Askofu Kulola: Kuna mtandao wa kisiasa makanisani

Mafisadi wengi ni ccm
mafisadi wengi ni wanachama wa yanga
kulola ni shabiki wa yanga
kulola ni mwanaccm
kwa hiyo kulola ni fisadi
 
Si siri kuwa makanisani waamini wamekuwa wakipigwa kampeni ya kumchagua mgombea mmoja ila sasa imewekwa wazi kwenye chombo cha habari.
Waumini wengi wa madhehebu tofauti wamekuwa wakipandikizwa mbegu za chuki ili wamchukie Jakaya Kikwete kwa dini yake ya Uisilamu.Na kwa maoni yangu naona sumu imeshatuingia na kuitoa kwa kipindi hiki kifupi kilichobaki si rahisi.
Wengi katika JF hapa ambao ni wapinzani wakubwa wa Jakaya Kikwete wanafurahia sumu hii.Huenda wanafurahia kile wasichokijua kuwa udini umeingia na kuwagawanya watu kwa imani zao badala ya sera za vyama vyao.

Mwanzo Maaskofu walianza na waraka kwa wapiga kura,na sasa tunaona matokeo yake.Tunajaribu kuziba kwa kumpandika Baba Askofu Moses Kulola kuwa ni mnafiki lakini ukweli uko pale pale.Watanzania tumeanza kugawanywa na kama tusipochukua hatua za kurekebisha hali hii matokeo yake tutayaona.
Baba Askofu ni mtu wa Mungu na ana wafuasi wengi katika kanisa lake na haiwezekani kuuuza yale anayoyazungumza kwani yeye ni kiongozi wa juu wa kanisa.
 
Ipo tofauti kubwa sana kati ya Elimu ya uraia na na Uchochezi hivyo nafikiri Mzee Kulola ameshindwa kulitambua hili, au kwa namna moja ama nyingine ameshawishika vibaya mpaka kukubali kutamka hayo.

ELIMU YA URAIA
Hii ni elimu iliyolenga kumpa raia yeyote yule ufahamu juu ya yale mambo muhimu yanayomzunguka Kisiasa, Kiuchumi, Kielimu, Kijamii na Kiutamaduni. Elimu hii imekuwa ni muhimu sana hasa kwa taifa kama Tanzania mbalo limekuwa nyuma katika nyanja mbalimbali za kimaendelo hata ya mtu mmoja mmoja.
Ilikuufikisha ujumbe huu kwa walengwa, tena kwa ufanisi mkubwa, wameshirikishwa Watu, Taasisi, Asasi mbalimbali za kiserekali, kijamii na za kidini. Kutokana na hilo kumekuwepo mkanganyiko mkubwa juu ya hili. Na hapa naomba nizungumzie jambo moja tu kuhusiana na mkanganyiko huo.

  • Jambo lenyewe ni hili..., Kwa kuwa Tanzania tuko nyuma sana juu ya elimu hii ya Uraia hivyo kila pale linapopingwa jambo, au Upande fulani unapoguwsa juu ya Mali zao, Kazi zao, Utajiri au Uovu wao, kumekuwepo na malalamiko mengi sana juu ya uhalali wa jambo hilo, Mfano mzuri ni uwepo wa HAKI ELIMU. Hivyo Viongozi wa dini bila kujali dini zao, tena kama moja ya asasi hizo wana nguvu kubwa juu ya kuleta mabadiliko ya kweli ndani ya nchi yao. Na kuijenga nchi yao katika misingi ya maadili mema.
UCHOCHEZI
Hili huwa halifichiki bali huonekana wazi wazi. Kuhubiri ama kushabikia utengano, Kuhamasisha kutokuchangamana na upande fulani, Kutokusaidiana katika matatizo, Udini, Kuendeleza zuluma, Kupotosha Haki za raia na Kukuza ukabila, haya na mambo mengineyo mengi kama hayo ni moja ya vitu vikubwa vinavyokuza, kuanzisha ama kustawisha Uchochezi.

Nikirudi sasa katika maada, Nashawishika kuona kuwa KULOLA ndio mmoja ya wachochezi maana anatafsiri mambo kwa kuvuti upande mmoja tena unaosababisha Chuki tena chuki ya kidini. Hivi tukijiuliza kiongozi muisilamu ama Mkrito atatufanyia nini sisi watanzania kutoka na na Uisilamu au Ukristu wake!???? Tanzania kama nchi iliyo nyuma katika mambo mengi inahitaji kiongozi Makini, Jasiri, Mwenye uwezo na fikra tofauti juu ya matumizi sahihi ya rasilimali mali na rasilimali watu ili kuikwamua nchi kutoka katika wimbi la umasikini wa watu wake. Lakini pia Katiba ya Tanzania inasema bayana kwamba. "......Serekali ya jamuhuri ya Muungano haina dini, lakini raia wake wana dini....." Hivi inatosha kila mtu akisimama katika Dini yake na akaheshimu serekali inayojali kikwelikweli juu ya haki na maendeleo ya raia wake bila kujali inaongozwa na mtu wa dini gani.

Mungu ibariki Tanzania. Mungu tusaidi katika kuijenga Tanzania imara.
 
Kama ni kweli atuambie ni kanisa gani hilo. Yeye ndo ameonyesha waziwazi kuwa anampigia debe Kiwete. Nahisi hizi habari si za kweli ni mbinu chafu tu za CCM.

Eti source ni UHURU !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! wao ndo waliomsikia, mbona vyombo vingine vya habari havijasema???
 
The unafiki wa watu humu ndani is very pathetic. It is a shame yaani. Nobody bother to objectively discuss what Askofu has said (which is udini makanisani). And him being a leader of the kanisa, he is in the better position to comment about that kuliko sisi waosha vinywa humu ndani.

What is also astonishing, ni mtu kuweka comment (ambayo hajasema katoa wapi info) kwamba Askofu kalipwa na CCM. Yaani, you guys are running under the premises that Chadema can't do wrong. Unbelievable. And everything that is being said against Chadema is being discredited by the faithfuls in here.

This forum is slowly becoming useless and incredibly bias. Bias to the point that it is embarrassing. Mjinga kasema Askofu Kulola kahongwa (these are serious allegations) and the rest of clue less sheeps are happily commenting without even fact checking the author.

Jambo hili ukiliingilia kiushabiki unaweza kusema mengi lakini ukifikiri kwa umakini unaona kuwa ni propaganda hasa kwa kuzingatia impact ambayo CHADEMA wameifanya mwanza. Kwanza kama ni kweli kwanini hizo hoja zije dakika za majeruhi? na hasa baada ya JK kuanza kulia lia? mimi nafikiri CCM wanataka sympathy kwa watu ndiyo maana wanatumia wazee waliochoka kama akina Kullola.

Lakini pia watu wanajua namna Kulola na kundi lake walivyoigawa Assemblies of God na kukazaliwa (TAG na EAG). Ni kwa Moses huyu huyu alipong'ang'ania madaraka huku akiwa hana elimu ya kutosha ya Theolojia. Na kusababisha kanisa la Assemblies of GOD pale Tabora kufungwa zaidi ya mwaka mmoja kwa sababu za ugomvi huo. Si hakika kama mungu walimshirikisha katika hilo.

Lakini kwanini iwe kulola, maneno haya Sisem waliyatumia sana kwa CUF wakijua ni uongo, kwa sababu kama ni Uislam kwani JK ni dini gani?

Zaidi ya yote naomba niwakumbushe kuwa hata Sisi M waapoteza muda na kuhatarisha usalama wa nchi bila sababu zozote na hii itawaharibia zaidi. Wanaweza kufanya vizuri bila propaganda za namna hii.

Zaidi ya yote ni ngumu mtu kumuamini Kulola huku ikizingatiwa mjukuu wake kipenzi " Flora Mbasha" ndiyo kampeni timu ya JK tena ile cream ( BMW). Na hilo ni kupoteza dira kutoka kwenye injili mpaka kwenye siasa wapi na wapi?

Pia kwanini asubiri wiki moja ndiyo aandae kipindi, taarifa hizo za udini amezipata lini? nani kamletea ? kama siyo uzushi
 
Hakitakuwa kitu kipya ata Yuda alipokea ngawila,ila tumwachie mungu atamwonesha nini maana ya kuwa mtumishi wa mungu mwaminifu.
Nakumbuka Elisha alimponya naamani na kukataa zawadi ila mtumishi wa Elisha akamzunguka Elisha akapokea zile zawadi.
Matokeo yake ukoma wa Naamani ukamvaa mtumishi wa Elisha aliyekula mlungula
 
Hivi Kulola Moses alisimikwa na nani kuwa Askofu?

Nakumbuka kwenye miaka ya 80 alikuwa mmoja wa wahubiri maarufu sana, but what surprises me most ni jinsi alivyopotea kwenye "industry" ya kuhubiri! Now, all of a sudden here comes again, "Bishop" Kulola! What a coincidence? Uchaguzi na Kulola both coming in from the cold? Shame!
 
This forum is slowly becoming useless and incredibly bias. Bias to the point that it is embarrassing. Mjinga kasema Askofu Kulola kahongwa (these are serious allegations) and the rest of clue less sheeps are happily commenting without even fact checking the author.

Nakuunga mkono katika hili, hii habari bado haijakidhi vigezo vya kuaminiwa.
 
huyu askofu akumbuke kuwa hamna jambo linalotendeka gizani ambalo halitajulikana.lazima tu.mi nasema MUNGU atamuhukumu tu kwa kushiriki kuififisha SAUTI YA UKOMBOZI YA WATANZANIA.
 
Nakuunga mkono katika hili, hii habari bado haijakidhi vigezo vya kuaminiwa.

Mkuu unapokubali kuingia kwenye siasa basi inabidi ukubali kupambana na tuhuma zote zile zenye ukweli na hata za Uongo
 
AMEONGEA KULOLA, amekuja yule mzee wa wapo Gamanywa , na shehe wake wa Mnyamani nimemsahau jina.
nani anamuda wakusikiliza wosia wakipuuzi.
walikua wapi kukemea mwaka 2005 wakati makundi ya wakristoo na waislam walipompaka mafuta Kikwete kuwa ni chaguo hasa na Mungu ?
upuuzi mtupu, tujiandaeni kupiga kura, Tanzania TWENDE KUPIGA KURA YA MABADILIKO.
 
CCm kwa sasa inawalipa wengi na katika dakika za lala salama watalipwa wengi. na tutegemee usaliti mkubwa kwa baadhi ya wagombea. Lakini chonde wanamaombi kama mlivyosikia kuwa Tume ya uchaguzi haitallipia wasimamizi wa uchaguzi wa vyama, hapa kuna hatari kubwa, maana ccm wataweza kuwahonga wasimamizi wetu kwa pesa nyingi sana.
tuombe ili watu hawa wawe waaminifu kwa watanzania na Mungu mwenyewe.
Hivi sasa watumishi wa serikali wanhaha kuwa hawaelewi kama baadhi yao mishahara itaingia mapema au la maana wanaweza kutumia pesa hizi kuwahonga watu mhimu kupunguza ushindi wa chadema

Tuombee uaminifu wa NEC, na wasimamizi wote
 
Kwa kuongezea tu i kwamba munaweza kuona jinsi hata THLISO walivyohongwa na kuamua kwa uwazi kabisa kuunga mkono ukwapuaji wa haki za wasomi nchini.
Inakuwa aibu sana kwa nchi yetu kama wasomi nao wanatetea vitu vya aina hii. "Japo mjadala ulishapita"
Kwa logic ya kawaida tusingetegemea katibu wa cahama kile ampinge vile mkubwa wake aliyetoa tamko neutral, naye kuja na lake la kisiasa.
 
The unafiki wa watu humu ndani is very pathetic. It is a shame yaani. Nobody bother to objectively discuss what Askofu has said (which is udini makanisani). And him being a leader of the kanisa, he is in the better position to comment about that kuliko sisi waosha vinywa humu ndani.

What is also astonishing, ni mtu kuweka comment (ambayo hajasema katoa wapi info) kwamba Askofu kalipwa na CCM. Yaani, you guys are running under the premises that Chadema can't do wrong. Unbelievable. And everything that is being said against Chadema is being discredited by the faithfuls in here.

This forum is slowly becoming useless and incredibly bias. Bias to the point that it is embarrassing. Mjinga kasema Askofu Kulola kahongwa (these are serious allegations) and the rest of clue less sheeps are happily commenting without even fact checking the author.
SELEMANI,
One thing, I 'd be frank with you; the life expectancy of a Tanzanian is about 56 years; CCM have been lying for all that time;----- who you want to buy your words,-------simple;; CCM have been lying for my lifetime.... at least now I have to plan for the future of my children; that is; for their betterment they have to discard CCM-----------; they need a new party with the new ideas, whiich cannot lie! CCM thugs are congenital liars!! The killers of our mothers, children and the olds; they must face it come 31st october. This will be known as the darkest day for CCM thugs.
 
Back
Top Bottom