzania tumpuuze huyu jamaa,
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom